Search results

  1. A

    Tunawasaidia vipi waandishi katika hili

    Nawasalimu ndugu zangu Natumai sote au wengi wetu humu tumeona namna matokeo ya kidato cha nne yalivyokuwa mabaya mwaka huu. Kwa kuwa wanahabari nao ni sehemu ya jamii wanaoweza kutusaidia kubadili hali ya mambo katika sekta ya elimu naomba kuuliza ili tutoe michango tunawasaidia vipi waandishi...
  2. A

    Nina nusu eka naomba msaada

    Nawasalimu wana JF Kwa taadhima naomba kuuliza nina eneo la nusu ekari mahala panaitwa Msongola katika wilaya ya Ilala. Naomba kujua kwa eneo hili la ardhi naweza kufanya kilimo gani kinachoweza kunipatia senti za hapa na pale. Kwa ajira niliyo nayo nina uwezo wa ku save Sh laki moja kila mwezi...
  3. A

    Kwa sifa hizi wanasiasa wetu wamestahili kupewa digrii za heshima?

    Salamu wakubwa nimeinyaka taarifa hii kutoka mtandao wa gazeti la Mwananchi Monday, 03 January 2011 19:43 Nani wanastahili kupewa shahada za heshima? Na Florence Majani AGOSTI mwaka jana, Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Mayunga Nkunya alizungumza na...
  4. A

    Hivi laki 2 na nusu itanitoa kimaisha nikisave kwa mwezi?

    Salam wanajamii wenzangu. Naamini humu hakuna wachoyo wa msaada wa mawazo. Ni kwa matarajio haya naomba kuuliza mimi nafanya kazi sekta binafsi kama mwajiriwa mwisho wa mwezi naweza ku save laki mbili na nusu Ninauliza hivi kwa kiasi hiki ninawezaje kukitumia ili angalau miaka michache ijayo...
  5. A

    Hivi ndivyo vitabu vyetu, inatisha!!!

    Wakuu naomba mpitie hiyo makala hapo chini muone naomna sekta ya vitabu ilivyovamia Bongo. Ni makala kutoka gazeti la Mwananchi leo jumanne tar 26 2010 Mkanganyiko vitabuni Kitabu chafundisha mbu anasababisha kipindupindu Na Abeid Poyo UJIO wa mfumo wa kiuchumi wa soko huria umeleta...
  6. A

    Swali kuhusu makala za elimu magazetini

    Habari zebu wadau wa ukumbi huu wa elimu. Naomba kujua katika magazeti yote nchini Tz gazeti lipi linaongoza kwa kuwa na makala nzuri za elimu zilizotafitiwa na zenye kuelimisha jamii Asanteni
  7. A

    Utaalamu wa kuzuia majanga ya moto

    Nawasalimu wafikiriaji wakuu Naomba msaada kuhusu njia bora ya kuzuia majanga ya moto majumbani. Nyumba yangu nimeunganisha umeme wa tanesco wiring yake ndio hiyo hiyo ya Kiswahili (sina uhakika na vifaa kama ni bora ama feki) Nina wasiwasi siku umeme huu kuja kunilipukia hivyo nawaomba wajuzi...
  8. A

    Dr kisanji maskini

    Nimei down load kutoka mtandao wa gazeti la Mwananchi Tanzia:Kapumzike Dk Kisanji waliokujua watakuenzi Na Abeid Poyo HAKUNA awezaye kukizuia kifo pindi kinapomtembelea mwanadamu. Laiti uwezo huo ungekuwapo, wadau wa elimu nchini wangekuwa wa mwanzo kukizuia kifo kisimchukue marehemu Dk...
  9. A

    Hivi ndivyo tulivyochemsha Waswahili

    Ujamaa uliikosesha Tanzania ajira za Kiswahili Marekani Bado Tanzania ina nafasi na uwezo mkubwa wa kuikuza lugha ya Kiswahili nje ya mipaka yake. Huu ndio mtazamo wa Profesa Pete Mhunzi, Mmarekani mwenye asili ya Afrika na mpenzi wa Kiswahili anayeelezea maendeleo ya lugha hiyo nchini Marekani...
  10. A

    Kwa nini iwe mkoa wa Mara tu?

    Eti wafikiriaji kwa nini mauaji na tabia za kinyama tumekuwa tukizishuhudia ZAIDI katika mkoa wa Mara na si mikoa mingine nchini? Nini tatizo kwa wenzetu hawa hivi kuna study yoyote ya kisayansi imeshafanywa kujua tatizo la hawa mabwana Nna hofu kuna siku watakuja kufanyiana mambo ya kirwanda...
  11. A

    Ukweli kuhusu teknolojia ya solar

    Ndugu zangu naomba walio na maarifa kuhusu teknolojia ya umeme wa jua wanipe elimu hivi yawezekana ukawa na umeme wa jua katika nyumba yako na ukatumia umeme kwa vyombo vyote ulivyo navyo kama tunavyofanya kwa umeme wa Tanesco na je gharama zake ni kama Sh ngapi za kibongo? Nauliza hivi kwani...
  12. A

    Namlilia jumanne mayoka

    Nawaamkia wana JF huku nikiwa na machungu makubwa kwa kuondokewa na mmoja wa magwiji wa Kiswahili hususan katika taaluma ya Ushairi Huyu si mwingine bali ni mzee Jumanne Mayoka. Hapa chini nawaletea tanzia yake iliyomo katika mtandao wa kampuni ya Mwananchi na pia gazetini (Mwananchi) Yaani...
  13. A

    Wadau wa elimu hii imekaaje

    Mnaweza kuutafakari vipi msemo ufuatao kama ulivyotundikwa katika website ya www.us.camfed.org "When you educate a girl in Africa, everything changes. She’ll be three times less likely to get HIV/AIDS, earn 25 percent more income and have a smaller, healthier family"
  14. A

    Wahariri wetu

    Ndugu wafikiriaji naomba kuuliza hivi kwa nini wahariri wa vyombo vya habari Tanzania hawatulii sehemu moja kila siku wana hama hama?
Back
Top Bottom