Kwa nini iwe mkoa wa Mara tu?

AHAKU

Member
Jan 28, 2010
26
1
Eti wafikiriaji kwa nini mauaji na tabia za kinyama tumekuwa tukizishuhudia ZAIDI katika mkoa wa Mara na si mikoa mingine nchini? Nini tatizo kwa wenzetu hawa hivi kuna study yoyote ya kisayansi imeshafanywa kujua tatizo la hawa mabwana
Nna hofu kuna siku watakuja kufanyiana mambo ya kirwanda rwanda (Mungu atuepushe)
 
Hapana hii inatikana na uchomaji holela wa miche ya bangi unaofanywa na polisi, moshi ule hutapakaa hovyo na kuathiri jamii
 
Au wakoloni walikosea kugawana nchi za maziwa matatu, ilitakiwa Mara iwe Kenya!

na Kenya wakitaka kuungana( kwenye East Africa ) na sisi tunawapa Mara tu, maana wanaendana kwa kila kitu!

Si East Africa Union itakuwa Kenya, Uganda, Rwanda , Burundi na mkoa wa Mara
 
Hivi majambazi wanaotembeza risasi jijini Darisalama wametoka Mara? What is the difference?
 
Jasusi,

utaambiwa kuwa hata wale wanaochuna watu ngozi kule mbeya ni watu wa mara. Hapo ni baada ya kuambiwa kuwa wanaoua vibibi kizee kule usukumani au wale wauaji wa maalbino nchi nzima wote ni watu wa mara.
 
nawaambia JF imevamiwa na watu wasiojua ananlysi...............kaazi kwlikweli........... anageneralize kwa tukio moja ama mawili tu................. amesahau hata mambo ya wafugaji v/s wakulima wa kilosa...............sijui nao walitokea mkoa wa mara.?????????????.............
 
Kwanza lazima ujue kuwa mtu wa kwanza kuishi hapo mkoani alikuwa ni jamii ya wasomali, kitu kilichopelekea kufahamika zaidi kama kwa msomali na baadae kufupishwa na kuitwa msoma, mkoa huo tangu asili ni eneo la watu wageni toka nchi za kaskazini mwa Tanzania hasa Somalia, na baadae kuanza kuitwa Wakulya yaani wakuja maana yake wageni,
Sasa kwa asili ya hao watu ni Local Somalies hawa huwa ni wakatili mno pia hawana hurma hata kwa maisha yao wenyewe ni watu wenye roho mbaya, siwasemi vibaya rejea taaartibu mila na destuli za watu wa Msoma, kuitwa Mara mkoa huo imetokana na Mwalimu Nyerere kipindi hicho anatafuta njia za kuikalia tanzania kama Raisi kujipenyeza kama ni mmoja wa wenyeji wa Tanzania ili aweze kuwa kiongozi wa nchi, na kujipachika kuwa yeye ni kabira la Wazanaki pia Mwali ndiye aliyebadirisha jina la mkoa kutoka Msoma na kuitwa Mara , hawa Wazanaki ni kakikundi ka watu pia kutoka huko huko Somalia, hivyo si ajabu sana kuona watu wa Msoma ni makatili sana
 
Yaani unasema sisi sote tunaotoka Mara ni Wasomali? Kuna jamaa kasema JF imeingiliwa na watu wasiofanya analysis na dakika mbili tu umemthibitishia ukweli huo. Mto Mara umekuwepo hata kabla ya kuzaliwa Nyerere na mto huo unakatiza kote Tarime na Musoma na ndio maana mkoa ukaitwa Mara. Kuna makabila zaidi ya 23 na wote si wenye asili ya Kisomali, abadan. Rudi tena kwenye mabuku ndio uje na analysis nzuri.
 
yaani umeniacha hoi kwa analysis za kinepinepi................... hakuna hata moja la kweli kwenye huo mchanganuo wako.................. ngoja nikusaidie kidogo .............

neno wakurya haina maana wa-kuja, (tafuta toleo fulani la jumamosi la gazeti la tz daima liliwahi kuchambua kabila hili) ku-kurya kwa mujibu wa gazeti lle ni kutifua ama kuchakaza ardhi. kwa hiyo wakurya waliitwa hivyo kwa sababu wakilkuwa na mifugo mingi na kila walipopita ardhi iliharibika ndio wakaitwa wa-kurya yaani wachakaza ardhi...............asili yao inasemekana ni mashariki ya kati na walikuja afrika mashariki wakipita misri, sudan kenya na baadaye wakaishia tanzania. ni wafugaji na ahamahama kuatafuta malisho na ardhi ya kilimo.

jina hili wakurya, walibatizwa na wenyeji wa maeneo ya katikati ya kenya (inaaminika walipewa na wakikuyu) kabila hili ni moja ya makabila ya kibantu.

neno mara hata nyerere alizalwa na kulikuta. ni jina la mto na inaaminika lilitoka kwa wajaluo ama wakikuyu kwani chanzo cha mto ule kenya na unapita katika jamii za waluo na kumwaga maji yake ziwa victoria

kabila la wazanaki nalo lilpewa jina hilo na wenyeji kwa kuulizwa umekuja na nini? (waza-naki?) nao kama makabila mengine walihamahama kufika mkoa wa mara na asili yao inasemekana ni ziwa magharibi (kagera) ni chnzo kikubwa cha utani kati ya wahaya a wakazi wa mkoa wa mara

wenye kujua zaidi watakujuza kama kweli unataka kujifunza............. nawasilisha........
 
kweli we umekashifu mawazo ya wenziyo mi nilidhani unakuja bonge pure history,
kumbe unadharau jembe wakati una kigae heheeeee sasa bustani utamaliza kulima au ndiyo kujifanya tu du
 
Yaani unasema sisi sote tunaotoka Mara ni Wasomali? Kuna jamaa kasema JF imeingiliwa na watu wasiofanya analysis na dakika mbili tu umemthibitishia ukweli huo. Mto Mara umekuwepo hata kabla ya kuzaliwa Nyerere na mto huo unakatiza kote Tarime na Musoma na ndio maana mkoa ukaitwa Mara. Kuna makabila zaidi ya 23 na wote si wenye asili ya Kisomali, abadan. Rudi tena kwenye mabuku ndio uje na analysis nzuri.
unadhani we utakubari kuitwa msomali? laki hiyo haina jinsi we elewa uelewavyo, maana hurazimishwi kuamini vile niaminivyo mimi, na siwezi kujisumbua kuhangaika kutafuta analysis kwa ajili ya kukuimanisha wewe tu kwani unaniongezea wepesi wa maish? mtu unaweza kugoma kuelewa kutokana na misimamo yako kwanza hii shule ya kuifanyia Exams, ukitaka ndo hivo hutaki ndiyo hivyo.
 
i
Hivi majambazi wanaotembeza risasi jijini Darisalama wametoka Mara? What is the difference?
Sio hilo tu hata kule kwetu Biharamulo watekaji kibao kuanzia Kasindaga, Burigi na Kimisi hata Lusahunga wanateka tu mauaji kama kawa. So sio Mara pekee!
 
unadhani we utakubari kuitwa msomali? laki hiyo haina jinsi we elewa uelewavyo, maana hurazimishwi kuamini vile niaminivyo mimi, na siwezi kujisumbua kuhangaika kutafuta analysis kwa ajili ya kukuimanisha wewe tu kwani unaniongezea wepesi wa maish? mtu unaweza kugoma kuelewa kutokana na misimamo yako kwanza hii shule ya kuifanyia Exams, ukitaka ndo hivo hutaki ndiyo hivyo.

mkuu baada ya kuchemka umeanzisha ligi???????????/ kaaazi kwelikweli..................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom