Swali kuhusu makala za elimu magazetini

AHAKU

Member
Jan 28, 2010
26
1
Habari zebu wadau wa ukumbi huu wa elimu. Naomba kujua katika magazeti yote nchini Tz gazeti lipi linaongoza kwa kuwa na makala nzuri za elimu zilizotafitiwa na zenye kuelimisha jamii
Asanteni
 
kwa vipi hakuna baba Enock? unaweza kunipa mwanga kidogo kuhusu jibu lako tafadhali. Nashukuru
 
Kwako wewe makala ya elimu kwenye gazeti ina sifa gani ?

  • Habari ya uchumi inaweza kuwa na elimu ya uchumi
  • habari ya kisiasa inaweza kuwa na Elimu ya kisaisa
  • habari ya kiteknolojia inaweza kuwa na elimu ya
  • Etc... etc infact ata kwenye uwazi na ijumaa kuna elimu msomaji anaweza kupata
So inategemea wich scope of general education uko interested nayo?

Kama ulimaanisha makala za elimu ya masomo ya darasani mashuleni na vyuoni nadhani hakuna. Kuna kipindi haki elimu walikuwa wanafanya research na kutoa mapendekezo yao sijui wameishia wapi. Inawezekana walikuwa wanaongeza chumvi zaidi au serikali haikupenda kukosolewa
 
Kama unataka elimu subscribe kwene journals za kitaaluma, magazetini utapoteza muda wako tu.
 
Back
Top Bottom