Hakuna agent anayesajili line za mitandao tofauti? Kama yupo basi hii theory inaweza kuwa kweli. Anachukua finger prints na details alizomsajilia mtu wa tigo kumsajilia wa voda. Bongo wajanja wengi tusipuuze.
Hakuna risk kubwa siku hizi kama kumpa lifti mtoto wa mtu...
Asiporudi nyumbani utajua kama una roho nzuri au mtekaji...
Mimi sijaribu….na sitaki umpe mwanangu lifti...
Dunia imeharbika siku hizi...
Kuna mzee mwanae alipata ajari akiwa kwenye lifti ya jirani yake...akaja jua kuwa hiyo lfti...
Wanaandika ili ujue shule tajwa ina wanafunzi wangapi...
SI unajua ukiwa na wanafunzi wengi unakuwa na mzigo mkubwa zaidi...
Hivyo basi bila ya kujua jumla ya wanafunzi unaweza pambanisha shule yenye watoto 10 na yenye 300.
Bora na shule nyingine ziibuke kwenye kufanya vizuri...
Tulichoka kuona shule zile zile...
Hii ina maana kila shule inaweza, wakiwa serious.
Pongezi kwa mkoa wangu Kagera kwa kurudisha heshima....
Haya mabasi sijui life span yake itakuwa miaka mingapi...
Kupanga foleni ili kila mtu audumiwe kwa muda aliofika ni mtihani mkubwa sana TZ na Afrika kwa ujumla...
Hii picha ina maelezo mengi sana kubwa ni roho ya UMIMI...itatufanya tubaki hivi hivi miaka nenda rudi
Wapiga kura wa sasa hivi wana maslai binafsi ya moja kwa mmoja. Ukiwa neutral sidhani kama unaweza kujianika juani kwa Mara ya pili. Hata CDM ni siwaamini. Nakaa home naangalia TV waache wajasiriasiasa wakapige kura.
Nimewaza kwa mapana kama wewe....habari ya mchina unatakiwa uisome kwa jicho la tatu...
Japo hii naona iko staright unless wakane kuwa ni uzushi...
China lakini yuko wazi kuwa anafata economic diplomacy...hatoi msaada bure bure anaangalia maslai yake kiuchumi...
Sasa yani ukope ukitegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.