NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

Yani toka jiwe kaingia madarakani siku hizi geita haikosi top ten
Screenshot_20181023-173957.jpg
 
amesema pia kiwango cha ufaulu wa somo la Kiingereza uko chini sana tofauti na masomo mengi

Takwimu zinaonyesha ufaulu katika masomo ya Kiingereza, Maarifa ya jamii, Hisabati na Sayansi umepanda kwa asilimia kati ya 4.03 na 11.92 ikilinganishwa na mwaka uliopita.

Sijaelewa kinachozungumzwa kuhusu kiwango cha ufaulu wa English.
 
Hujui chochote kuhusu kufunga maswali au ulifundishwa na walimu hawajui kutunga multiple choice. Hakuna maswali magumu kama multiple choice kama yametungwa na mtaalamu
Kama yangekua magumu yangepewa maksi nyingi kuliko maswali ya essay
 
Inasikitisha sana. Pia kiukweli mkuu kwa uandishi wako na wewe inaonekana ni zao la mfumo ule ule wa elimu unaokosolewa. Maneno kama yani, ebu, fikilia, raisi, tanganyika, nyerere....
I've learned so much from my mistakes ...I'm thinking of making a few more.
 
Mbona wameandika idadi yote ya wanafunzi wa shule mzima?
Inamaana wamefaulu wote?
Au nitajuaje aliyefaulu?
Naomba kusaidiwa namna ya kumtambua aliyefaulu
 
Kuna shule matokeo hayapo kwa watahiniwa wote badala yake wamewekewa s* inamanisha nini
 
Serikali bado haijajipanga kuboresha huduma ya elimu,lkn kwa hatua hii c mbaya. Lkn hakuna kitu kwa mwendo huu.
 
Bora na shule nyingine ziibuke kwenye kufanya vizuri...
Tulichoka kuona shule zile zile...
Hii ina maana kila shule inaweza, wakiwa serious.

Pongezi kwa mkoa wangu Kagera kwa kurudisha heshima....
 
Wanaandika ili ujue shule tajwa ina wanafunzi wangapi...
SI unajua ukiwa na wanafunzi wengi unakuwa na mzigo mkubwa zaidi...
Hivyo basi bila ya kujua jumla ya wanafunzi unaweza pambanisha shule yenye watoto 10 na yenye 300.
Mbona wameandika idadi yote ya wanafunzi wa shule mzima?
Inamaana wamefaulu wote?
Au nitajuaje aliyefaulu?
Naomba kusaidiwa namna ya kumtambua aliyefaulu
 
Sasa wale waliorudia kutoka shule mbali mbali baada ya kufutiwa Kama kutoka Hazina, New hazina, alliance,new alliance and Co je wapo kwenye kundi la watahiniwa 357 waliofutiwa au matokeo yao yanapatikana wapi??
Matokeo yako yanapatikana katika Shule walizofanyia mitihani. Wamekuwa wanafunzi wa shule walizofanyia mitihani. Siyo hizo shule za akina Hazina tena. Hizo shule zimefutiwa usajili wa kuwa vituo vya mitihani kwa sasa. Zimebaki kuwa centre za kufundishia tu bila shaka.
 
Sasa wale waliofanya mitihani kisha ikafutwa walirudia ili kupata acerage alafu wafutiwe au??? aona average zao kama zimeingizwa kwenye data halafu wanafundi ndio wakafutiwa majibu! Ngashoka kabisa!!!!1
 
Back
Top Bottom