NeverExisted
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 406
- 619
watu wamekosa kazi za kufanya. Anyway, wakae la wimbo lao haitupunguzii kitu, kwanza sina hata kipaji cha kuimba.
Wenzako wamesema unabishiNJANO JAMANI MBONA MADARASA YOTE NILIYOSOMA YANATAJA NJANO, HIYO GOLDEN INATOKA WAPI?
Anaesema MARUFUKU ni MTANZANIA! Anaepigwa MARUFUKU ni MTANZANIA! Wimbo ni Wa TANZANIA! Kuuimba inaleta hisia kwamba kweli mimi ni MTZ! Sasa mbona TUNABAGUANA? Nawaomba viongozi wetu hebu JARIBUNI kutafuta lugha nyingine ya KUTOA mnapokuwa na jambo la KUTUELEKEZA cc wananchi badala ya kila mkisema ninyi ni MARUFUKU! Hili neno LINAKERA SANA! MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Dhahabu ni njano.
hakika!Hapo watz wengi hawatojua wimbo wa taifa
Cjui watajifunzaje? Maana ni MARUFUKU KUIMBA bila kibali! Labda wakubwa watatoa UFAFANUZI! Maana anaepigwa marufuku c ni LAZIMA awe AMEJIFUNZA? Sasa wakati Wa kujifunza atakuwa ANASEMA au ANAIMBA? Maana asije akaingia HATIANI! Cjui wakubwa watakuwa wameona TATIZO gani! Maana naona UTAMBULISHO mkubwa Wa RAIA yoyote au nchi ni BENDERA na WIMBO WA TAIFA!Vipi kuhusu walimu kuwafundisha wanafunzi wimbo wa taifa nao ni hadi kuomba kibali??
angalia documentaries nyingi Marekani hata apo kenya wapo so proud kuweka bendera nyumbani kwao, hiyo ndo patriotism. Sio vibali kwenye kila kitu hii sio North KoreaWimbo wa taifa una heshima yake
Maswali ya kijinga.Rangi ya njano inawakilisha madini yote na je dhahabu ndiyo madini yote hapa nchini