Dereva na Kondakta wa bus la Alsaedy Dar- Iringa wapewe tuzo ya utu wema

Kumbe iringa,nilifikiri dar, madereva na makondakta wa dar wamekuwa katili na wanaroho mbaya sana,sio ajabu kukuta kondakta anamsukuma mwanafunzi atoke kwenye gari,wao wanaangalia fedha tu,hawana utu hata kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lkn cha ajabu hao watoto wakipata tatizo ndani ya gari serikali haikuachi.
Lkn kwa sasa hiyihiyo serikali haina habari na hizo km 8 wanazotembea kila siku.
Tz ya vi wonder.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala la kutoa lift alafu itokee tatizo nddani ya gari nilisikiaga siku moja dereva wa bad card ya moro kilosa akiwafokea wanafunzi akiwataka wakachukue kibali polis cha kupewa lift kwenye hio gari ili dereva awe safe incase kikitokea chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapofanya hivyo naomba pia mchukue tahadhari juu ya usalama na ulinzi wa watoto na wanafunzi mnaowabeba, kwani hujitokeza mara kwa mara hao watoto wanajazana na kwa kusimama ndani ya magari yenu jambo linalopelekea usumbufu na bughudha kwa abiria wengine na tishio endapo ajali itatokea.

Tendani wema kwa wanafunzi kwa kutii na kujali sheria za usalama barabarani.
Hamkosekanagi. Daaah kweli kwenye msafara wa Mamba lazima lazima likenge liwemo.
 
Nilikuwa na jamaa yangu alikuwa akikutana na watoto wa jirani wakienda shule umbali mrefu, huwa anawabeba na kuwapeleka, siku moja akawachukua wa 4 wakati wa kurudi nyumbani mchana wakawa wamechelewa kuficha wakarudi jioni aisee yule jamaa ilibaki kidogo apigwe tanganyika jeki, mbaya zaidi wakati anawachukua majirani walimwona akiwachukua...

Hawa wanafunzi hata nimkute akiwa anatoka dar anaenda shuleni Moro kwa miguu sitambeba, ukiwazoesha watabetweka
Hakuna risk kubwa siku hizi kama kumpa lifti mtoto wa mtu...
Asiporudi nyumbani utajua kama una roho nzuri au mtekaji...
Mimi sijaribu….na sitaki umpe mwanangu lifti...

Dunia imeharbika siku hizi...

Kuna mzee mwanae alipata ajari akiwa kwenye lifti ya jirani yake...akaja jua kuwa hiyo lfti ilikuwa ni daily...alisema yule jirani ana bahati kafa…angemuua….maana nauli anampa mwanae daily...yeye nani atoe lifti kila siku tena kwa mtoto wa kike...
 
Nadhani malipo yaliyo bora zaidi analipa mwenyezi mungu.. Aendelee na wema wake huo huo, nijambo la kufurahisha kuona kuna wanadamu wapo wenye nyoyo laini km sufi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapofanya hivyo naomba pia mchukue tahadhari juu ya usalama na ulinzi wa watoto na wanafunzi mnaowabeba, kwani hujitokeza mara kwa mara hao watoto wanajazana na kwa kusimama ndani ya magari yenu jambo linalopelekea usumbufu na bughudha kwa abiria wengine na tishio endapo ajali itatokea.

Tendani wema kwa wanafunzi kwa kutii na kujali sheria za usalama barabarani.
Hata kutembea Kwan miguu pia ni hatari Kwa usalama wao hayo mengine Kama yakitokea basi ni kudra zake mwenyezi mungu lakini hatuwezi kuwaacha watoto barabarani wanateseka na mwendo mrefu kisa tunaogopa sheria hata Huyo afisa usalama akiiona hiyo Hali ataingiwa na huruma lipi bora kuwaacha watoto watembee zaidi ya kilometer 10 wakiwa hoi bin taaban na wewe unapita na gari ambayo hairuhusiwi kubeba abiria na ukawaacha kisa kuogopa sheria au kuwabeba watoto na kukubali kuwa umefanya makosa lakini imekubidi ufanye hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom