Regnatus Cletus
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 958
- Thread starter
- #281
Wewe ni bure kabisa. Hautaki viboko vilivyopitiliza lakini pia hautaki viboko vidhibitiwe. You're a fool.Hizo sheria za kizungu sana...viboko vinne ndo nn..cha msingi busara ya mwalimu unahitajika kwenye hili suala.Hili suala ni la kwenda nalo makini sana maana walimu ndo watu wanaoandaa taifa la kesho....
Hivi mfano walimu wakaamua kuwaachia hao watoto wenu..yaan afanye kazi asifanye kazi, awahi shule asiwahi..etc..wakaamua kutulia tu.si patatokea mmomonyoko mkubwa sana wa maadili....
Ninalaani kupiga viboko kuliko pitiliza..lkn pia viboko lazima....busara itumike tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app