IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 3,173
- 3,825
Yani toka jiwe kaingia madarakani siku hizi geita haikosi top ten
Tena mtihani wa kuchagua jibu sahihi, mwanafunzi anaweza kuotea akalamba 100%.Maigizo tu; watoto wetu wanasoma kwa ajili ya kujibu mitihani ila hakuna wanachokijua.
amesema pia kiwango cha ufaulu wa somo la Kiingereza uko chini sana tofauti na masomo mengi
Takwimu zinaonyesha ufaulu katika masomo ya Kiingereza, Maarifa ya jamii, Hisabati na Sayansi umepanda kwa asilimia kati ya 4.03 na 11.92 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Kama yangekua magumu yangepewa maksi nyingi kuliko maswali ya essayHujui chochote kuhusu kufunga maswali au ulifundishwa na walimu hawajui kutunga multiple choice. Hakuna maswali magumu kama multiple choice kama yametungwa na mtaalamu
I've learned so much from my mistakes ...I'm thinking of making a few more.Inasikitisha sana. Pia kiukweli mkuu kwa uandishi wako na wewe inaonekana ni zao la mfumo ule ule wa elimu unaokosolewa. Maneno kama yani, ebu, fikilia, raisi, tanganyika, nyerere....
Mbona wameandika idadi yote ya wanafunzi wa shule mzima?
Inamaana wamefaulu wote?
Au nitajuaje aliyefaulu?
Naomba kusaidiwa namna ya kumtambua aliyefaulu
Hapo lazima watusue yani mtihani full machagulio ebu fikilia mtoto anapewa swali hili
Raisi wa kwanza wa tanganyika alikua ni nyere_______
A: ra
B: re
C: ri
D: ro
Mpaka 2020 zitakuwa zimepitiliza 100, ukishajua kula na kipofu haikusumbui tenaHivi hizi asilimia zinazoongezeka haijafika asilimia 98 bado?
Matokeo yako yanapatikana katika Shule walizofanyia mitihani. Wamekuwa wanafunzi wa shule walizofanyia mitihani. Siyo hizo shule za akina Hazina tena. Hizo shule zimefutiwa usajili wa kuwa vituo vya mitihani kwa sasa. Zimebaki kuwa centre za kufundishia tu bila shaka.Sasa wale waliorudia kutoka shule mbali mbali baada ya kufutiwa Kama kutoka Hazina, New hazina, alliance,new alliance and Co je wapo kwenye kundi la watahiniwa 357 waliofutiwa au matokeo yao yanapatikana wapi??
AnakwendaMtoto akipata average ya C ataenda secondari? Au ndio imekula kwake?