Search results

  1. nyumba kubwa

    Hongera Rais kwa usajili wa alama za vidole, ila tambua kwamba haupo salama!

    Hakuna agent anayesajili line za mitandao tofauti? Kama yupo basi hii theory inaweza kuwa kweli. Anachukua finger prints na details alizomsajilia mtu wa tigo kumsajilia wa voda. Bongo wajanja wengi tusipuuze.
  2. nyumba kubwa

    Dereva na Kondakta wa bus la Alsaedy Dar- Iringa wapewe tuzo ya utu wema

    Hakuna risk kubwa siku hizi kama kumpa lifti mtoto wa mtu... Asiporudi nyumbani utajua kama una roho nzuri au mtekaji... Mimi sijaribu….na sitaki umpe mwanangu lifti... Dunia imeharbika siku hizi... Kuna mzee mwanae alipata ajari akiwa kwenye lifti ya jirani yake...akaja jua kuwa hiyo lfti...
  3. nyumba kubwa

    KERO ya INTANETI ya TIGO

    Afu tunaambiwa tuwe na line moja... Unazani kuwa na kila laini tunapenda... Unaweza usipatikane wiki... Hasa suala la internet...
  4. nyumba kubwa

    Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Tulikuwa tunaongelea na mwenzangu juzi kati kulikoni wimbo unatumika kiolela
  5. nyumba kubwa

    Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Ila kuna radio inatumia wimbo huu vibaya na kuushusha thamani. Zamani ilikuwa ukiusikia redioni unajua msiba wa kitaifa. Siku hizi umekuwa kibwagizo.
  6. nyumba kubwa

    NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

    Wanaandika ili ujue shule tajwa ina wanafunzi wangapi... SI unajua ukiwa na wanafunzi wengi unakuwa na mzigo mkubwa zaidi... Hivyo basi bila ya kujua jumla ya wanafunzi unaweza pambanisha shule yenye watoto 10 na yenye 300.
  7. nyumba kubwa

    NECTA yatangaza Matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2018. Ufaulu waongezeka kwa asilimia 4.96 kutoka mwaka 2017

    Bora na shule nyingine ziibuke kwenye kufanya vizuri... Tulichoka kuona shule zile zile... Hii ina maana kila shule inaweza, wakiwa serious. Pongezi kwa mkoa wangu Kagera kwa kurudisha heshima....
  8. nyumba kubwa

    Magari ya mwendo kasi yameshindwa kazi abiria wanapata tabu

    Haya mabasi sijui life span yake itakuwa miaka mingapi... Kupanga foleni ili kila mtu audumiwe kwa muda aliofika ni mtihani mkubwa sana TZ na Afrika kwa ujumla... Hii picha ina maelezo mengi sana kubwa ni roho ya UMIMI...itatufanya tubaki hivi hivi miaka nenda rudi
  9. nyumba kubwa

    Hivi Dr Bashiru anajua kuwa chanzo cha watu kutojitokeza kwa uwingi kwenye vituo vya kupiga kura ni CCM wenyewe?

    Wapiga kura wa sasa hivi wana maslai binafsi ya moja kwa mmoja. Ukiwa neutral sidhani kama unaweza kujianika juani kwa Mara ya pili. Hata CDM ni siwaamini. Nakaa home naangalia TV waache wajasiriasiasa wakapige kura.
  10. nyumba kubwa

    Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde

    Amber Rose mbaya?!
  11. nyumba kubwa

    Tusipokuwa makini, kifuatacho ni kusikia ajali za Mabasi ya Mwendo kasi na Treni ya Stesheni-Pugu

    Ungefika Tokyo usingeshangaa treni ya pugu kujaa. Kule treni rush hour zinajaa balaa. Sema zina AC na mazagazaga kibao.
  12. nyumba kubwa

    Zambia: China kuchukua Uwanja wa ndege wa Kaunda kufidia deni, ishachukua shirika la umeme

    Nimewaza kwa mapana kama wewe....habari ya mchina unatakiwa uisome kwa jicho la tatu... Japo hii naona iko staright unless wakane kuwa ni uzushi... China lakini yuko wazi kuwa anafata economic diplomacy...hatoi msaada bure bure anaangalia maslai yake kiuchumi... Sasa yani ukope ukitegemea...
  13. nyumba kubwa

    Hongera Naibu Waziri wa Elimu kwa tamko la kudhibiti viboko mashuleni

    Wewe mchape tu utakavyo... Ila akifa na wewe tunakufunga ....hata kama mtoto ni wako
  14. nyumba kubwa

    Ni adhabu ipi iwe mbadala wa viboko kwa wanafunzi watukutu mashuleni?

    Kwa nini mwanangu awe nunda? Wewe una mtoto nunda? Usiwabatize watoto majina mabaya...ni kuwapa laana
  15. nyumba kubwa

    Ni adhabu ipi iwe mbadala wa viboko kwa wanafunzi watukutu mashuleni?

    Na unajua kuna umri fulani hata mzazi unaona aibu kumpiga mwanao... Sasa hawa walimu wanataka eti kumchapa mtoto ambaye ana nguvu zaid yao... Wajiongeze... Mtoto anapozidi kukua anahitaji kuheshimiwa na wazazi, walimu na jamii
  16. nyumba kubwa

    Ni adhabu ipi iwe mbadala wa viboko kwa wanafunzi watukutu mashuleni?

    maoni yangu ni kuwa kama walimu hawawezi ku control stress zao waache tu kutupigia watoto...watawaua... Hata mzazi hupaswi kupiga mtoto kwa hasira...unaweza kumuua sababu kavunja kikombe tu... Viboko ni short cut ambayo haiko effective kihivyo....unatakiwa uwajue wanafunzi wako na kuwajenga...
  17. nyumba kubwa

    Ni adhabu ipi iwe mbadala wa viboko kwa wanafunzi watukutu mashuleni?

    Unoko ndio adhabu gani? Majibu yako hayako clear. Shule za dini wanapiga? Wazazi wako walikupiga?
  18. nyumba kubwa

    DODOMA: Katibu wa CCM, Bashiru Ally kumuita Waziri anayemiliki ekari 1000 za mashamba kueleza alizipataje

    Ardhi ni mali ya umma chini ya usimamizi wa Rais. Nina wasiwasi hiyo ardhi haitumiki... Ni kosa ku odhi ardhi...angekuwa analima sidhani kama kuna ambaye angemgasi... Safi sana Dk Bashiru...hatutaki watu selfish.
Back
Top Bottom