Fahamu kuhusu kisiwa cha Cape Verde

Tony_CV_Pics_043.jpg

Mkuu Bavaria unaweza kunipatia contact za huyu Mrembo aisee.

Macho yake utayakimbia..
 
1) Cape Verde ni kisiwa kwa muonekano kinafanana sana na Zanzibar.
2) Ili kufika Cape verde ni lazima hutokee moja ya nchi za West Africa sana sana Senegal na nchi za jirani na Senegal kwa maana hakuna ndege za moja kwa moja mpaka Praia.
3) Mji mkuu wa Cape verde ni Praia na sarafu ya nchi iyo uitwa Escudo.
4) Ilikuwa na idadi ya watu laki nne na nusu tu.(nb: yaweza ongezeka) wanawake ikiwa ni laki tatu na wanaume laki na nusu.
5) Watu wa Cape verde ni machotara wa Kireno na Weusi, mfano wa wazawa wa Cape verde ni mwanamitindo maarufu wa Marekani Amber Rose.
6) Raisi wao aliwaomba kila mcape verde wa kiume awe na mahusiano walau na wanawake wawili ili kufanya kila mwanamke apate mwenza.
7) Dunia nzima kuna wa Cape verde million mbili tu(nb: idadi yaweza kuongezeka), wa cape verde wengi wanaishi nchi za ulaya Ureno ikiongoza.
8) Kuna mtanzania mmoja tu tena mwenye asili ya Zanzibar anayeishi na kufanya biashara ya mgahawa nchi Cape verde.
9) Weekend kwa wa Cape verde inaanza Jumatano mpaka Jumapili, (ni wavivu na wapenda starehe pesa zao nyingi utumwa na ndugu zao wanaoishi bara Ulaya).
10) Ukiwa na mahusiano na msichana wa Kicapeverde unaweza kwenda nyumbani kwa wazazi wake na kufanya mapenzi uku wazazi wakiwepo sitting room bila kujali then ukajiondokea bila tatizo lolote wao ni kawaida tu.
11) Kuna wakati team ya mpira wa miguu wa Tanzania (Taifa stars) kipindi cha Maximo kama sikosei ilikuja kucheza na Cape verde wakajaga na Boeing ya Air Tanzania kwa wakati huo, cha ajabu wa Cape verde hawakuwaigi kuona ndege kubwa kubwa kutua mjini Praia na habari zikaenea mji mzima kuwa nchi tajiri imekuja kucheza Cape verde kisa ndege iyo ni kubwa na kwakuwa iliwasubiri wachezaji kwa siku zote walizokuwa Cape verde.
12) Kuna mabinti wazuri sana Cape verde hawa wa kuitwa mapoint five ila usishangae amebeba sinia la ndizi akiuza mjini Praia ni kawaida sana.
13) Cape verde ni nchi inayoongoza kwa Demokrasia Africa.
Hii ni promo nzuri sana hapa watu lazima wajichange waende huko hasa kuona jinsi kulivyo lakini kutest ladha ya hao mabinti
 
Hata mchezaji Nani aliyewahi kuchezea Man U nae asili yake ni huko ingawa ni raia wa Ureno
 
Hapa ndiyo kuna point ya muhimu ya kujadili, nauli inaweza kufikia ngapi wadau, Ubalozi wao hapa Tanzania upo maeneo gani

10)
Ukiwa na mahusiano na msichana wa Kicapeverde unaweza kwenda nyumbani kwa wazazi wake na
kufanya mapenzi uku wazazi wakiwepo sitting room bila kujali then ukajiondokea bila tatizo lolote wao ni kawaida tu.
 
9 na 10 ni chai tamu sana. Asante mleta uzi nimefungua kinywa.
9 ni kwa kuwa wanakula bata through and through na hii desturi ipo sana kwa Portuguese speaking countries hasa kwa machotara lakini,10 ipo exactly kama ilivyoelezwa(tembea ujionee,seeing is believing). Kuna tofauti sana ya tamaduni na malezi kati ya nchi na nchi(jamii na jamii) na factors zinazosababisha huwa ni nyingi sana.
 
Kuna wakati team ya mpira wa miguu wa Tanzania (Taifa stars) kipindi cha Maximo kama sikosei ilikuja kucheza na Cape verde wakajaga na Boeing ya Air Tanzania kwa wakati huo, cha ajabu wa Cape verde hawakuwaigi kuona ndege kubwa kubwa kutua mjini Praia na habari zikaenea mji mzima kuwa nchi tajiri imekuja kucheza Cape verde kisa ndege iyo ni kubwa na kwakuwa iliwasubiri wachezaji kwa siku zote walizokuwa Cape verde.
Alafu Lemutuz anasema ni mara ya kwanza Serikali kutoa ndege kwenda huko, wakati imeshawai kufanyika na ndege iliwasubiri mpaka mechi imalizike..
 
Namba 12 ungeweka na kapicha ingependeza zaidi
Ahsante kutujuza
 
Alafu Lemutuz anasema ni mara ya kwanza Serikali kutoa ndege kwenda huko, wakati imeshawai kufanyika na ndege iliwasubiri mpaka mechi imalizike..
Mkuu wachana na mzee wa Makaptura akili zake kama kibamia chake
 
mkuu kama masterkey kama una no yam caperde ni pm tafadhali.
Nimebatakia kufika na kukaa kwa wiki 3, kuna watoto wazuri aiseee, ni hatari. Cha nyongheza tu, jamaa wanapenda sana kufanya jogging jioni. Ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom