Zambia: China kuchukua Uwanja wa ndege wa Kaunda kufidia deni, ishachukua shirika la umeme

Hii ndo ile kusema nchi imeuzwa tulikuwa nao sana huu msemo zamani
Habari kutoka Zambia zinaeleza kuwa, China inakusudia kuchukua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka kutokana na nchi hiyo kushindwa kulipa madeni. Tayari China imechukua Shirika la Umeme Zambia (ZESCO) na Shirika la Habari Zambia (ZNBC).

=====

The respected Africa Confidential has revealed that talks are underway for a Chinese company to takeover power utility ZESCO.

And Africa Confidential has warned that Zambia risks losing its sovereignty to China as that country will seize national assets once government defaults on loans.

In a report titled ‘Bonds, bills and ever bigger debts’ published on September 3, Africa Confidential observed that ZNBC was already being run by the Chinese and disclosed that Zesco was also already in talks about a takeover by a Chinese company.

“A major worry of the IMF and US is that China’s BRI strategy is first to encourage indebtedness, and then to take over strategic national assets when debtors default on repayments. The state electricity company Zesco is already in talks about a takeover by a Chinese company, AC has learned. The state-owned TV and radio news channel ZNBC is already Chinese-owned. The long-term outcome could be effective Chinese ownership of the commanding heights of the economy and potentially the biggest loss of national sovereignty since independence,” the report read.

Africa Confidential noted that Zambians would be alarmed to learn the real Chinese debt figures.

“Zambia is a good example of what the International Monetary Fund and the United States Senate are calling a crisis of accelerating developing-country indebtedness to China.

Signing a contract with China is like, ascribing to the boiling frog effect; a fable describing a frog being boiled alive slowly. If you drop a frog suddenly into boiling water, it will jump out, but if you put that same frog in a vessel of water and start heating the water gradually, it will adjust its body temperature accordingly until it reaches a stage beyond its capacity and dies foolishly.

It’s rather pathetic how China is re-colonizing Africa by appealing to the ignorance and selfish interests of our leaders. Today, the Chinese are offering mouthwatering deals to Africa, both in cash transactions and the outmoded or rather defunct barter trade which seem very attractive on the outlook but dangerous in reality.

The Zambian government contracted the Chinese, lazy-thought and glossed over details thinking they were granting consent to gernuine terms but the whole thing just morphed into modern day colonialism. China is now proposing to take over the Kenneth Kaunda International Airport should Zambia Government fail to pay back its huge foreign debt on time. The issue of whether Zambia posses the required economic muscle to repay that debt is in contention considering the amount involved. It’s typical of the Chinese strategy.

That moreover is not the only thing Zambian suffered from China; the Chinese own 60% shares of the Zambian National Broadcasting corporation which means, Chinese have an influence over what should or should not be premiered on their sets.

Ghana is equally towing same lane as our leaders have started signing contracts already; Chinese owned company, STARTIME is gradually gaining grounds over our major institutions, our biggest mining companies will soon be “taken” over by a Chinese company and many others. Now if this is not modern day slavery, what then is it? The 21st century African slave is never in chain; we are in debt caused by the ignorance or selfish interests of our leaders. Pathetic!

China To Take Over Zambian International Airport For Debt Repayment Default - Inside Business Online
Oooooh Mungu tuepushe tusije rudi kwenye utumwa sababu ya mikopo isiyolipika.
 
Wazungu siyo watu wakuamini sana, wamegombana na china sasa wanataka na sisi Africa tugombane nao, by the way kukwepa taifa linaofikisha 70% ya wakaazi wa dunia ni kujitoa duniani.
 
Hii hatari. Tulisoma ktk historia 1884 wazungu walikaa Berlin wakaigawana Africa, sasa tunakoelekea vitukuu vyetu vitasoma miaka ya 2000 viongozi wa Africa walijipeleka wenyewe kwa mchina na kumkabidhi nchi zao.
Wachina wanataka kusitisha policy ya mtoto mmoja kwa familia na wako busy kutafuta makoloni ya ku-dump watu wao. Viongozi wetu badala ya kucheka cheka wayaangalie haya mambo kwa umakini mkubwa.
Siku zote binadam atabaki mwanadam tu!!!

Tatzo letu huwa tunashabikia mambo hovyo bila kufanya uchunguzi na kufikiri juu ya hawa mataifa ya nje na mbaya zaidi akijitokeza kiongozi wa kiafrika mwenye mitazamo hasi na haya mataifa utasikia mikelele tena mingne ikitoka ndani kabsa ila mambo yakienda kombo tunaanza teeena kulalamika!!!!
 
Mikataba yote aliyoingia Kikwete kichwa kichwa na China inabidi ifumuliwe, hasa ile ya gesi.
 
Donald Trump alisema "China is a cancer of the world"

China yupo kote kote anasumbua mataifa makubwa na matajiri kwa biashara isiyo fair.
Huku Africa hana upinzani wowote. Tukiendelea kujifanya kwamba china ndio rafiki wa kweli kwasababu kwenye mikopo na misaada yake hana masharti ipo siku atamega kipande Fulani cha Africa.

China ni wa kumkataa kwa namna zote kwasababu yeye hana kitu kinachoitwa haki za kibinadamu,utawala bora,Democracia kwenye kutoa pesa zake yeye hutazama interest zake yaani hana ubinadamu kabisa tofaut na mataifa ya mangaribi.
Ndg hakuna cha mchina wala cha m USA... Wote ni wale wale ila wanazidiana mbinu tu, huyu anakuwa na mbinu zake hyu naye anakuja na zake

Kwa upande wa china ni ukweli kbsa kwamba hawa jamaa wanalengo la kutengeneza taifa lao nje ya uchina.. Ndio maana kila sehem wanajitolea misaada na sashv kupitia chuo chao cha Confucius wamejenga maktaba karibia Africa nzima na kuanzisha programme za chuo chao na wqtu weng wanajifunza kichina matokeo yake tutayaon hutoshangaa kuona kina Mamã ntilie wakiwa na wqtoto wa kichina

Uingereza nae saizi hajihangaishi na haki za binadam na hii ni baada ya kutokea Brexit,,, hvyo tujiandaeni na kwa ufinyu wetu wa kufikiri akitokea kiongozi ambaye hafungamani nao kwa kiasi tunapiga makelele....
 
Mikataba yote aliyoingia Kikwete kichwa kichwa na China inabidi ifumuliwe, hasa ile ya gesi.

Umesahau skendo ya former prince kudakwa na sembe akiwa huko mongorian???alifanya bila kukusudia mkuu.
 
Labda sielewi vizuri kingereza - ni wapi Wachina wamesema wanataka kupora mashirika ya UMMA ya Zambia ili wafidie madeni yao - WAPI?

Kwa nini watu wanashindwa kutambua kwamba hizo ni propaganda za nchi magharibi specifically Amerika na Uingereza zenye lengo la ku-demonise Wachina, wanawaonea wivu Wachina wanavyo wekeza katika Bara la Africa katika nyanja za viwanda,kusaidia kukuza miundo mbinu mfano:Ujenzi wa mabarabara,reli,umeme nk - ni hilo tu,wazungu hawataki Bara LA Afrika lipige hatua kwenye masuala ya maendeleo na kujitegemea, wanataka sisi tuwe wazalishaji wa Mali ghafi za kutumika kwenye viwanda vyao halafu watuuzie fished goods kwa bei mbaya - wazungu walizoea kutunyonya miaka nenda rudi.

Hivi sasa Wazungu wamepanga mikakati mahususi ya upotoshaji, wanatumia vyombo vyao vya habari kueneza habari za kuchonga tu kuhusu ujio wa Wachina Barani Afrika,si hilo tu hata viongozi wa ngazi za juu kutoka Marekani na Uingereza wanatembelea Afrika na kujaribu kuwatisha tisha Viongozi wa Afrika kuhusu ubaya wa Wachina - wanawasingizia tu.

Nani ambaye hajui kwamba Africa Confidential linachapishwa Uingereza kwa usimamizi wa idara ya ujasusi ya Uingereza,nani ambaye hajui kwamba shirika la IMF muhusika mkuu na muanzishaji wake ni Serikali ya Marekani,sasa unategemea taasisi hizo zipo kwa maslahi ya akina nani kama sio Marekani na Uingereza - chunga sana jamaa hawa/wazungu si watu wema hata kidogo.
 
Wengine watakwambia; Ujamaa Mwiko bora Ubepari.

Africa tupo-tupo ulimwenguni utafikiri tumetoka Jeshi la wafu,hatatambui kama tunakwenda mbele au Nyuma.

Russia na China walishaachana na Ukomunisti, Ujamaa, na wamekuwa mabepari wakubwa kuliko nchi za capitalism. Angalia wanavyo wanyonya nchi kama Zambia na mikataba ya gesi, madini!! Angalia viongozi wanavyoficha pesa ndani ya nchi na nchi za nje! Angalia mahekalu ya viongozi yalivyo nje na ndani ya nchi zao! Wananyonya hata kuliko nchi za Magharibi kama UK.
 
Kuna ukweli gani katika maoni yako,Tanzania ilitawaliwa na Wazungu zaidi ya miaka tisini,je,walituachia nini cha maana/kujivunia baada ya kututawala kwa karibu karne moja - hakuna. Sasa wao wana moral Authority gani ya kuwanyoshea vidole Wachina??
 
Labda sielewi vizuri kingereza - ni wapi Wachina wamesema wanataka kupora mashirika ya UMMA ya Zambia ili wafidie madeni yao - WAPI?

Kwa nini watu wanashindwa kutambua kwamba hizo ni propaganda za nchi magharibi specifically Amerika na Uingereza zenye lengo la ku-demonise Wachina, wanawaonea wivu Wachina wanavyo wekeza katika Bara la Africa katika nyanja za viwanda,kusaidia kukuza miundo mbinu mfano:Ujenzi wa mabarabara,reli,umeme nk - ni hilo tu,wazungu hawataki Bara LA Afrika lipige hatua kwenye masuala ya maendeleo na kujitegemea, wanataka sisi tuwe wazalishaji wa Mali ghafi za kutumika kwenye viwanda vyao halafu watuuzie fished goods kwa bei mbaya - wazungu walizoea kutunyonya miaka nenda rudi.

Hivi sasa Wazungu wamepanga mikakati mahususi ya upotoshaji, wanatumia vyombo vyao vya habari kueneza habari za kuchonga tu kuhusu ujio wa Wachina Barani Afrika,si hilo tu hata viongozi wa ngazi za juu kutoka Marekani na Uingereza wanatembelea Afrika na kujaribu kuwatisha tisha Viongozi wa Afrika kuhusu ubaya wa Wachina - wanawasingizia tu.

Nani ambaye hajui kwamba Africa Confidential linachapishwa Uingereza kwa usimamizi wa idara ya ujasusi ya Uingereza,nani ambaye hajui kwamba shirika la IMF muhusika mkuu na muanzishaji wake ni Serikali ya Marekani,sasa unategemea taasisi hizo zipo kwa maslahi ya akina nani kama sio Marekani na Uingereza - chunga sana jamaa hawa/wazungu si watu wema hata kidogo.
Nami inanipa ukakasi kidogo kuhusu ubaya wa China kiasi hicho kama baadhi ya wadau wanavyouelezea, mbona kipindi cha utawala wa Mwl Nyerere kipindi akiwa na mahusiano ya karibu na China viwanda vilikuwepo hata kama havikuwa vingi lakini vilijengwa tena vingine kwa udhamini wa serikali ya China, baada ya utawala wake kuondoka na waliomrithi viwanda vingi vikafa na baadhi ya miundombinu uendeshaji wake ukawa wa hovyo, mfano reli ya Tazara imekuwa ya hovyo kidogo yenye afadhari ni hii treni inayosimamiwa na wazambia.
Kwa uelewa wangu mdogo, mambo mengi yalianza kuharibika baada ya Tanzania kuanza kufungamana na nchi za magharibi kupitia World Bank, IMF, na baadhi ya mashirika ya UN.
 
wakati mwingine hi mikopo inabidi ijadiliwe kwnza bungeni kbl nchi husika haijapewa..
 
Mabucha ya vjijini ukienda kununua nyama ukishapimiwa kiasi chako mwisho unaongezwa nyama flani inaitwa washiwashi(mapafu). Waafrica hapa duniani naonaga kama nyama ya nyongeza.
Sijidharau ila tuna ujinga iwe tumetengenezewa au tumezaliwanao basi ni ujinga komavu.
 
Wazungu siyo watu wakuamini sana, wamegombana na china sasa wanataka na sisi Africa tugombane nao, by the way kukwepa taifa linaofikisha 70% ya wakaazi wa dunia ni kujitoa duniani.
Nimewaza kwa mapana kama wewe....habari ya mchina unatakiwa uisome kwa jicho la tatu...
Japo hii naona iko staright unless wakane kuwa ni uzushi...

China lakini yuko wazi kuwa anafata economic diplomacy...hatoi msaada bure bure anaangalia maslai yake kiuchumi...
Sasa yani ukope ukitegemea msamaa...kopa kama mradi unalipa
 
Waulize brunei, taiwan ,phillipine,vietnam, malysia kuhusu south china sea yaani ni balaa na jamaaa kachukua bahari yote kwa kusema ni yake hivyo huruhusiwi kusafirisha kitu bila idhini yake na anaunda masive base yake kwene bahari sasa nyinyi je atawafanya nini kama majilani zake kawafanya vile
 
Back
Top Bottom