Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

Zuwena Mohammed 'Shilole': Uzi Maalumu

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,345
Uzi huu utakuwa maalum kwa sisi washabiki, wapenzi, wanaomtakia mema na bila kusahau wanaomchukia Dada huyu nguli wa Bongo Fleva.


Shishi.jpg

Karibuni tujumuike ...

#Shi...Shi!
#Shilole
#ShihiBaby
#IgungaMoja


 
Last edited by a moderator:
kuna clip moja niliiona, anacheza na mshikaji kama wanatiana.
 
mbna mnajaza server za magufuli jamn huu uzi ufutwe mara moja atujajua magufuli keshoo ataamka na nn
 
Yani kweli mtu anaandaa uzi kwa ajili ya hyo nani sijui? ni kukosa kazi ya kufanya au mahaba?
 
Munavyovichukia anavyovifanya ndivo hivo vinavyomtoa na anapiga hela na maisha anayasongesha na sisi wengine ndio tunavyovipenda hongera shishi baby kwa kupigania maisha yako sio kusubiria kuhongwa.
 
We nae chizi wa wap? Shilole nae ni nguli? Acha kutujazia takataka humu ilihali kuna mambo ya msingi ya kujadiliana
 
Wasanii wa kike wote katika Afrika ya mashariki hakuna anayemfikia Shishi baby kwa performance. Ndio maana anapiga show nyingi za ughaibuni. BASATA wanabana Tu lakini alitakiwa apige show Kama 50 hivi USA na Australia
 
Shilole ni nguli ? Teh teh teh teh!


Anyway ni nguli wa kuliwa na kushikwa nyonyo na wazungu.....

Basata wamemfungia kwa unguli huo huo...
 
Back
Top Bottom