- Jan 30, 2008
- 948
- 2,157
Messi ndio bingwa
Pole sana mkuu, Messi hakufanya la maana msimu uliopita.
Messi ndio bingwa
siasa tena kama kawaida...
Si kweli bhana..........
Hivi nahodha wa timu yenu ya Tanganyika aliyepiga kura anaitwa nani?
Ronaldo wamembeba tu
Mimi ndio nahodha was tanganyika
mesi anastahili
Hivi kuna watu hapa duniani bado hawajui kuwa zama za Messi zimeisha? Mwakani kama si Ronaldo tena basi ni Neur au mwingnine. Si Messi.
Manuel Neuer..
Mess alishapata mara 4, zinamtosha hizo. CR7 bado moja tu kama atafanikiwa!
Tunaweza kupata vijana wapya kama akina Eden Hazard, Alex Sanches n.k!