muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,175
- 15,530
Hongera Ronardo,apunguze nyodo,kitendo chako cha kumnyali Bale kisa hajakupasia wewe ili ufunge Si cha uanamichezo,Babu Fegie hajakulea hivi...
Sio ishu sana
Huu mchezo unaitwa football sio headball.....nadhani ndio sababu goli bora ni LA James Rodriguez sio van persie....goli bora LA mpira wa miguu lazima lifungwe na mguu

Kwa 7bu kuna vitu vingi vya kujiuliza, kwa nn James amzidi RVP zaidi ya mara 2 kwa idadi ya kura wakati kwa uhalisia wa ubora wa magoli yenyewe hauakisi hizo idadi za kura.
David Luiz hapana
sio Luiz tu , hicho kamwe hakiwezi kuwa kikosi bora cha dunia, mbona wengi wanaonkana kupugua makali yaokweli kabsaa,hakustahili.
No. 9 wa uhakika ni nani hapo ? Di Maria, Ronaldo, Robben wazuri wakitoea pembeni , kuna hushidi hapo ?