Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

Kwa vigezo vipi? Au kwa kuwa aliiongoza URENO kuchukua/kutwaa KOMBE LA DUNIA? Hataivo HONGERA kwake kwa mafanikio, na kwako pia kwa kufurahia habar hiyo maana jana ulinuna!!! (MANUTD 0-1 SO'TON).
 
Puskas award ndo nini mkuu

Goli bora


Kweli kabisa...ila anaweza kusoma ziadi

The FIFA Puskás Award is an award established on 20 October 2009 by the Fédération Internationale de Football Association (FIFA) at the behest of its President Sepp Blatter in order to award the player, male or female, judged to have scored the most aesthetically significant, or "most beautiful", goal of the year

MORE DETAILS HERE


 
Wenye updates jaman kutoka huko Zurich, nani mshnd wa tuzo tajwa kwenye kichwa cha habar hapo juu?
 
Huu mchezo unaitwa football sio headball.....nadhani ndio sababu goli bora ni LA James Rodriguez sio van persie....goli bora LA mpira wa miguu lazima lifungwe na mguu
 
...the only one star CR7, and that marks the end of messi, kye kye kye....
 
Tunzo ya Fifa Balllon d'or kwa 2014 imenyakuliwa na mchezaji hodari wa Real Madrid Christian Ronaldo.

Hongera
 
24A57F4F00000578-2907063-image-a-59_1421091114194.jpg
 



Pamoja na kutangazwa tuzo mbalimbali kwenye Ballon d'Or leo, pia kilitangazwa kikosi cha wachezaji 11 bora kwenye nafasi zote 11 uwanjani.

Mchezaji mmoja tu kutoka Ligi Kuu England ambaye ni Angelo Di Maria wa Manchester United ndiye alitajwa.
Wengine wanatokea katika klabu za Hispania, Ujerumani na Ufaransa huku Italia ikiambulia patupu.


WACHEZAJI BORA 11 DUNIANI AU KIKOSI NAMBA MOJA BORA DUNIANI CHA FIFA HIKI HAPA.


World XI:

Neuer; Lahm, Ramos, David Luiz, Thiago Silva; Di Maria, Iniesta, Kroos; Messi, Ronaldo, Robben
150113081009_kikosi_640x360_bbc_nocredit.jpg

Kikosi bora cha kandanda kwa mwaka 2014

Shirikisho la soka dunia Fifa limetangaza kikosi cha wachezaji bora wa dunia .

Kikosi hicho kinawajumuisha nyota watatu waliokua wakiwania tuzo ya mchezaji bora wa dunia ambao ni Ronaldo,Messi na Neuer.

Kikosi kamili kipa ni Manuel Neuer. Mabeki Philipp Lahm, David Luiz, Thiago Silva na Sergio Ramos. Viungo Andres Iniesta, Toni Kroos, Angel di Maria.Huku safu ya ushambuliaji ikiongozwa na Arjen Robben, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.

Chanzo:BBC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom