Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,603
- 22,717
Leo ndio siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa mpira wa miguu dunia nzima ambapo ndio siku rasmi ya kumpata mchezaji bora wa Dunia.
Tuzo zitakuwa live Zurich-Switzerland kuanzia saa 20:30, kwa muda wa Afrika Mashariki.
Fifa Ballon D'or inatolewa kwa mchezaji ambaye amefanya vizuri kwenye kalenda ya mwaka uliopita (2014).
Mshindi huyo anapigiwa kura na makocha wa timu,makapteni wa timu pamoja na waandishi wa habari ulimwengu mzima.
Mpaka sasa Tuzo hiyo inashikiliwa na mchezaji machachari wa Real Madrid (CR7).
=> Tatu bora ya wanaowania tuzo ya Ballon D'or 2014
1. Cristiano Ronaldo, Mchezaji bora wa ulaya, 2013-2014
2. Manuel Neuer, Mshindi wa Golden Gloves kombe la dunia 2014
3. Lionel Messi, Mchezaji bora wa mashindano ya kombe la Dunia, 2014
Nani kuibuka mshindi na kete yako unampa nani?
=========================
WORLD XI:
Goalkeeper: Neuer
Defenders: Lahm, Ramos, David Luiz, Thiago Silva
Midfielders: Di Maria, Iniesta, Kroos
Fowards: Messi, Ronaldo, Robben
FIFA PRESIDENTIAL AWARD: Hiroshi Kagawa
FIFA WORLD COACH OF THE YEAR FOR WOMEN'S FOOTBALL: Ralf Kellermann
FIFA WORLD COACH OF THE YEAR FOR MEN'S FOOTBALL: Joachim Low
FIFA FAIR PLAY AWARD: FIFA Volunteers
FIFA PUSKAS AWARD: James Rodriguez
FIFA WOMEN'S WORLD PLAYER OF THE YEAR: Nadine Kessler
FIFA BALLON D'OR WINNER: CRISTIANO RONALDO
Matokeo ya kura:
Cristiano Ronaldo: 37.66%
Lionel Messi: 15.76%
Manuel Neuer: 15.72%.

====Updates =====