Kinachonisikitisha wabantu hawamo kabisa ,si mchango katika kandanda,wanawake wala wanaume.
Bado tunabaguliwa
Puskas award
Winner: James Rodriguez
Kinachonisikitisha wabantu hawamo kabisa ,si mchango katika kandanda,wanawake wala wanaume.
yaya tuoreunafikiri nani mweusi alistaili kuwemo na akabaguliwa kutokuwemo???
kama hapo chini
![]()
unafikiri nani mweusi alistaili kuwemo na akabaguliwa kutokuwemo???
Puskas award
Winner: James Rodriguez
yaya tuore
binafsi namkubali Yaya lakini kiuwezo sidhani kama anaweza compete na hao watajwa husika kwa sasa
Messi+Ronaldo+neymar # Ronaldinho's left foot
kajitahidi sana jamaa anaweza sana..