Kwa maelezo hayo bila kuongeza neno, Zoku ni janga lingine la kitaifa!
Mtazania anaelemewa na tsh 7000 ya Startimes leo useme unamsaidia kwa 40000??
DSTV wataendelea kuwajuu kwakuwa wanachaneli za mpira!
Vp kuhusu watu wa mikoani unatakiwa kuwa na nini uweze kuunganishwa?
Wewe kweli huelewi dstv nini. Huwezi hata cku moja kulinganisha dstv na hawa wapuuzi wengine wa kibongo, wanaochoma mahindi tu. Dstv inakubalika Africa nzima+Ulaya coz huduma na station zao ni world class. Na tena, bei wanazoweka ni cheap sana. $78 unapata chaneli 180+, kutoka kila kona ya dunia, marekani, ulaya, afrika, asia, u name it! So for nw, dstv haina mpinzani, sio bongo tu, bali afrika nzima!
Mkuu pamoja na juhudi kubwa ya kujaribu kuipamba Zuku lakini nataka nikwambie kuwa kama wewe usivyoweza kuilinganisha Zuku na akina Startime na ting ndio hivyo hivyo huwezi kulinganisha DSTV na Zukuwewe ndio hujui kabisa dstv ina channel ngapi unazoweza kuangalia kwa premium boequet,nenda kwa jirani yako unakoangalia kahesabie upya uone kama zinafika 180,kwa taarifa yako si channel zote uzionazo kwenye decoder ya dtv zinafunguka hapa kwetu na channel kama 107 hv ukijumrisha na free to air,watu wengi mnapoona namba zinaanzia mia mpaka mpaka mia saba basi unajua channel zote utaziona mfano mnet kuna east na west ile west [dstv 103]huku kwetu haifunguki ni kwa ajiri ya west tu.au channel kama fox,fx nazingine huku kwetu hazifunguki hata ulipie premium,na unaposema dstv inakubariki ulaya huo ni uongo mkubwa kwani beam za dstv ni kwa africa tu na itakubariki vp ulaya wakati kule kuna sky ambayo channel karibu zote unazoziona kwenye dstv zinatoka huko?hata channel zinazotoka usa dstv hapati moja kwa moja zinapitia ulaya na tunaangalia uk version na si usa version na ndio maana utakuta channel ni ile ile lkn program ni tofauti unayoaangalia wewe na ya marekani.kwa wapenzi wa movies na music zuku wapo juu tofauti na dstv ambao movies zao wanarudi rudia
si kwamba naipamba zuku ninachoelezea nikuwa ili kupunguza gharama za kuumia na laki na 30 kwa mwezi[tena leo wametangaza kuanzia april moja ada itaongezeka kwa package zote] kwa premium bouquet ya dstv unaweza ukawa na zuku ambayo nipungufu ya gharama na mpira ukaangalia pub,channel zingine zote content zake hazina tofauti kati ya dstv na zuku tofauti ni majina tu.kusema ukweli dstv wapo juu hasa kwa sports na series wanapata the best series na sports unaangalia kila kitu tatizo ni kwenye movies wanarudia sana.kama fungu lipo la kulipia premium nenda dstv lkn kama halipo nenda zuku....ukilipia compact bouquet channel za movies ni mbili mnet action na universal studio na unalipia elfu 50,music ni channel o na trace,sports ni espn,ss9 haina ligi yoyote ya ulaya,sasa hapo angalia wewe bora dstv compact kwa alfu 50 au zuku kwa 40..dstv wananyonya sana ndio maana nina hasira nao na toka zuku wameingia decoder yao nimeweka kabatini,sitatumia tena.Mkuu pamoja na juhudi kubwa ya kujaribu kuipamba Zuku lakini nataka nikwambie kuwa kama wewe usivyoweza kuilinganisha Zuku na akina Startime na ting ndio hivyo hivyo huwezi kulinganisha DSTV na Zuku
Kifupi kwa mazingira ya kibongo bongo Zuku wapo vizuri zaidi kuliko akina Startimes na wenzake lakini kwa bei ya sh 40,000 bado ni kubwa hasa ukizingatia kikubwa zaidi kilichozidi kwenye Zuku ni Movies
Kwangu mimi tatizo sio wingi tu wa channel lakini ubora na mvuto wa channel kwa watu husika una matter sana
Binafsi kama ni sh 40,000 bora nijipinde na DSTV au nikomae na akina sh 9,000
Labda hii zuku ina packege zake nivizuri ukitujuza na bei au bei ni moja tu 40,000?
unatakiwa kuhamia dar tu mkuuVp kuhusu watu wa mikoani unatakiwa kuwa na nini uweze kuunganishwa?
unatakiwa kuhamia dar tu mkuu
si kwamba naipamba zuku ninachoelezea nikuwa ili kupunguza gharama za kuumia na laki na 30 kwa mwezi[tena leo wametangaza kuanzia april moja ada itaongezeka kwa package zote] kwa premium bouquet ya dstv unaweza ukawa na zuku ambayo nipungufu ya gharama na mpira ukaangalia pub,channel zingine zote content zake hazina tofauti kati ya dstv na zuku tofauti ni majina tu.kusema ukweli dstv wapo juu hasa kwa sports na series wanapata the best series na sports unaangalia kila kitu tatizo ni kwenye movies wanarudia sana.kama fungu lipo la kulipia premium nenda dstv lkn kama halipo nenda zuku....ukilipia compact bouquet channel za movies ni mbili mnet action na universal studio na unalipia elfu 50,music ni channel o na trace,sports ni espn,ss9 haina ligi yoyote ya ulaya,sasa hapo angalia wewe bora dstv compact kwa alfu 50 au zuku kwa 40..dstv wananyonya sana ndio maana nina hasira nao na toka zuku wameingia decoder yao nimeweka kabatini,sitatumia tena.
mi con hata sababu ya ku2mia hata cent 1 kupata tv chanels.kama mpira kuna tv kibao zinarusha mechi bure,movies ndio kabisaaa.cdhani kama kuna m2 anaweza kuangalia mpira kati ya ssea na wolves.nilishawahi kusema humu ndani kuhusu king'amuzi cha ting aal-03 nilionekana kama wakala vile.tangu nimepata king'amuzi hicho cjawahi hata cku moja kulipia hata cent,co nawaibia lah ila kinanipa uwezo wa kupata tv za bure
Boss, nilidhani umechange ID, kumbe bado upo. Au ulikuwa shimoni?
Tabia mbaya hii ya kuhama bila kuaga majirani! Tulikumiss sana hasa katika mambo haya.
Vp kuhusu watu wa mikoani unatakiwa kuwa na nini uweze kuunganishwa?
Joint na gundi
wana local stations ngapi? nimeona mbili...analogue inavyoaga, vin'gamuzi vyote inabidi viwe na local channels zetu zote, coz tulikua tunazipata for free...Wadau nimejiunga na ZUKU baada ya kuachana na STarTimes,ZUKU kwa hakika wana channel nzuri sana(za kichina hazina nafasi)muonekano wake ni mzuri sana,pia nimependa kuwa na stations za radio ni nyingi sana sasa naweza kusikiliza reggea matata sana,Rock&Roll na miziki mbali mbali(hili la stesheni za radio hawa ST hawana)pia nimesikia muda si mrefu kwa kutumia hicho king'amuzi tutapata na internet na simu,atleast sasa na enjoy hasa kwa package ya Zuku Premium (Tsh 40,000),moto ukiwa ndio huu(wasije kuwa kama Gtv) nahisi Dstv, itakuwa kwaheri au itabidi nao washuke bei.Kwa Startimes,Ting na Easy moto wa ZUKU utazidi kuwababua