Vifurushi na bei za ving'amuzi vyote Tanzania, pitia hapa ujue kila kisimbusi

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,102
2,000
Kumekua na shauku ya wengi kufahamu bei ya ving'amuzi na bei za vifurushi kwa kila king'amuzi Tanzania pamoja na kufahamu hata pia idadi ya Channels na aina za channels zilizopo.

Basi mimi leo nakuletea hayo, tunaanza na bei za vifurushi vya ving'amuzi vyote Tanzania

1. STARTIMES
Haya ndio Malipo ya King’amuzi cha #DISH . yapo kama ifuatavyo : NYOTA – 11,000 kwa mwezi | Wiki – 4,000 | Siku – 1,100
SMART – 21,000 kwa mwezi | Wiki – 8,000 | Siku – 2,100
SUPER – 36,000 kwa mwezi | Wiki – 12,000 | Siku – 3,600.

Haya ndio Malipo ya King’amuzi cha #ANTENNA . Yapo kama ifuatavyo :
NYOTA – 9,000 kwa mwezi1 | Wiki1 – 3,000 | Siku1 – 900
MAMBO – 14,000 kwa mwezi1 | Wiki1 – 6,000 | Siku1 – 1,500
UHURU – 20,000 kwa mwezi1 | Wiki1 – 7,000 | Siku1 – 2,500

2. AZAM VIFURUSHI
Hapa ni dish tu hakuna antenna
Azam lite 10000 mwezi channels 40+
Azam pure TZS 18,000-mwezi channels 55+
Azam plus 23000 mwezi channels 85+
Azam play 28000 mwezi channels 100+
3.ZUKU
Hawa ni dish tu hawana antenna
SMART @9,999 TZS
SMART PLUS @14,300 TZS
CLASSIC @19,800 TZS
PREMIUM @ 27,500 TZS
ASIA @ 27,250 TZS

4. TING
Dish na Antena
BEI ZA VIFURUSHI

ANTENA
Tsh 4,000 kifurushi cha WIKI
Tsh 12,000 kifurushi cha MWEZI.

DISH
Tsh 5,000 kifurushi cha WIKI
Tsh 15,000 kifurushi cha MWEZI
--
4. CONTINENTAL
Wapo Dish na Antenna
Vifurushi
Siku ni 1000
Week ni 3999
Week mbili ni 7999
Mwezi ni 11999

5. DSTV
Hawa wana dish tu
Bomba channels 45+ 19,000
Family channels 57+ 29,000
Compact channels 90+ 44,000
Compact Plus channels 98+ 84,000
Premium channels 115+ 129,000
Premium +addon ya Asia 170,050
Premium +addon ya Ufaransa 259,000

6. DIGITEK
-------

Nitawaletea updates ya bei ya kila kisimbusi hivi karibuni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom