Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,871
- 6,468
kiki ndo niniKIKI zingine duh !!
kiki ndo niniKIKI zingine duh !!
Hatar sana . kuna ile sehem anaanzia . "Mbezi Kimara hunipeleka puta ashuk!!!!!"Hiyo RAHA umenigusa mkuu.Humo ndani mtoto alijua kuinyambua sauti,hasa verse ya pili.
utanishukulu mkuu!!!Ndege asili ya kuga,kufuga haiwezekani.......🎵🎵🎵Hatar sana . kuna ile sehem anaanzia . "Mbezi Kimara hunipeleka puta ashuk!!!!!"
O swear hii nyimbo ukiweka reply wakat wa mgegedoutanishukulu mkuu!!!
Firw.a na wakala wako wa tigo pesaHuna tofauti na huyo zuchu rembua sasa



Kipaji chake kikubwa ni kwenye uandishi, Kwa kwel kabarkiwa Sana hapo...
Kwani Vanessa bado anaimba?Huyu alivokuwa anaanza game ilisadikika anakuja kuukwaa uwa Bongo flavah lol.
Nikasema huyu hata iweje hawezi mpiku Vanessa Mdee, sasa ona anavozidi kupotea, hii ni nyimbo ya hovyo kuimbwa naye.
Hakuna kityuuh hapa.


Hayo ni maoni yako, hayabatilishi uhalisia wowote. Dogo anajua bhanaHuyu alivokuwa anaanza game ilisadikika anakuja kuukwaa uwa Bongo flavah lol.
Nikasema huyu hata iweje hawezi mpiku Vanessa Mdee, sasa ona anavozidi kupotea, hii ni nyimbo ya hovyo kuimbwa naye.
Hakuna kityuuh hapa.
Kwani unadhani sijui km Vanessa kashatangaza kusimama kuimba? Poleeeeeh weeKwani Vanessa bado anaimba?![]()
Sijakataa kujua, nilichosema uHayo ni maoni yako, hayabatilishi uhalisia wowote. Dogo anajua bhana
wa Bongo flavah, Sijakataa kujua, nilichosema uwa Bongo flavah,
Kwani wimbo wenyewe mbovu, promoh tyuuh. Aaaaah
Chuki mbaya sana...uzi mzm ww peke yako ndio unasema anapotea..Huyu alivokuwa anaanza game ilisadikika anakuja kuukwaa uwa Bongo flavah lol.
Nikasema huyu hata iweje hawezi mpiku Vanessa Mdee, sasa ona anavozidi kupotea, hii ni nyimbo ya hovyo kuimbwa naye.
Hakuna kityuuh hapa.


Mpinga wengi ni mchawiChuki mbaya sana...uzi mzm ww peke yako ndio unasema anapotea..
Sasa kama anapotea how come ngoma ina go viral? Madem bwana
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app