Zombie ananitega . . .

Zombie ananitega . . .

hatujawahi kwanguana kabisa
hata hug tu haikuwahi tokea

ila dah, sirudi nyuma maana najua sina upendo wa kweli kwake,ungekuwepo ningemkubali zamani.

Labda ile tolerance yake kwangu ndio inampa marks na ule ushirikiano na heshima iliyopo kati yetu.

He looks like a good father.

Ha ha ha ha ha dada Konnie kafuga Zombie .........limigeuka Dracula......liwa dada kwa taabu zako.......kama yupo sooo gud to be a hubby nipo tayari kumpa tuition bure na field ntagharamikia ya kumbadili na kum twist awe a bit of rough n tough ili ndoa yako idumu my dada...............!!!!!!!
 
Tena dracula hasa, linataka kula nini sijui

Ila nimelishtukia mapema

Ha ha ha ha ha dada Konnie kafuga Zombie .........limigeuka Dracula......liwa dada kwa taabu zako.......kama yupo sooo gud to be a hubby nipo tayari kumpa tuition bure na field ntagharamikia ya kumbadili na kum twist awe a bit of rough n tough ili ndoa yako idumu my dada...............!!!!!!!
 
Kwani Siku Hizi Mazombie Nayo Yana In Love Na Binadamu Wa Kawaida?
Nijuzeni Jamani!
 
af we dogo we piga kelele weee imba weee cheza makida hapa na maraight weeee !ila glamobox utaenda tu!
aliyekwambie yale makitu kuna urefu na ufupi nani,we toka lini umekuwa mwalimu wa hesabu topic ya metrics sijui kulinganisha urefu na ufupi wa kitu!
kwanza urefu wa mtu ni kuanzia kiunoni kwenda juu huko kweingne sawa sawa tuuu!hapana kuwa na wasiwasi!

Ngoja nigugi nitarudi
 
nshaliona hilo
ndio maana imebidi nijihami hapa kwanza

afu nijipe muda wa kutafakari, nimekosea wapi hadi zombie ananiambia 'i love u' kila siku?

Tena, we ngoja, kuanzia kesho sipokei simu zake wala sijibu sms.

Lakini km umemlove back usi uumize moyo wako bureeee.
 
Yaani watu wanashabikia nitafunwe na zombie? Hamnitakii mema
 
vyote vyote anafanya, simu, laivu, meseji.

Hadi namshangaa huu ujasiri anaupata wapi?

Ujue hadi ananifanya eti naona aibu kumtizama usoni? Me? At this age? Feeling shy? For a zombie?

God forbid!

Au kaniendea kwa mganga? Kuna saa natamani apige simu ujue?

hhahahhaaha pole sana,
huwa inatokea ila baada ya muda akili inarudi,
 
Haaa Kongosho kama wewe umenasa kisimple simple kiasi hicho sisi tutaponea wapi?

Wapi babu Dark City umuokoe Kongosho karibu anazama. Ukubwa dawa.

Naombeni msaada kwanza,

Hivi, Zombie maana yake nini?

Hata hivyo, kama ina maana ya wale jamaa tuliowahi kukutana nao enzi za ujana wetu....Basi Kongosho atulie tu waendelee kuifaidi historia!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ni wale ulowasusa na kuwachunia bila kuwapa nafasi lakini wakaendelea kuwa loyal kwa mtu

Sasa namshangaa huyu anataka kuota mapembe, kweli?

Naona Kongosho amekujibu vema Babu Dark City maana ya zombie.

Haaa Kongosho ndo asichokitaka, ndo maana anajihami. Anaogopa atafall copmletely kushinda hata huyo zombie.
 
Last edited by a moderator:
Ni wale ulowasusa na kuwachunia bila kuwapa nafasi lakini wakaendelea kuwa loyal kwa mtu

Sasa namshangaa huyu anataka kuota mapembe, kweli?

Naomba usinichoke Kongosho,

Kwa maana hiyo, zombie ni aina fulani ya msukule au boot licker??

Anyway...misukule nayo ina hatari zake!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Naona Kongosho amekujibu vema Babu Dark City maana ya zombie.

Haaa Kongosho ndo asichokitaka, ndo maana anajihami. Anaogopa atafall copmletely kushinda hata huyo zombie.

Hahahahahahahahhahah,

Hebu acheni kunichekesha nyie wajukuu....Nani kawambia mambo ya kumoyo yanaamuliwa kwa ngumi, mateke na vichwa??

Maadam keshapata nafasi hata ya kufunguliwa uzi, hata status yake huyo Zombie itabadilika soon!

Mie yangu macho....

Babu DC!!
 
Ndio, msukule wa hiari, hajalazimishwa

Sasa msukule unataka kuwa dracula, sijawahi kuona hii

Naomba usinichoke Kongosho,

Kwa maana hiyo, zombie ni aina fulani ya msukule au boot licker??

Anyway...misukule nayo ina hatari zake!!

Babu DC!!
 
Ndio, msukule wa hiari, hajalazimishwa

Sasa msukule unataka kuwa dracula, sijawahi kuona hii

Mbona mie naona kama siku za mavuno haziko mbali?

Jitihada za Zombie a.k.a msukule karibia zinalipa....

Anyway..simba mwenda kimya siyo kwamba ana malaria...lol!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom