muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Haombi mzigo, yeye tu anasema "I love u" au "Niruhusu nikufanye mama wa watoto wangu"
Afu asubuhi, mchana na jioni, afu kwa muda mreefu sasa
Hata nimtume usiku wapi kama ana nafasi atafanya tu, tena free of charge
Kumbe anataka kikubwa kuliko hela?? Ngastuka
Ayayayayayaaaaaaa Kongosho! Wewe najua ulikuwa bado hujakua katika mapenzi! Na yawezekana ulikuwa bado hujapenda toka moyoni mwako ila uliokuwa/uliyekuwa naye ulikuwa naye kwa sababu ya 'fashion' tu! Sasa umependa hutaki kuukubali uhalisia kwa sababu mawazo yako bado yapo yapo kifashion (bad boys)! Najua si mda mrefu utaukubali uhalisia! Na nijuavyo watu wote tupo nyuma ya zombi wako kwa sababu wewe umemuelezea na kuonekana Kuwa hana muda wa kutaka asali yako then asepe hapana jamaa yupo tayari hata kula tunda kuanzia siku ya harusi na kuendelea endapo tu utakubali offer yake! I repeat again the boy is so strategic! Na laiti angekuwa ashajua namna alivyokulegeza, jamaa angeshangilia kweli! NA TENA ANGEJUA ANGEKUJA KWAKO LEO ANGEDINYA MZIGO, Ahahahahahahahaaaaaaa?!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Last edited by a moderator: