Zombie ananitega . . .

Zombie ananitega . . .

:A S-cry::shocked:Unatakiwa usaisdie kuokoa jahazi

Haya maneno yako yamenitisha sana

Ngoja nikaze buti, i can see niko alone hapa jf

Watu wananisukuma tu nimwangukie zombie
i for one !nataka kweli uolewe na huyo zombie!
walahai hata mchango wa mahari ntatoaaaaa!nini mchango wa harusi
 
mtani af we utaongoza wale mabrotherman wa kumsindikiza zombie wa Kongosho!ahahahahhahhahah eti zombie!yule ni shemeji tayari!lol
mtakuwa kama hivi
groom-tuxedo-best-man-wedding-outdoors-590jn031610.jpg

Hahahah naona Kongosho anajifanya kuruka kimanga, wakati kashaubwiya wa chuya...
 
Last edited by a moderator:
Unaweza ukadhani we unapambana naye kumbe unapambana na moyo wako yeye yupo pembeni! The boy is so smart, strategic and ambitious kwani amewekeza ndani ya moyo wako kwa muda mrefu bila wewe kujua mizizi imeshakamata we ndo unashituka, ahahahahahaaaaaa! Kongosho, what ur doin ni kutapatapa tu kama mfa maji dada yangu! Kaa ukitambua ya Kuwa mpaka sasa upo ndani za kumi na nane zake! Usitucheleweshe ubwabwa sie kwa kujishaua wakati ur heart is totally and completely collapsed coz his cares to u! Kwanza jamaa umesha appreciate the way he care and respects u!
Naomba nafasi ya Kuwa msema chochote katika siku yenyewe!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
ongea vizuri na mimi manake ndo floor manager wa hiyo siku!
 
we funga thread mi natafuta nguo ya kwenda kwa mama Kongosho kwa ajili ya mahari,manake ntamsindikiza zomb....ah soryyys shemeji!na kuanzia leo wewe utakuwa wifi yangu manake nimejitolea kabisa kuwa kwenye msafara wa kwenda kutoa mahari! nivea wud yu mind to check how best wdu our kaka atatokea!please!

Safi sana...waache watu wapate kitu roho inapenda....

Wabarikiwe wote..na Mungu awatangulie katika kila hatu...

From this point...baptism imeshafanyika na hakuna mtu tena anayeitwa Zombie katika line ya Kongosho...

Au wewe snowhite unasemaje?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah naona Kongosho anajifanya kuruka kimanga, wakati kashaubwiya wa chuya...

wapiiiiiiii!aule wa chuya mara ngapi!
ila shemeji yangu namkubali hii mbinu aliyotumia hii kwa kweli ni zaidi ya umafia! Kongosho aliona raaaaha kumtuma akampokee bf wake enhe?aliona raha kumtuma apeleke mwanae gym enh?
aliona raha kweli kumpigia simu kumwambia ako bored!
zombie lilikuwa linawekeza tu!
NA WALAHI LIMEWEKEZA ILE MBAYA!
 
Halafu nimekumbuka nina hii foto nilimchukua Konnie kule Jangwani Beach, sasa sijui ndiye zombie mwenyewe anayemzungumzia hapa...

21-couple-walking-away-beach-holding-hands-sand23.jpg
 
we funga thread mi natafuta nguo ya kwenda kwa mama Kongosho kwa ajili ya mahari,manake ntamsindikiza zomb....ah soryyys shemeji!na kuanzia leo wewe utakuwa wifi yangu manake nimejitolea kabisa kuwa kwenye msafara wa kwenda kutoa mahari! nivea wud yu mind to check how best wdu our kaka atatokea!please!
haya navaa kanga hii hapa chini yanafaa lakini?
"KULIKO KIOZE, HERI NIMPE JIRANI"

bora tumpe zombie kwa kweli

Sio hivyo

Najuta kuleta hiuu uzi hapa, bora ningeenda kuomba ushauri kitaa

Unaweza ukadhani we unapambana naye kumbe unapambana na moyo wako yeye yupo pembeni! The boy is so smart, strategic and ambitious kwani amewekeza ndani ya moyo wako kwa muda mrefu bila wewe kujua mizizi imeshakamata we ndo unashituka, ahahahahahaaaaaa! Kongosho, what ur doin ni kutapatapa tu kama mfa maji dada yangu! Kaa ukitambua ya Kuwa mpaka sasa upo ndani za kumi na nane zake! Usitucheleweshe ubwabwa sie kwa kujishaua wakati ur heart is totally and completely collapsed coz his cares to u! Kwanza jamaa umesha appreciate the way he care and respects u!
Naomba nafasi ya Kuwa msema chochote katika siku yenyewe!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kuna Zombie mmoja wa siku nyingi sana
tunawasiliana mara kwa mara

ila siku za hivi karibuni, 'I love U' haziishi na kuapa anavyotamani niwe kwenye himaya yake.

Katangaza ndoa hata kabla sijakubali, naona sasa anaanza kunilegeza magoti, nisipokuwa makini itakula kwangu.

Tatizo huwa sitaki kula nilichosusa, nimesema tu ili mnisaidie kumkemea sheitwani anayetaka kunipitia.

Huyu zombie anataka kujifufua kwa kasi au?

He! kumbe wewe ulikua bado...usiiachie nafasi hiyo...
 
Mmmmh, walimwenngu si watu
Sikutegemea majibu haya
Nilitegemea watu watanionya, akila atasepa, kaa naye mbali lol

Mod, naomba ufunge sred
 
Kwenye teknohama "definition" ya "zombie" ni "a stateless process"...!
 
Haombi mzigo, yeye tu anasema "I love u" au "Niruhusu nikufanye mama wa watoto wangu"

Afu asubuhi, mchana na jioni, afu kwa muda mreefu sasa
Hata nimtume usiku wapi kama ana nafasi atafanya tu, tena free of charge

Kumbe anataka kikubwa kuliko hela?? Ngastuka

Vipi ameishawahi kukwambia anataka vocha ya simu.
 
we ushaliwa usituzuge hapa. sasa unamuonea aibu ya nini..,
 
Mmmmh, walimwenngu si watu
Sikutegemea majibu haya
Nilitegemea watu watanionya, akila atasepa, kaa naye mbali lol

Mod, naomba ufunge sred

mmmh isifungwe jamani, inasaidia wengine ambao wapo kwenye situesheni kama yako...ina maana hakuna ushauri wowote katika mabandiko yote uliokufaa?
 
Wee fikiria hadi Babu Dark City anasema Zombie kashinda game??

Wakati mie sitaki, unadhani raha hivyo?

Kwani shosti, huyo Zombie umeshindwa kabisa kumpa za uso?...mueleze ukweli bhana kuwa haupo tayari kuwa naye, ikiwezekana uwe unamuita majina kama kaka, mjomba au ba'mdogo ili kumuua stimu kabisa...najua Konnie can do that...
 
Hahahaaaaaaa Kongosho hana uwezo tena wa kumuita huyo jamaa hayo majina! The boy loves u na kizuri hata mama mkwe (mama yako wewe kongosho) anamkubali jamaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Yaani ndo umenileta huku? Pamoja na kucare kote kule unaniita zombie? Sita give up nataka tujenge kwenye kale kakiwanja kangu ka kijichi, BABU DC naomba unisaidie naona anaelekea

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom