Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,234
- Thread starter
- #81
umejuaje? Inaokoa jahazi sana.
Hata nilikabidhi vimilioni kadhaa halitoi hata senti tano.
Kuna wakati nilimpa hela kwenda kuninunulia kitu, dah alifanya kama chake na due diligence ya kufa mtu.
Hakusubiri asante wala malipo yeyote.
Ila siku hizi kabadili strategy kabisa, 'I love U' nazipata 2*3 kwa siku.

hivi unajidanganya mwaya hapo namba yake unayo kichwani manake mazombie ndo huwa wanatufuata harusini wapenzi wakituacha,mazombie ndo wanaendaga kwenye misiba ya jirani zetu,mazombie ndo yanapelekaga watoto wetu beach siye tukienda kula raha na baba zao,mazombie ndo yanababysit ,sasa utaachaje kujua namba ya zombie kichwani!ahahahahhahha we jiachie tu!