Zoezi gani zuri kutengeneza shingo bila kwenda gym

Nimejaribu kufanya hichi ulicho shauri hapa nikajikuta nacheka tu kama mwehu

Sasa shingo unaipandishaje juu chini ?

Huu uzi umenifurahisha
Unaipandisha kwa kutazama angani huku kisogo kikielekea mgongoni
 
Nyote hamkumuelewa mleta mada, yeye anataka kuwa na shingo iliyojaa kama ya Mike Tyson, hivyo mleta mada nakushauri uingie youtube kisha andika "Tyson Neck exercise" utaletewa video za Tyson akiwa anafanya mazoezi ya shingo
 
Chukua vigeleni viwili vya 5lt vifunge na kamba Nene kias then uvinyanyue Kwa shingo itapendeza zaid ukiwa umekaa


Ikiona vepesi ongeza Lita mkuu
 
Yaan mtu anakaa anajichunguza mwili wake anagundua "kiungo flan cpendezw nacho jinsi kilivyo na sina hela ya gym" cha kufanya unakuja humu JF unapost habar zako za shingo. Poor mind kabisa
 
Mkuu unataka utengeneze shingo iweje
Aisee nimecheka balaa
Kula majani ya juu kama Twiga

kwani shingo yako imeharibika hadi unataka kuitengeneza??

tumia maski na kamba,uwe unanyanyua kwa kichwa

Kuwa na mawazo mengi kichwa kitakuwa kizito na hapo shingo lazima iwe gado

Kaombe kazi ya kukamua ng'ombe

Unaipandisha kwa kutazama angani huku kisogo kikielekea mgongoni

Chukua vigeleni viwili vya 5lt vifunge na kamba Nene kias then uvinyanyue Kwa shingo itapendeza zaid ukiwa umekaa


Ikiona vepesi ongeza Lita mkuu
 
Chukua kamba ifunge juu ya mti alafu panda kwenye kisturi then ifunge iyo kamba inayoning'inia shingoni kwako...kitegue kile kisturi uwe kama unabembea hivi Fanya asubuhi na jioni...matokea utakayopata naamin utayapenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom