project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,166
- 1,533
Wakuu naomba msaada natafuta godoro zuri 5*6 inch 10 ambalo litadumu miaka mingi nishachoka kununua godoro ya inch 6 Kila baada ya mwaka nanunua jingine naomba msaada kampuni nzuri godoro la kudumu angalau Miaka 5 bajeti yangu ni 300k mpaka 350k