Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,330
Ziwa Nyasa ndilo jina la asili, Malawi ilipobadirisha jina la nchi yako kutoka Nyasaland kuwa Malawi pia wakabadirisha jina la hilo ziwa kuwa Lake Malawi, Sisi Tanzania tulibakia na jina la Lake Malawi, Mozambique wao wanaliita Lake NiassaNipo ndani ya Ndege ya KLM , naangalia screen iki-display ramani ya Africa ghafla ikaonyesha Ziwa lenye mgogoro Kati ya Tanzania na Malawi na ikaandika "Ziwa Malawi".....Je kufanya hivi ni bahati mbaya au ni maksudi kabisa.
Na kibaya zaidi Hii Ndege inatoka Amsterdam kuja straight KIA na Dar then Amsterdam.
Nini maoni yako mdau?
View attachment 474600