Ziwa Tanganyika: Je Kampuni ya Ndege ya KLM iwajibishwe na Tz

Kawaida tu na nahisi we ni mgeni kutembelea nchi jirani....

Na nahisi umesimuliwa iyo inshu... sidhan kama we ni msafiri saaana ukaona iko ni kitu cha ajabu.....

Karibia asilimia 90 ya nchi za dunia hii.... raman zao uliita hili ziwa lake malawi..

Sababu siijui bt nimeahuudia kwa macho yangu ndan ya nch 4. Kenya.. zambia.. uganda..rwanda na burund
 
Mbona hata google maps wanafanya kosa hilohilo kama KLM?
Kampuni ya Google wakati inaandaa digital map ya dunia kwenye upande wa ziwa Nyasa ilitumia traditional paper maps zenye mlengo wa Malawi (zinazo onesha kuwa mpaka uko ufukweni na jina la ziwa ni Malawi na si Nyasa)

Sasa ni jukumu letu sisi Watanzania (wananchi na serikari) kupinga kwa nguvu zetu zote hayo makosa ya Google


Cambodia blasts Google map of disputed Thai border
Cambodia blasts Google map of disputed Thai border

Survey of India files complaint against Google maps
Survey of India files complaint against Google maps

Analyst: Iran should lodge complaint against Google over Persian Gulf's identity

Analyst: Iran should lodge complaint against Google over Persian Gulf's identity
 
Internationally linajulikana Lake Malawi, sisi tunaliita Nyasa mfano Ziwa Victoria Kenya wanaliita Lake Nyanza huku ni Victoria anyway haipunguzi kitu RELAX!
 
Back
Top Bottom