Nipo ndani ya Ndege ya KLM , naangalia screen iki-display ramani ya Africa ghafla ikaonyesha Ziwa lenye mgogoro Kati ya Tanzania na Malawi na ikaandika "Ziwa Malawi".....Je kufanya hivi ni bahati mbaya au ni maksudi kabisa.
Na kibaya zaidi Hii Ndege inatoka Amsterdam kuja straight KIA na Dar then Amsterdam.
Nini maoni yako mdau?
Na kibaya zaidi Hii Ndege inatoka Amsterdam kuja straight KIA na Dar then Amsterdam.
Nini maoni yako mdau?