Ziwa Nyasa halipo tena Tanzania

Ziwa Nyasa halipo tena Tanzania

Kwanza hapo kwenye hiyo ramani wameweka dotted line kuashiria kwamba kunamgogoro hivyo bado ujazihirishwa kama ndio mpaka rasmi
 
Mgogoro wa mpaka wa Malawi na Tanzania bado unafukuta sana. Sasa hivi ziwa Nyasa linaitwa ziwa Malawi na limeisha anza kuingia kwenye Ramani mpya za Dunia. Hata ukiangalia kwenye google map mpaka unaonyeshwa unapita pembezoni mwa Songea maana yake hata maji tunayotumia watanzania toka ziwani ni ya Malawi.
Hii vita ya rasilimali lazima ije, sidhani kama JPM atakubali hawa jamaa watunyang'anye nchi yetu. Kadri rais wetu anavyojitahidi kuijenga nchi vizuri wapo wageni wanataka tuwe masikini ili wachukue rasilimali.

View attachment 411983 View attachment 411983
Uwe maskini kiasi gani mkuu, maana elimu hatuna , uwezo hatuna , maradhi tunayo, ujinga tunao wa kutosha , njaa ndio usiseme.
Safisheni kwanza nyoyo zenu ndio muje kwa wananchi... Mrisho mpoto.

Sent from mTalk
 
Hebu kumbuka vita ya Uganda, mgambo walienda vitani wanajeshi hawakutosha, vijana walijitolea kwenda vitani, hivyo ikitojea vita jiandae. Idd Amini alitumiwa kuharibu uchumi wetu mzuri, hivyo naamini spidi ya Magufuli wazungu hawaipendi, wamepata chanzo cha kutuharibia kwa kutumia mgogoro wa mpaka.

Acha kuchanganya madesa!
Mgogoro wa mpaka kati ya TZ na ML ulianza lini?
Utawala wa JPM umeanza lini?
 
1475762514391.jpg
 
Hawa Wamalawi wasituzingue,
Wao mbona Msumbiji wamempa nusu halafu sisi hawataki kutumegea nusu yetu??
Mbona hawawaambii Msumbiji kua maji yote ni ya kwao kama wanavyotuambia sisi??
Sio wamempa wao huo ndio utaratibu wa UN kushare chanzo cha maji kilichopo katikati ya mataifa mawili.


[emoji817]
 
Mi nadhani imetosha sasa kujibizana nao,
inafaa tuwaache wafanye wanavyofanya halaf tukiridhika kuwa wameiva tayari kwa mavuno bas tuwashughulikie tu kama Israel ilivyowafanya wale mahasidi wake na kuchukua hadi sehemu ya ardhi yao (milima ya Gholani)

Maana hakuna namna sasa!
 
Zamani mipaka ilikuwa inapita kama katikati kuligawa ziwa ikiwa na maana linamilikiwa na Tanzania na Malawi. Hapa ni lazima wakinukishe tu. Sasa mzee wa utekelezaji sijajua kwa nini amekaa kimya kwa hili.
 
Kibishi Force no. yako ngapi?? Kama huna nyamaza wanaokwenda kuuawa ni watoto wa wawengine. Hamjui vita ndo maana mnajitapa. We sikia Vifaru vinavyolia usiku kucha na watoto wa watu wanavyopita kimya saa nane za usiku kwenda front line. kesho yake unaona Red cross inapita na vitu nyuma. Temea mate pembeni. Mtu wa Kyaka, katoro, ibwera, kanazi, Muhutwe mwambie eti fyofyofyo hata wa huko Kitaya Mtwara hawawezi kukusikiliza.
We mwanamke wakati wanaume wanajadili mambo mazito kaa jikoni kuna nazi wanawake hamna vifua vya kuhimili mikiki sasa umeona hata vita ikianza dhidi ya Malawi nayo kweli itakua ni vita ambayo Tanzania itatuumiza kichwa?
Kwanza nyie wanawake hamuendagi vitani frontiers.

[emoji817]
 
Ndiyo lakini kupigana hakutasolve kitu. Samaki na maji yatabaki ziwani lakini binadamu watasambaratika na kufariki na kupoteza mali sababu ya vita. Angalia Syria, rais wao anakula kuku kwa mrija, viongozi wa wapinzani wapo Jordan wanalala vizuri nani wanateseka? malizia. Usiombe ndugu yangu hao viongozi hata waanze, wenyewe watakuwa white house au Kinondoni sisi tupo kwenye mahandaki ya L au kwenye magofu.
Peleka uchoko huko usituletee nuksi sisi pumbav wewe.


[emoji817]
 
Vita sio mchezo, usiombee kabisa, usije kuiona Malawi ukadhani ndo unapigana naye, angalia Syria. Unadhani unapambana na waasi kumbe kuna Wamarekani na washirika wao, unadhani waasi wanapambana na Syria kumbe Russia
Kama hujui siasa za kimataifa funga mdomo wako huwezi kufananisha haka kamzozo na Syria Mutharika mwenyewe anaelewa Tanzania ni nani.



[emoji817]
 
Hao wamalawi ni wachumba tu hawana lolote.........kwanza ni kanchi kadogo sana........wakileta ujinga tutawatumia scorpioni akawapige.........tutawakung'uta sasa hivi nyama hao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji109]



[emoji817]
 
Miaka yote toka uhuru wao, malawi wanaliita lake malawi, na pia nyasa kichewa ni ziwa(lake)
 
Peleka uchoko huko usituletee nuksi sisi pumbav wewe.


[emoji817]
Nitajie Force no. yako kwanza na Depo umepigia wapi? Nipe jina la Platoon commender wako na Combania yako ndo tutaelewana. Wanawake hawaendi kupigana? Idiot! Unachozidi wenzio ni matusi na kutojua diplomatic language kwenye media that is all.
 
JPM najua hujaribiwi...
hajaribiwi na kina BAVICHA, Tundu Lissu, Maalim Seif na wanafunzi wanaomtukana facebook ndio anaweza kuwatisha na jeshi na kuwalaza laza central na mashitaka ya uchochezi, lakini sio mgogoro wa kimataifa.

Kwanza Magufuli hajui kujieleza, anajua kufoka foka na kuchimbia mikwara raia wake mwenyewe, akiingia kwenye mgogoro wa kimataifa atashindwa na hoja kabla ya vita.

Vita huendi endi tu bila kwanza kujenga hoja za kivita. Nyerere alianza kutibuana na Amini toka 1971, kuja kupigana 1978. Vinginevyo, ukionekana we ndio mgomvi mataifa hayatakubali. Magufuli hawezi kuiambia jumuiya ya kimataifa mimi sijaribiwi. Atarushiwa bomu la mkono.
 
Kwanza nakupa pole kwa mambo mawili.
1. Hujui kusoma ramani. Popote unapoona mpaka umechorwa kwenye ramani, sio Google tu, kwa alama dash ina maana mpaka huo unabishaniwa. Disputed boundary. Sasa inategemea mchora ramani ameegemea upande gani.
2. Google map sio authority. Hayo ni maoni yao, sio msimamo wa Tanzania. Kuna vitu vingi tu wanakosea.
 
Magufuli awapige hawa
Ogopa sana vita ya dunia ya leo, unaweza ukafikiri Malawi ni wanyonge lkn usijue ni nani aliye nyuma yake. Mataifa makubwa haya angalii haki, bali masilahi yao.
 
Huyo mtoto naomba mheshimiwa raisi akutane nae aweze kumpatia udhamini akasome nje ya nchi, ni hazina kubwa ya taifa, akisoma ndani ya nchi hatakamatika tena kwa mambo ya hovyo,
 
kusema ukweli hili swala lichukuliwe hatua haraka iwezekanavyo hasa na wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa...hatuwezi pokonywa kipande cha ziwa kirahisi rahisi hivyo halafu serikali ikakaa kimya bila kuongea chochote kwa mda ote huo......too early to tolerate it.


SOURCE YA PICHA: www.googlemap/tz
 

Attachments

  • 1475814749106.png
    1475814749106.png
    56.6 KB · Views: 43
Back
Top Bottom