M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,773 Reaction score 5,931 Jan 31, 2023 #1 Eti kutatua kero za watanzania. Mpyu.... 👇
n-propanol JF-Expert Member Joined Apr 7, 2019 Posts 5,536 Reaction score 7,254 Jan 31, 2023 #2 ACT ni CCM [C]. Yani kwenye haya magenge ya siasa, sioni Suluhu ya watanzania itatokea wapi yote yana wapigaji balaa.
ACT ni CCM [C]. Yani kwenye haya magenge ya siasa, sioni Suluhu ya watanzania itatokea wapi yote yana wapigaji balaa.
K Kulwa Jilala JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 3,889 Reaction score 8,470 Jan 31, 2023 #4 Sabaya amebambikiwa kesi tu na aliyepanga kumuuwa akachiwa huru licha ya kwamba mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu!. Sabaya kwa mujibu wa mahakama yuko huru ila bado yuko gerezani kwa maelekezo ya viongozi wa serikali.
Sabaya amebambikiwa kesi tu na aliyepanga kumuuwa akachiwa huru licha ya kwamba mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu!. Sabaya kwa mujibu wa mahakama yuko huru ila bado yuko gerezani kwa maelekezo ya viongozi wa serikali.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,521 Jan 31, 2023 #5 Zitto Kabwe ameshapitwa na wakati Watu wako na mwanasiasa wa kimataifa Tundu Antipas Lisu
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 26,629 Reaction score 38,236 Jan 31, 2023 #6 Nitajie mwanasiasa ambae si kibaraka
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,773 Reaction score 5,931 Jan 31, 2023 Thread starter #7 Crimea said: Nitajie mwanasiasa ambae si kibaraka Click to expand... Jikite kwenye mada
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,689 Reaction score 41,849 Jan 31, 2023 #8 Mchumia tumbo aliewaingiza kingi wapemba wafuasi wa maalimu bila kujua,sasa wanatumika vilivyo.