Zitto: We are happy that you are strong Eric

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.

We are happy that You are Strong Eric
1565012539281.jpeg
 
Taifa limechukua sura mpya, ukimpinga mkubwa utatafutwa kwa udi na uvumba. Ukimsifia hata katika jambo lisilohitaji kumsifia kwa kuwa anatimiza majukumu yake...uko salama...Ni dhahiri kuwa tunageuzwa kwa nguvu zote kuwa upande wa kumtetea mtu huyu....

Nakuombea Erick Mungu akupe ustahimilivu, haki yako haitapotea hivi hivi
 
Alutta CONTINUA! CONTINUA!

Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.

We are happy that You are Strong Eric
View attachment 1173027
 
Washamba na Malimbukeni hawa, sijui huwa hawafikirii plan B wakitaka kupanga maovu yao.

Wamejing'ata ng'ata kwa makosa zaidi ya manne, eti leo wanaibuka na makosa mengine tofauti, kizazi hiki sio cha watu wajinga tena, muwe mnajipanga mkitaka kufanya uovu wenu, kuliko na kudhihirisha ujinga wenu namna hii.

Kuwa Imara utayashinda haya Erick.
 
Ameen
 
Nani yule alisema.." si mnasema nawachekea sana basi chuma hicho kinakuja!"
Mwingine akasema..
"Yule kama aliwabatiza kwa maji...sasa huyu atawabatiza kwa moto"
Sijui walisema kweli vile au walikuwa wanatania?...
 
EBL-zUHWwAEofc4.jpg

Tunajua wewe hujapanga njama zozote dhidi ya yeyote.
Tunajua wewe sio mkwepa Kodi na tunajua huna hela za kutakatisha.
Tunajua tatizo ni kazi yako.
Ni uandishi wako.
Ni msimamo wako. Ni weledi wako.
Sisi marafiki zako tutapambania Uhuru wako. Inaweza kuchukua muda mrefu lakini TUTASHINDA.
Erick utakuwa huru, makosa yao ya kubumba yaliyokusweka jela hayatashinda haki. Watesi wako walisema wewe sio raia, Leo wamekutangaza wenyewe kuwa ni raia. Hata haya makosa ya sasa wao wenyewe watakutangaza kuwa huna.

We are happy that You are Strong Eric
View attachment 1173027
 
Endeleeni kumjaza upepo tu, yeye yupo nyavuni nyie mnapiga piga kelele hapa mkiwa nyuma ya keyboard. Bila shaka Lugemalila na Seth watampa Salam Zake.
Let see kama after three to four months kama kuna mtu atakuwa anamkumbuka. Huyo Zitto ameshamtumia kutimiza Political ambitions zake, "he is done".
 
Back
Top Bottom