Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

kidogo kidogo atakumbuka ushahuri niliompa,sasa atajua kwamba gogo la shamba alikuwa anamshauri mambo ya maana,akumbuke pale nilipomueleza ccm wanampa sifa asiyokuwanayo ili wapate kumtoa bungeni,na sasa ccm wamefanikiwa maana hawezi kupata ubunge tena,chadema hawamuani na akiingia chama kingine ndio atajizika kabisa kisiasa. hayo ni baadhi tu,ya yale niliyomuambia lakini kwa kuwa alinipuuza chamoto atakiona
 
I saw this coming... two years ago. Nilitumia nguvu na juhudi nyingi sana kumshauri Zitto, kwani nilishaona kinachoelekea kutokea. Nilitukanwa na kuitwa msaliti humu lakini niliamini, na bado naamini kuna watu "wame - take advantage" ya udhaifu wa Zitto kummaliza na kuidhoofisha CHADEMA...
Kwa bahati mbaya Zitto hakunisikiliza! Najua mimi sio yeyote katika siasa, lakini kutokana na kufuatilia mambo machache kwenye hiyo siasa, basi yale machache ninayoyafuatilia nakuwa makini nayo...

Tatizo moja la Zitto ni kutokujua "weaknesses" zake... Kwani angeziua, bila shaka angezifanyia kazi, na isingekuwa rahisi kuchezewa kiasi hiki...

- Zitto wewe ni kiongozi mzuri sana lakini una ubinafsi kwenye suala la madaraka na umaarufu wa ksisiasa. Najua utakataa sana, but ukweli ni huo... Ulitakiwa tu ujue CHADEMA ni chama kimoja, na hakiwezi kuongozwa na watu wawili... baas. Then ujue kuna siku Mbowe angeachia madaraka, na wewe ungeongoza CHADEMA... baaas

Ushauri tena kwa sasa
Watu ulio nao ACT sio watu wa hadhi yako, wala sio watu wanaokutakia mazuri. Ndio wametumiaka kukudondosha CHADEMA, na wataendelea kutumika kukumaliza kisiasa... Huwezi kuwa na watu kama kina Mchange, eti useme ni watu makini! Are you kidding?
 
" Lakini nasononeshwa zaidi na kitu kinachoendelea ndani ya Chadema.

“Nini kimetokea Chadema? Kwa nini tumejikuta tumeondoka katika mstari? Tupo wabunge 48 bungeni sasa, lakini hatusogezi mbele nchi, tumerudi nyuma wakati huo tulikuwa watano lakini tulikuwa tunaenda vizuri sana."

Hapo ndipo watu wengi humu ndani hawajawahi kukaa na kupatafakari kwa kina.

Wale wabunge wa cdm wanaojifanya ni mabingwa wa kumdhalilisha zito wote wameshindwa kufanya hiyo kazi hapo juu, mwenzao aliweza na ndio maana wao wakapata nafasi ya kuwepo bungeni Sasa hivi.

Leo wanajifanya wao ni cdm zaidi kuliko zito. Ifike mahala tukubali, mchango wa zito kwa cdm ni mkubwa sana na haupimiki kirahisi kama watu wengi humu ndani wanavyodhani.

Mlio wengi humu ndani mnaopiga kelele pia mmejaa cdm mainly kwa kazi kubwa aliyofanya zito. Lakini cha ajabu, na tena kwa umbumbu mkubwa kabisa mmeungana na hao wabunge waliongia bungeni kwa juhudi za mwenzao kumdhalilisha.

Kweli binadamu hawana shukrani.

Ndio maana washahili wakasema "tenda wema nenda zako usingoje shukrani".
 
Wewe boya hakuna mbunge aliyepata ubunge kwa ajili ya Zitto wewe ni kilaza wa kwanza.

Ingia kwenye website ya vme ya uchaguzi uangalie Zitto mwaka 2005 alishinda kwa kura ngapi na asilimia ngapi? Kisha tupe matokeo ya Zitto mwaka 2010 alipata kura ngapi na asilimia ngapi? Je alapanda kisiasa au aliporomoka?

Njoo na hizo fact ndio ukate viuno vizuri. Tumbiri kama nyinyi ndio mnafanya tusichangie kabisa jukwaa hili.
 
Chadema siyo ya mbowe wala zito, chadema ni ya watanzania wote wapenda maendelea huu ya nchi yao
 
Zitto amedhihirisha kuwa Chademu ni ya majungu
 
Zitto anajua kuwa tarehe 10 ndio ananyang'anywa rasmi kadi.
Kwa kesi iliyoko Mahakamani hata kipofu anaweza kusoma maandishi ukutani kwa usahihi....CHADEMA haiwezi kushinda kwenye hii kesi. Lakini kwa mbinu imeweza kumzidi kete Zitto maana hukumu itatoka katika muda ambao Baraza Kuu alilolitaka litakuwa limeishaondoka Madarakani na kukabidhi kwa Baraza jipya. Hivyo hata ikiamriwa rufaa yake ikasikilizwe ndani ya chama na chombo kinachoitwa Baraza atapigwa mabao ya Brazil Vs German. Kwa hili Zitto lazima akubali bado ni mchanga kwenye siasa za kimikakati akijilinganisha na Mbowe.
 
Last edited by a moderator:
I saw this coming... two years ago. Nilitumia nguvu na juhudi nyingi sana kumshauri Zitto, kwani nilishaona kinachoelekea kutokea. Nilitukanwa na kuitwa msaliti humu lakini niliamini, na bado naamini kuna watu "wame - take advantage" ya udhaifu wa Zitto kummaliza na kuidhoofisha CHADEMA...
Kwa bahati mbaya Zitto hakunisikiliza! Najua mimi sio yeyote katika siasa, lakini kutokana na kufuatilia mambo machache kwenye hiyo siasa, basi yale machache ninayoyafuatilia nakuwa makini nayo...

Tatizo moja la Zitto ni kutokujua "weaknesses" zake... Kwani angeziua, bila shaka angezifanyia kazi, na isingekuwa rahisi kuchezewa kiasi hiki...

- Zitto wewe ni kiongozi mzuri sana lakini una ubinafsi kwenye suala la madaraka na umaarufu wa ksisiasa. Najua utakataa sana, but ukweli ni huo... Ulitakiwa tu ujue CHADEMA ni chama kimoja, na hakiwezi kuongozwa na watu wawili... baas. Then ujue kuna siku Mbowe angeachia madaraka, na wewe ungeongoza CHADEMA... baaas

Ushauri tena kwa sasa
Watu ulio nao ACT sio watu wa hadhi yako, wala sio watu wanaokutakia mazuri. Ndio wametumiaka kukudondosha CHADEMA, na wataendelea kutumika kukumaliza kisiasa... Huwezi kuwa na watu kama kina Mchange, eti useme ni watu makini! Are you kidding?

Kaka Kuna kitu kikubwa ambacho Zitto kakifanya kweli ndani ya Chadema na anakijua (Iko siku atafunguka tu kwa kuomba msamaha jamii nzima ta Tanzania), kwa upeo na uwezo wake Zitto isingekuwa rahisi kwake kutoka Chadema, kila siku huwa najiuliza na kusema Hivi kweli Zitto anataka kutoka level yake aliyokuwa nayo na kuingia glassroot na kina Mchange, Mwampamba, Shonza kweli? unless awe na upungufu wa kujipima na kujua anahitaji nini hasa kwenye Career yake hiyo ya kisiasa.

Haya aliyanena Zitto Z. Kabwe miaka miwili iliyopita:

"Tumegundua kuwepo kwa juhudi za makusudi kutugombanisha CHADEMA.
Hiki ni chama makini, kimezibaini njia hizo na kwa hakika hakiwezi kusambaratishwa.
CHADEMA ndiyo imenipa Umaarufu mimi. Mimi si maarufu kuliko Chama, CHADEMA ni taasisi.
CHADEMA ni chama ambacho kina misingi katika uanzishwaji wake.
Wanasema eti nilishinda kwa umaarufu wangu binafsi. SI KWELI. Niligombea ubunge nikitokea shule. Sikuwa najulikana. Niliikuta 'grassroot network' ya Chama.
Hakikujengwa na mimi. CHADEMA ilijengwa na uongozi uliokuwepo. Nilikuta uongozi intact ( imara). Katika kila kijiji kulikuwa na uongozi na hata katika vitongoji vyote.
Wakati naingia kugombea ubunge kulikuwa na wanachama wa CHADEMA wenye kadi wanaofika 10,800 katika jimbo zima.
Hawa sikuwatafuta mimi, niliwakuta na ndio waliofanikisha ushindi wangu.
Katika mazingira kama haya utasemaje kuwa mimi ni maarufu kuliko chama wakati chama ndicho kimenipa umaarufu?.
CHADEMA ni Chama ambacho wenyeviti wake wastaafu wanaendelea kuenziwa na kuhudhuria vikao vyote vya Chama. Institutional memory ipo kuliko katika vyama vyote vya upinzani.
Alipohama Dr Aman Walid Kabourou, wengi walidhani ndiyo mwisho wa CHADEMA Kigoma, lakini leo hii CHADEMA ni moto Kigoma kuliko ilivyokuwa awali"..
 
Wewe boya hakuna mbunge aliyepata ubunge kwa ajili ya Zitto wewe ni kilaza wa kwanza.

Ingia kwenye website ya vme ya uchaguzi uangalie Zitto mwaka 2005 alishinda kwa kura ngapi na asilimia ngapi? Kisha tupe matokeo ya Zitto mwaka 2010 alipata kura ngapi na asilimia ngapi? Je alapanda kisiasa au aliporomoka?

Njoo na hizo fact ndio ukate viuno vizuri. Tumbiri kama nyinyi ndio mnafanya tusichangie kabisa jukwaa hili.

Jamaa anataka kuhamasisha mob psychology ili ionekane kama Chadema imefifia baada ya Zitto kuondoka. Zile zile technique uchwara za vibaka walifukuzwa Chadema ambao kila kukicha wanaanzisha thread za aina hii!
 
Mkuu 'tuko' na 'omutwale' mmeonge kweli isiyo na chembe ya unafiki!
-hili na liwe funzo kwa wanasiasa wengine jamii ya zito kabwe.
-hakika mbowe ni kamanda wa makamanda.
 
I saw this coming... two years ago. Nilitumia nguvu na juhudi nyingi sana kumshauri Zitto, kwani nilishaona kinachoelekea kutokea. Nilitukanwa na kuitwa msaliti humu lakini niliamini, na bado naamini kuna watu "wame - take advantage" ya udhaifu wa Zitto kummaliza na kuidhoofisha CHADEMA...
Kwa bahati mbaya Zitto hakunisikiliza! Najua mimi sio yeyote katika siasa, lakini kutokana na kufuatilia mambo machache kwenye hiyo siasa, basi yale machache ninayoyafuatilia nakuwa makini nayo...

Tatizo moja la Zitto ni kutokujua "weaknesses" zake... Kwani angeziua, bila shaka angezifanyia kazi, na isingekuwa rahisi kuchezewa kiasi hiki...

- Zitto wewe ni kiongozi mzuri sana lakini una ubinafsi kwenye suala la madaraka na umaarufu wa ksisiasa. Najua utakataa sana, but ukweli ni huo... Ulitakiwa tu ujue CHADEMA ni chama kimoja, na hakiwezi kuongozwa na watu wawili... baas. Then ujue kuna siku Mbowe angeachia madaraka, na wewe ungeongoza CHADEMA... baaas

Ushauri tena kwa sasa
Watu ulio nao ACT sio watu wa hadhi yako, wala sio watu wanaokutakia mazuri. Ndio wametumiaka kukudondosha CHADEMA, na wataendelea kutumika kukumaliza kisiasa... Huwezi kuwa na watu kama kina Mchange, eti useme ni watu makini! Are you kidding?
Mkuu wangu hapa sintokubaliana na wewe kwa sababu tulosema ni wengi sana na tulitoa ushauri tofauti juu ya nini Chadema ikifanye. Zitto kama binadamu alikuwa na mapungufu yake ambayo sii mapungufu isipokuwa urahisi wa CCM kuwagombanisha viongozi wa Chadema na wao ndio walitakiwa kulijua hili mbele ya safari. Mbowe pia kama binadamu alikuwa na mapungufu yake kwa kusikiliza kila anachoambiwa na kuamini. Tatizo lao wote ilikuwa ni Ambition yao na wakawa Curious sana na vitu vinavyoendelea pembeni yao - At the end curiousity killed the cat!

Tofauti kubwa ya Zitto na wanasiasa wengine ni kwamba wengi wamelishwa maji ya Ufisadi na wasingeweza hata siku moja kusimama mbele ya baraza ama bunge kupambana na Ufisadi. Zitto na Dr.Slaa peke yake ndio waloweza kusimama na kusema lakini Dr.Slaa hakuwa tishio kwa sababu Hawakujua kwamba huyu ndiye angekuja kugombea Uraia. Na ili kumbomoa Mbowe CCM walijua fika ugonvi lazima uanze kwa Zitto kwa sababu naye alikuwa tatizo jingine, wakaunda nyenzo na tunzi ya kusadikika.

Mbowe na Zitto wamegombanishwa na wapambe ndani ya Chadema ambao walikuja kwa kazi hiyo na wapo hadi leo wakisema sana kama wao ndio wasafi na wanaonewa wao. na hakika wamefanikiwa kwa sababu ilikuwa ni jukumu la Mbowe, Zitto na Dr.Slaa kukaa na wazee wa chama kujipambanua na kuweka maridhiano ktk mambo ambayo tayari yalisha anza kupamba moto.

Niliandika uzi humu kumsema Zitto juu ya kutoshirikiana na wenzake lakini nikaja gundua kwamba Zitto tayari alishawafahamu wabaya wake na walikuwa tayari wameisha ota mizizi ndani ya chama, Mbowe hakuwa mjanja kugundua haya wengine walidhani mbaya wa Chama ni Zitto kumbe he was just wa weakest link ya kugombanisha viongozi wa Chadema hadi chama kisambaratike. Na nasema bado kuna mengi yatajitokeza mwaka huu kiasi kwamba imani ya wananchi wengi itapungua na Chadema haitakuwa mpizani wa CCM kama tulivyodhania.
- They should have known better
 
Mkuu wangu hapa sintokubaliana na wewe kwa sababu tulosema ni wengi sana na tulitoa ushauri tofauti juu ya nini Chadema ikifanye. Zitto kama binadamu alikuwa na mapungufu yake ambayo sii mapungufu isipokuwa urahisi wa CCM kuwagombanisha viongozi wa Chadema na wao ndio walitakiwa kulijua hili mbele ya safari.

Tofauti kubwa ya Zitto na wanasiasa wengine ni kwamba wengi wamelishwa maji ya Ufisadi na wasingeweza hata siku moja kusimama mbele ya baraza ama bunge kupambana na Ufisadi. Zitto na Dr.Slaa peke yake ndio waloweza kusimama na kusema lakini Dr.Slaa hakuwa tishio kwa sababu Hawakujua kwamba huyu ndiye angekuja kugombea Uraia. Na ili kumbomoa Mbowe CCM walijua fika ugonvi nlazima uanze kwa Zitto na Mbowe na wakaunda nyenzo.

Mbowe na Zitto wamegombanishwa na wapambe ndani ya Chadema ambao walikuja kwa kazi hiyo na wapo hadi leo wakisema sana kama wao ndio wasafi na wanaonewa wao. na hakika wamefanikiwa kwa sababu ilikuwa ni jukumu la Mbowe Zitto na Dr.Slaa kukaa na wazee wa chama na kuweka maridhiano ktk mambo ambayo tayari yalisha anza kupambamoto.

Niliandika uzi humu kumsema Zitto juu ya kutoshirikiana na wenzake lakini nikaja gundua kwamba Zitto tayari alishawafahamu wabaya wake na walikuwa tayari wameisha ota mizizi ndani ya chama, Mbowe hakuwa mjanja kugundua haya nasi tulidhani mbaya wa Chama ni Zitto kumbe he was just wa weakest link ya kugombanisha viongozi wa Chadema hadi chama kisambaratike. Na nasema bado kuna mengi yatajitokeza mwaka huu kiasi kwamba imani ya wananchi wengi itapungua na Chadema haitakuwa mpizani wa CCM kama tulivyodhania.
- They should have known better

Mkuu mimi niliongelea tu upande wa Zitto kwa sababu ndiye hoja tuliyo nayo hapa. Simaanishi wengine nao hawana kasoro na walikokosea... zipo.
Ila kwa upande wa Zitto. .. kama kuna loop ambayo watu waliitumia kufunga kamba na kuvuta basi ni tamaa yake ya kupata mafanikio makubwa kisiasa ikiwepo kuongoza CDM na kuwa raisi. Zilikuwa ndoto nzuri, lakini zilitakiwa zichukuliwe kwa umakini mkubwa. Kwa bahati mbaya Zitto hakuliobserve hilo na "wabaya wake" wakalitumia effectively and successfully kumshusha chini... najua atapanda.. but itamchukua mda kidogo.

Kinachonisikitisha ni kwamba Zitto ana team-up na watu ambao ni wazi kabisa hawana uwezo kufanya siasa... inanisikitisha sana... Zitto alishajenga sana CV yake na naamini angeweza kuaminiwa na watu wanaojua siasa wakafanya siasa..
Zitto sio wa kuunda team na akina Mchange... never. Ni sawa na Christian Ronaldo leo aamue kuunda team yake kama captain, alafu kwenye bench la ufundi amuweke Jamhuri Kiwelu!!!
 
Nakubaliana na uloyasema isipokuwa pengine nimeanza vibaya ktk maelezo yangu.
nachosema mimi ni kwamba Zitto hakuwa Tatizo bali CCM walielewa kwamba ndoto ya Zitto ni kuwa rais baadaye na Mbowe vile vile wakijua kwamba Mbowe hawezi kuachia ambiton hiyo kirahisi. Hivyo wakaona kati yao the weakest link ni Zitto. Kama wangejua Dr.Slaa ndiye angegombea urais 2010, nakuhakikishia usingeyasikia ya Zitto na Mbowe bali Mbowe na Dr.Slaa.

Ni sawa na Chadema leo wanavyoyazungumza ya CCM kuhusu kugombea Urais na kama CCM watayachukulia personal basi hawatafika popote kwa sababu kila anayesemwa hafai ndani ya CCM ni weakest link haina maana kwamba hafai. Tunamsema Membe, Makamba na wengine wengi ambao tunajua nia zao ili kuwatia jamba moto CCM. Na hakika Makamba na hoja yake ya Ujana ilikuwa silaha ya watu kutumia ili kuivuruga tu CCM na sii kwamba Makamba hafai, ama Lowassa ndiye kweli anafaa kuwa rais wa Tanzania kutokana na mapenzi ya wana Chadema isipokuwa kisiasa yeye ndiye weakest link kwa mtazamo wa Chadema ili kuzua chokochoko ndani ya chama. Na CCM walifikia kugombana lakini kwa sababu ya busara na hekima za wazee wa chama hicho na kwamba Chadema haikuwa na vibaraka ndani ya CCM, waliweza kuyamaliza.
Ndivyo navyoliona swala la Mbowe na Zitto.
 
Ukweli mara zote umuacha mtu huru,tumtukane,tumkashifu na kumcheka but still ZZK is not a push over,kwenye siasa za TZ he's still ringing.
 
Kwa kesi iliyoko Mahakamani hata kipofu anaweza kusoma maandishi ukutani kwa usahihi....CHADEMA haiwezi kushinda kwenye hii kesi. Lakini kwa mbinu imeweza kumzidi kete Zitto maana hukumu itatoka katika muda ambao Baraza Kuu alilolitaka litakuwa limeishaondoka Madarakani na kukabidhi kwa Baraza jipya. Hivyo hata ikiamriwa rufaa yake ikasikilizwe ndani ya chama na chombo kinachoitwa Baraza atapigwa mabao ya Brazil Vs German. Kwa hili Zitto lazima akubali bado ni mchanga kwenye siasa za kimikakati akijilinganisha na Mbowe.

nataka kusema alikuw ahajuhi?
au mwigamba na kitila walimuongopea/
au alifikir wnavyocheza wote disko na kula chips wote UDSM basi jama ni mwepesi kiais hicho?

Ubinafsi umemponza na mimi namsikitikia zaidi kama kijana mwana mageuzi n alaikuw andio kielelezo cha ukweli cha wasomi walioingia kwa kasi kwenye siasa miaka ya 2000. na msikitikia kama mwislam mwenzangu hakika sisi ni wakukosa tu, sijuhi ni kwanini.

CC: Pasco
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom