Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Umekosa
nafasi ya ujumbe Taifa halafu unataka kujipima na role model wako.
Umesahau Zzk ndiye aliyekufanya uende vidole viwili.

Mmejitahidi
kutumia magazeti kusaka huruma ya kurudishwa chamani lakini tumesema
noooooo, aende tu huko huko ACT
 
Umekosa
nafasi ya ujumbe Taifa halafu unataka kujipima na role model wako.
Umesahau Zzk ndiye aliyekufanya uende vidole viwili.

Yericko ana gundu ,kila chaguzi za chadema anapigwa chini
 

Na wewe kule ACT uko na wadhifa gani Kiongozi ??
Hizi ID, mwekundu The Boss, Balantanda gukurupukaga sana pale ZZK anaponangwagwa...
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi tuko na Mbaruku Kansas, Mwenyekiti ajae wa Chadema,tunachochea kuni tu

Wewe ni Mpuuzi ambaye hata Propaganda hauzijui...eti tunachochea kuni,labda moto umuunguze mumeo,wewe,wanenu na ukoo wenu wote
 

Natamani nikurushie buku kumi fasta ugonge lile gambe jipya la kitaa.
 
Kijana wa kigamboni ulieangukia pua kwenye uchaguzi wa chadema mtaani kwako.. Yani hata majirani zako hawakutaki..kweli una gundu.
Njoo ujiunge chadema,naona inakuuma sana,Lumumba hawana muda nawe book7 ni shida utaishia kuwa kalai,
 

Kula tano fasta.

Hawa ndio wale wapambe wanaogombanisha watu Ili matumbo yao yajae ilhali wao hawana uwezo hata chembe.
 

Ulivokuwa huna akili timamu unaamini kuwa chadema ni lazima uwekiongozi. Ndicho zitto anachowadanganya wajinga km ww. Mbona tupo hapa wala hayufikirii kuwa viongozi na wengine km mm wala sio wanachama wa chama chochote but tunapenda mabadiliko ya kweli via cdm? Hizi akili mgando au akili njaa zitatuumiza sn.
Yaani anataka yeriko awe kiongozi ndo aongee ukweli? Period!!
 
Kuna uwezekano mkubwa sana kauli za huyu mtoto zikawa na zinakibomoa chama.. maana amegeuka kama msemaji wa chama tena kuna wakati unaweza kumshangaa anapopost hata maswala ya dini....cha ajabu hakemewi chama lazima kiwe na namna ya kuwadhibiti kinidhamu hawa watoto ili chama kionekane kiko serious otherwise utoto unakuwa mwingi......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…