Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,171
- 28,824
Katika ya mwanadamu ushindi mkubwa sana ambao mwanadamu anaweza kujivunia na ambo ni very expensive ni kusamehe bila masharti. Hapa na maanisha kwamba si Zito si Chadema wote wanapaswa kusamehe bila masharti. Wakifanya hivyo wataeshimika na chama kitakuwa imara sana. Lakini kama kila upande ukawa too proud basi mwishoe ni majuto tu. Chama kimsamehe Zito na Zito pia awasamehe wote bila lakini lakini. Kama tunahitaji ukombozi tunahitaji kuvumiliana na kusaidiana pale mmoja anatereza.
Na siku CDM ikimsamehe huyu laana ZZK itakuwa mwisho wangu kuwa CDM..
Napenda Wenye Akili kama ww. Na sio Yale mafala kazi yao kutukana ma kujifanya ndio cdm damu kuliko watu wengine.
Mnafiki mkubwa wewe.......Kwataarifa yako takataka kwa asilimia kubwa zimeshajiondoa CDM zenyewe akiwemo takataka ZZK na genge la wahuni wenzake...
Sasa huyu takataka ZZK aende huko ACT basi maana bado mda upo na chama kitakuwa..Hahahahahaha...
CDM ni hahari nyingine ndugu......
There goes CDM-Matusi, wewe kutukana hovyo ndio HOJA?Jibu kilichoandikwa, kupanick na kutukana watu ni dalili ya kukosa hoja.
wewe unayemuita ZITTO Takataka Mbowe alishawahi kuja Chumbani kwako hata siku moja kupanga Mkakati wakuijenga CHADEMA na wewe?yep, he probably never did. Huyo unayemuita MNAFIKI, na TAKATAKA ameifanyia CHADEMA Mengi mazuri kuliko asilimia 99.9 ya wanachaa wa CDM na viongozi wao.
Kwa hiyo siku Dr.Slaa akikorofishana na Mbowe au CDM na yeye utamporomoshea matusi pia?Nyie ndio mnaharibu Chama chenu.wanachama/mashabiki wa aina yako ni tatizo kuu lililokuwpo CDM Mtandaoni kwa sasa, hakuna hoja,mmejaa kebehi na matusi.
We jifurukunyue tuu hapa kama zuzu....
Nasema hivi huyo mpuuzi mwenzako ZZK akafie mbele huko....Anachama tayari kesha anzisha kinaitwa ACT kwanini asiende huko kama yeye ni.maarufu....?
ZZK ni laana na takataka kwa nchi hii..
Ndugu hujawahi kukutana na watu wenye Msimamo.Ulitaka Zitto aende kinyume na Msimamo wake kwasababu ya kupewa amnesty na Mbowe?
Historia huhukumu watu baada ya miaka mingi sana, binafsi nitamhukumu Zito kwa kusimamia alichokiamini, kama bado anakiamini, nacho ni Demokrasia ya wazi na ya kweli ambayo CDM wanaipigania.
Sitampa KURA Milele mwanasiasa asiye na AMBITION, Hafai kuwa KIONGOZI, Kiongozi ni mtu anayefikiria kufanya maamuzi na sio kusubiri aamuliwe, au kufuata mkumbo.
Nadhan ndugu Tuko umesahau kuwa career ya zitto ni SIASA, na Mwanasiasa bila Madaraka wala UMAARUFU huitwa, kada wa chama, aka Mshabiki, ZITTO is Many things but Sio MSHABIKI.
Dah siasa bwana! Sikuwahi tarajia hata siku moja huyu jamaa atafika hapa alipo. Amekuwa wa kudharauliwa na kubezwa!! Yupo katika wakati mgumu sana. Hii inaweza kuwa "tragedy of miscalculations",,kuna tatizo sehemu sio bure,ama yeye mwenyewe au wengine.
Siasa ni mchezo wa kipuuzi sana,ni kama kamari vile.
Yah, nadhani kuna point hapa!!!!!
Habari za asubuhi wadau, mimi naomba kuwarushia lawama hasa viongozi hawa hasa Mbowe na Zitto, wote ni viongozi makini ambao wanahitajika katika harakati za mabadiliko ya haraka ndani ya nchi hii.
Namtaja mbowe kwakuwa ndiye ameshikilia usukani wa CHADEMA, kweli mh. Imeshindikana kumuita Zitto Kabwe na kushauriana na kuondoa tofauti zilizopo ukiangalia mmetoka na mmekitoa mbali chama.
Je, kama mnaweza mkawa mnatafuta suruhisho na hao CCM na kuonana na viongozi wa CCM itashindikana vipi kupata suruhisho kwa mpambanaji?
Hatupendi kuona heading kwenye magezeti kuwa mgogoro unaendelea. Nawe Zitto kaka yangu kwanini usikubari yakaisha?
Kwani hilo halikuwahi fanyika hapo mwanzo?