The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,264
Ukweli mchungu najua watu mtapinga Zitto mnafiki ukiweka na "ka-udini" ndani yake....rejea urafiki wake na Kikwete.
Namkumbuka Zitto Zuberi Kabwe wa 2005-2010 na ninamlinganisha na huyu wa sasa mmmmhhh hadi inauma sana tukiendelea kupoteza vijana kama huyu wengine miaka ijayo kuna kazi kubwa sana ya kuja kulikomboa taifa hili!!
Nimekuwa nikijiuliza hivi Zitto ni nini kimempata??
Yuko wapi Zitto aliyeibua sakata la mgodi wa Buzwagi?
Yuko wapi zitto aliyekuwa akipigania masilai ya wanyonge bungeni kupitia ununuzi wa Rada??
Zitto aliyeungana na Dr slaa juu ya Richmond yuko wapi??
Zitto huyu huyu anayetuhumiwa kwa kuwa na mali zisizolingana na kipato chake ??
Zitto huyu huyu ambaye milija yake imezibwa pale NSSF?
Zito amekuwa mtu tena wa kupiga dili na kuakikisha kila kitu amekipata kanunua majumba mazuri ,Magari mazuri,kila kitu kamiliki leo hii kabaki na kazi moja tu ya !!
Kila siku kuiponda selikari ya Rais magufuli!!!
Hivi hakuna mazuri ya kumpongeza Rais magufuli ni kumponda tu ? Hata akipongeza anapongeza kwa unafiki!!
Kama kweli Wewe ni mzalendo unapigania masilai ya watanzania njoo ujibu maswali yafuatayo!!
Wewe si dictator??
Na ulivyo dictator ulipofika tu ACT wazalendo ukapewa cheo cha kiongozi mkuu wa chama hivi uoni kwamba ilo ni tatizo la kupenda madaraka?
Kwani kulikuwa hakuna watu wengine mpaka upewe wewe hicho cheo uligombea na nani?
Sasa hivi professor Mkumbo anawashauri wapinzani mbadilishe njia za kupambana na selikari ya Rais magufuli lakini hata ushauri usikii imekuwa sikio la kufa!
Na juzi tu mama Anna ametofautiana na wewe waziwazi kuusu mwaliko uliotolewa Dodoma !!
Mbili kwanini uliondoka chadema kwa kutaka uwe mwenyekiti uoni hapo kuna tatizo la udikiteta kutaka cheo kwa nguvu? Kwanini ukusema wazi wazi ila ukaanzisha mtandao ndani ya chama?
Ulishamsikia magufuli anagomea cheo ndani ya chama toka amejiunga na CCM hata cha mwenyekiti wa shina??
Leo hii unatoka na kumfananisha rais magufuli na Putin wa Russia hivi hoja yako ya Jana kwamba watu wamsome Putin ina faida gani kwa taifa?
Kuna faida gani kwa wananchi wa Ujiji??
Hivi unafikiri wananchi wa vijijini wanaweza kaa wasome vitabu au wapekue Internet kwa vifulushi vipi hivi hivi vya wanyonyaji Voda,Tigo na Airtel?
Baada ya kuishauri selikari ilifufue shirika letu la TCCL ili tupate affordable bundle wananchi waweze kupata Internet ilivyo bora na kuepukana na makampuni ya wanyonyaji upo tu kukosoa !!
Mkuu Zitto tulikuheshimu sana lakini sasa your politically finished!!
Baada uungane na Magufuli mpeleke kiwanda cha nyavu za kuvulia Dagaa ujiji ??unaangaika eti wananchi wamsome Putin Hivi mwananchi wa kawaida wa ujiji atakuelewa kweli??
Kwanza tu nikufaamishe taarifa nyingi unazozisoma kwenye mitandao kuusu Putin kama hazitoki Russia ni za kupika kutoka nchi za magaribi!!
Nchi za magaribi hazimpendi Putin kwa sababu analeta mabadiliko ya kweli uko Russia!!
Ni kiongozi imara asiyeteteleka kama alivyo Magufuli hivyo vyombo vya habari vya magaribi haviwezi kumpamba hata kidogo Putin ni kiongozi imara kama alivyo Magufuli!!
Ushauri kwako kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo!!
Watu unaotakiwa kubishana nao ni Mkuu wa mkoa Kigoma,Mkuu wa willaya jimboni kwako,Mkurugenzi jimboni kwako na spika wa ubunge Hao ndio size yako!!
Hakuna mtu anayeupata Urais kwa kumponda Rais aliyeko madarakani hapa Afrika nikukumbushe lazima tuambiane ukweli!!
Tanzania- Professor Lipumba aliponda ameenda,
Kenya-Raila Odinga aliponda huyo anakwenda,
Uganda-Kiza Besige aliponda anakwenda,
Zimbabwe- Morgan Shangelai aliponda amekwenda !!
Mifano ipo mingi tu ila nikushauri pigania masilai ya wananchi wako wa ujiji na Tanzania!!
Nasikitika tunapoteza nguvu kazi za Taifa hasa vijana tuliokuwa tunawategemea wanatoweka taratibu.
Asanteee.
hahahaUmemuattack Zito bila sababu za msingi hata moja ..
Zitto juzi kapongeza ukomavu wa chama cha mapinduzi kwa kuonyesha Democrasia ndani ya Chama hicho ...mbona hujaongelea . ..
Its like umeamka tunasubuhi na kumkumbuka Zitto ukakosa cha kumuattack nacho .
Nnachotaka kukuambia kwa ufupi .
"Huwezi thubutu kufunga hata gidamu za viatu vya ZZK."
Nenda kwa kajue kutofautisha kati ya "L" na "R" .
Mkuu sikatai kukusoa lakini sio kukosoa kwa kupotosha unakumbuka alivyopotosha kwenye miamala ya simu??Kama kwa kumkosoa JPM mtu atapotea basi watapotea wengi nchi hii kwa maana atakosolewa tu hata kuna wakati na yeye mwenyewe atajikosoa
Mkuu asanteZitto ashakua basket case.
Methinks, Zitto alikuwa hana hoja toka awali ila kuna watu ndani ya serikali walikuwa wanampa skendali ili aziongee na kumjenga kisiasa. Kwa kipindi hiki, zitto hatokuwa na hoja yoyote anayobeba maji zaidi ya vijimaneno vya mtaani na vya kuokoteleza. By the way, Putin is doing great job hasa huko Syria.
Genius gani chama chenyewe kinamfia??ADUI AKIKUZIDI NGUVU....... UNGANa nae. Zitto is Genious..!
Kwahiyo taifa bado halijakombolewa?Namkumbuka Zitto Zuberi Kabwe wa 2005-2010 na ninamlinganisha na huyu wa sasa mmmmhhh hadi inauma sana tukiendelea kupoteza vijana kama huyu wengine miaka ijayo kuna kazi kubwa sana ya kuja kulikomboa taifa hili!!
Nimekuwa nikijiuliza hivi Zitto ni nini kimempata??
Yuko wapi Zitto aliyeibua sakata la mgodi wa Buzwagi?
Yuko wapi zitto aliyekuwa akipigania masilai ya wanyonge bungeni kupitia ununuzi wa Rada??
Zitto aliyeungana na Dr slaa juu ya Richmond yuko wapi??
Zitto huyu huyu anayetuhumiwa kwa kuwa na mali zisizolingana na kipato chake ??
Zitto huyu huyu ambaye milija yake imezibwa pale NSSF?
Zito amekuwa mtu tena wa kupiga dili na kuakikisha kila kitu amekipata kanunua majumba mazuri ,Magari mazuri,kila kitu kamiliki leo hii kabaki na kazi moja tu ya !!
Kila siku kuiponda selikari ya Rais magufuli!!!
Hivi hakuna mazuri ya kumpongeza Rais magufuli ni kumponda tu ? Hata akipongeza anapongeza kwa unafiki!!
Kama kweli Wewe ni mzalendo unapigania masilai ya watanzania njoo ujibu maswali yafuatayo!!
Wewe si dictator??
Na ulivyo dictator ulipofika tu ACT wazalendo ukapewa cheo cha kiongozi mkuu wa chama hivi uoni kwamba ilo ni tatizo la kupenda madaraka?
Kwani kulikuwa hakuna watu wengine mpaka upewe wewe hicho cheo uligombea na nani?
Sasa hivi professor Mkumbo anawashauri wapinzani mbadilishe njia za kupambana na selikari ya Rais magufuli lakini hata ushauri usikii imekuwa sikio la kufa!
Na juzi tu mama Anna ametofautiana na wewe waziwazi kuusu mwaliko uliotolewa Dodoma !!
Mbili kwanini uliondoka chadema kwa kutaka uwe mwenyekiti uoni hapo kuna tatizo la udikiteta kutaka cheo kwa nguvu? Kwanini ukusema wazi wazi ila ukaanzisha mtandao ndani ya chama?
Ulishamsikia magufuli anagomea cheo ndani ya chama toka amejiunga na CCM hata cha mwenyekiti wa shina??
Leo hii unatoka na kumfananisha rais magufuli na Putin wa Russia hivi hoja yako ya Jana kwamba watu wamsome Putin ina faida gani kwa taifa?
Kuna faida gani kwa wananchi wa Ujiji??
Hivi unafikiri wananchi wa vijijini wanaweza kaa wasome vitabu au wapekue Internet kwa vifulushi vipi hivi hivi vya wanyonyaji Voda,Tigo na Airtel?
Baada ya kuishauri selikari ilifufue shirika letu la TCCL ili tupate affordable bundle wananchi waweze kupata Internet ilivyo bora na kuepukana na makampuni ya wanyonyaji upo tu kukosoa !!
Mkuu Zitto tulikuheshimu sana lakini sasa your politically finished!!
Baada uungane na Magufuli mpeleke kiwanda cha nyavu za kuvulia Dagaa ujiji ??unaangaika eti wananchi wamsome Putin Hivi mwananchi wa kawaida wa ujiji atakuelewa kweli??
Kwanza tu nikufaamishe taarifa nyingi unazozisoma kwenye mitandao kuusu Putin kama hazitoki Russia ni za kupika kutoka nchi za magaribi!!
Nchi za magaribi hazimpendi Putin kwa sababu analeta mabadiliko ya kweli uko Russia!!
Ni kiongozi imara asiyeteteleka kama alivyo Magufuli hivyo vyombo vya habari vya magaribi haviwezi kumpamba hata kidogo Putin ni kiongozi imara kama alivyo Magufuli!!
Ushauri kwako kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo!!
Watu unaotakiwa kubishana nao ni Mkuu wa mkoa Kigoma,Mkuu wa willaya jimboni kwako,Mkurugenzi jimboni kwako na spika wa ubunge Hao ndio size yako!!
Hakuna mtu anayeupata Urais kwa kumponda Rais aliyeko madarakani hapa Afrika nikukumbushe lazima tuambiane ukweli!!
Tanzania- Professor Lipumba aliponda ameenda,
Kenya-Raila Odinga aliponda huyo anakwenda,
Uganda-Kiza Besige aliponda anakwenda,
Zimbabwe- Morgan Shangelai aliponda amekwenda !!
Mifano ipo mingi tu ila nikushauri pigania masilai ya wananchi wako wa ujiji na Tanzania!!
Nasikitika tunapoteza nguvu kazi za Taifa hasa vijana tuliokuwa tunawategemea wanatoweka taratibu.
Asanteee.
Kipindi hiki Hamna siasa,hapa kazi tu. Amesoma nyakati. Ujue siaasa sio uadui wa kudumu. Ukitaka fanikiwa kwenye maisha ya siasa ni kuwa neutral.Genius gani chama chenyewe kinamfia??
Nitajie mbunge mmoja tu Ccm mwenye akili kama Zitto!Ukishindwa weka idadi ambayo kwa pamoja wakikaa wanaweza kumkaribia ZittoGenius gani chama chenyewe kinamfia??
Hussein BasheNitajie mbunge mmoja tu Ccm mwenye akili kama Zitto!Ukishindwa weka idadi ambayo kwa pamoja wakikaa wanaweza kumkaribia Zitto
Haaaa wacha tuoneKipindi hiki Hamna siasa,hapa kazi tu. Amesoma nyakati. Ujue siaasa sio uadui wa kudumu. Ukitaka fanikiwa kwenye maisha ya siasa ni kuwa neutral.
Hakuna anayekataa kukosoa but sio kwa upotosgaji anaufanya Zitto!!Hivi nyie vijana magufuli sio MUngu yeye ni binaadam ana mapungufu yake na mazuri yake kwann akikosea asiambiwe kama ww mtoa hoja kwako ni mungu sisi kwetu ni mtumishi wetu ndio maana anaongoza Tanzania wala sio CCM
Hakuna anayekataa kukosoa but sio kwa upotosgaji anaufanya Zitto!!
Naona mkuu umemuamkia Zitto tu, na umeacha agenda umeenda mpaka kwenye maisha yake. Mimi nakushauli kita kwenye hoja aliyokosea tuijadili sio brabra za kuwa ana mali nyingi zisizoeleweka hapo utajikwaa, maana tunawajua wengi ulionao kwako wenye ukwasi usioelezeka zaidi ya Zitto.Namkumbuka Zitto Zuberi Kabwe wa 2005-2010 na ninamlinganisha na huyu wa sasa mmmmhhh hadi inauma sana tukiendelea kupoteza vijana kama huyu wengine miaka ijayo kuna kazi kubwa sana ya kuja kulikomboa taifa hili!!
Nimekuwa nikijiuliza hivi Zitto ni nini kimempata??
Yuko wapi Zitto aliyeibua sakata la mgodi wa Buzwagi?
Yuko wapi zitto aliyekuwa akipigania masilai ya wanyonge bungeni kupitia ununuzi wa Rada??
Zitto aliyeungana na Dr slaa juu ya Richmond yuko wapi??
Zitto huyu huyu anayetuhumiwa kwa kuwa na mali zisizolingana na kipato chake ??
Zitto huyu huyu ambaye milija yake imezibwa pale NSSF?
Zito amekuwa mtu tena wa kupiga dili na kuakikisha kila kitu amekipata kanunua majumba mazuri ,Magari mazuri,kila kitu kamiliki leo hii kabaki na kazi moja tu ya !!
Kila siku kuiponda selikari ya Rais magufuli!!!
Hivi hakuna mazuri ya kumpongeza Rais magufuli ni kumponda tu ? Hata akipongeza anapongeza kwa unafiki!!
Kama kweli Wewe ni mzalendo unapigania masilai ya watanzania njoo ujibu maswali yafuatayo!!
Wewe si dictator??
Na ulivyo dictator ulipofika tu ACT wazalendo ukapewa cheo cha kiongozi mkuu wa chama hivi uoni kwamba ilo ni tatizo la kupenda madaraka?
Kwani kulikuwa hakuna watu wengine mpaka upewe wewe hicho cheo uligombea na nani?
Sasa hivi professor Mkumbo anawashauri wapinzani mbadilishe njia za kupambana na selikari ya Rais magufuli lakini hata ushauri usikii imekuwa sikio la kufa!
Na juzi tu mama Anna ametofautiana na wewe waziwazi kuusu mwaliko uliotolewa Dodoma !!
Mbili kwanini uliondoka chadema kwa kutaka uwe mwenyekiti uoni hapo kuna tatizo la udikiteta kutaka cheo kwa nguvu? Kwanini ukusema wazi wazi ila ukaanzisha mtandao ndani ya chama?
Ulishamsikia magufuli anagomea cheo ndani ya chama toka amejiunga na CCM hata cha mwenyekiti wa shina??
Leo hii unatoka na kumfananisha rais magufuli na Putin wa Russia hivi hoja yako ya Jana kwamba watu wamsome Putin ina faida gani kwa taifa?
Kuna faida gani kwa wananchi wa Ujiji??
Hivi unafikiri wananchi wa vijijini wanaweza kaa wasome vitabu au wapekue Internet kwa vifulushi vipi hivi hivi vya wanyonyaji Voda,Tigo na Airtel?
Baada ya kuishauri selikari ilifufue shirika letu la TCCL ili tupate affordable bundle wananchi waweze kupata Internet ilivyo bora na kuepukana na makampuni ya wanyonyaji upo tu kukosoa !!
Mkuu Zitto tulikuheshimu sana lakini sasa your politically finished!!
Baada uungane na Magufuli mpeleke kiwanda cha nyavu za kuvulia Dagaa ujiji ??unaangaika eti wananchi wamsome Putin Hivi mwananchi wa kawaida wa ujiji atakuelewa kweli??
Kwanza tu nikufaamishe taarifa nyingi unazozisoma kwenye mitandao kuusu Putin kama hazitoki Russia ni za kupika kutoka nchi za magaribi!!
Nchi za magaribi hazimpendi Putin kwa sababu analeta mabadiliko ya kweli uko Russia!!
Ni kiongozi imara asiyeteteleka kama alivyo Magufuli hivyo vyombo vya habari vya magaribi haviwezi kumpamba hata kidogo Putin ni kiongozi imara kama alivyo Magufuli!!
Ushauri kwako kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo!!
Watu unaotakiwa kubishana nao ni Mkuu wa mkoa Kigoma,Mkuu wa willaya jimboni kwako,Mkurugenzi jimboni kwako na spika wa ubunge Hao ndio size yako!! Hakuna mtu anayeupata Urais kwa kumponda Rais aliyeko madarakani hapa Afrika nikukumbushe lazima tuambiane ukweli!!
Tanzania- Professor Lipumba aliponda ameenda,
Kenya-Raila Odinga aliponda huyo anakwenda,
Uganda-Kiza Besige aliponda anakwenda,
Zimbabwe- Morgan Shangelai aliponda amekwenda !!
Mifano ipo mingi tu ila nikushauri pigania masilai ya wananchi wako wa ujiji na Tanzania!!
Nasikitika tunapoteza nguvu kazi za Taifa hasa vijana tuliokuwa tunawategemea wanatoweka taratibu.
Asanteee.
Zito aje akujibu weweNo mi sina tatzo na Zitto binafisi lakini ninachokisema ni uongo??
Nimekwambia aje wajibu yeye Mwenye we hizi tuhuma!!
Mkuu hawa watu ni wanafikiHa ha haaa naona kundi lilelile lililomshambulia m...na m.. Wakati ulee kwa usaliti leo wako bize kumfunika na blanket m....