Zitto utapotea, achana na Rais Magufuli!!

Zito aje akujibu wewe
Hana kazi za maana za kufanya
Umejaa unazi mwingi
Kwako atakayepiga vigelegele na kusifia ndio mzuri
Atakayejaribu kukosoa kwako hafai amepoteza sifa
Aje wewe unamjibia kama Nani??
 
Namkumbuka Zitto Zuberi Kabwe wa 2005-2010 na ninamlinganisha na huyu wa sasa mmmmhhh hadi inauma sana tukiendelea kupoteza vijana kama huyu wengine miaka ijayo kuna kazi kubwa sana ya kuja kulikomboa taifa hili!!

Nimekuwa nikijiuliza hivi Zitto ni nini kimempata??
Yuko wapi Zitto aliyeibua sakata la mgodi wa Buzwagi?
Yuko wapi zitto aliyekuwa akipigania masilai ya wanyonge bungeni kupitia ununuzi wa Rada??

Zitto aliyeungana na Dr slaa juu ya Richmond yuko wapi??
Zitto huyu huyu anayetuhumiwa kwa kuwa na mali zisizolingana na kipato chake ??
Zitto huyu huyu ambaye milija yake imezibwa pale NSSF?
Zito amekuwa mtu tena wa kupiga dili na kuakikisha kila kitu amekipata kanunua majumba mazuri ,Magari mazuri,kila kitu kamiliki leo hii kabaki na kazi moja tu ya !!

Kila siku kuiponda selikari ya Rais magufuli!!!
Hivi hakuna mazuri ya kumpongeza Rais magufuli ni kumponda tu ? Hata akipongeza anapongeza kwa unafiki!!
Kama kweli Wewe ni mzalendo unapigania masilai ya watanzania njoo ujibu maswali yafuatayo!!

Wewe si dictator??
Na ulivyo dictator ulipofika tu ACT wazalendo ukapewa cheo cha kiongozi mkuu wa chama hivi uoni kwamba ilo ni tatizo la kupenda madaraka?
Kwani kulikuwa hakuna watu wengine mpaka upewe wewe hicho cheo uligombea na nani?

Sasa hivi professor Mkumbo anawashauri wapinzani mbadilishe njia za kupambana na selikari ya Rais magufuli lakini hata ushauri usikii imekuwa sikio la kufa!
Na juzi tu mama Anna ametofautiana na wewe waziwazi kuusu mwaliko uliotolewa Dodoma !!

Mbili kwanini uliondoka chadema kwa kutaka uwe mwenyekiti uoni hapo kuna tatizo la udikiteta kutaka cheo kwa nguvu? Kwanini ukusema wazi wazi ila ukaanzisha mtandao ndani ya chama?

Ulishamsikia magufuli anagomea cheo ndani ya chama toka amejiunga na CCM hata cha mwenyekiti wa shina??
Leo hii unatoka na kumfananisha rais magufuli na Putin wa Russia hivi hoja yako ya Jana kwamba watu wamsome Putin ina faida gani kwa taifa?

Kuna faida gani kwa wananchi wa Ujiji??
Hivi unafikiri wananchi wa vijijini wanaweza kaa wasome vitabu au wapekue Internet kwa vifulushi vipi hivi hivi vya wanyonyaji Voda,Tigo na Airtel?
Baada ya kuishauri selikari ilifufue shirika letu la TCCL ili tupate affordable bundle wananchi waweze kupata Internet ilivyo bora na kuepukana na makampuni ya wanyonyaji upo tu kukosoa !!

Mkuu Zitto tulikuheshimu sana lakini sasa your politically finished!!
Baada uungane na Magufuli mpeleke kiwanda cha nyavu za kuvulia Dagaa ujiji ??unaangaika eti wananchi wamsome Putin Hivi mwananchi wa kawaida wa ujiji atakuelewa kweli??

Kwanza tu nikufaamishe taarifa nyingi unazozisoma kwenye mitandao kuusu Putin kama hazitoki Russia ni za kupika kutoka nchi za magaribi!!
Nchi za magaribi hazimpendi Putin kwa sababu analeta mabadiliko ya kweli uko Russia!!
Ni kiongozi imara asiyeteteleka kama alivyo Magufuli hivyo vyombo vya habari vya magaribi haviwezi kumpamba hata kidogo Putin ni kiongozi imara kama alivyo Magufuli!!

Ushauri kwako kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo!!
Watu unaotakiwa kubishana nao ni Mkuu wa mkoa Kigoma,Mkuu wa willaya jimboni kwako,Mkurugenzi jimboni kwako na spika wa ubunge Hao ndio size yako!! Hakuna mtu anayeupata Urais kwa kumponda Rais aliyeko madarakani hapa Afrika nikukumbushe lazima tuambiane ukweli!!

Tanzania- Professor Lipumba aliponda ameenda,
Kenya-Raila Odinga aliponda huyo anakwenda,
Uganda-Kiza Besige aliponda anakwenda,
Zimbabwe- Morgan Shangelai aliponda amekwenda !!

Mifano ipo mingi tu ila nikushauri pigania masilai ya wananchi wako wa ujiji na Tanzania!!
Nasikitika tunapoteza nguvu kazi za Taifa hasa vijana tuliokuwa tunawategemea wanatoweka taratibu.

Asanteee.
Atapotea vipi ebu twambie tujue
 
Naona mkuu umemuamkia Zitto tu, na umeacha agenda umeenda mpaka kwenye maisha yake. Mimi nakushauli kita kwenye hoja aliyokosea tuijadili sio brabra za kuwa ana mali nyingi zisizoeleweka hapo utajikwaa, maana tunawajua wengi ulionao kwako wenye ukwasi usioelezeka zaidi ya Zitto.
Kuamka Naye au tunamwambia ukweli!!
 
Hivi nyie watoto, mnajua kumkosoa Magu ni njia ya kumsaidia na kulisaidis taifa? Nyie wa ccm nyie mumsifie kwa sana. Sisi upnde mwingine tutakosoa kwa sana. Hii inaitwa checks and balances! Ndivyo inavyotakiwa.

Nyie mtasifia ssna sisi tutakuwa tunaangalia wapi anakosea na kumshtua! Tisipofanya hivyo ncho itaangsmia. Nyie ccm tunajua hamuwezi kumkosoa, sisi tunafsnya pia kuwasaidia nyie! Otherwise tutakuwa taifa la ajabu sana.

Nikutajie faida chache zilizotokana na kimkosoa Magufuli na serikali yake.
Mosi, bomoabomoa tulipopiga kelele za ukosoaji akashtuka akaacha.

Kutumbua watu majukwaani kwa kuwadhalilisha, tulipopiga kelele akashtuka akaacha.
Kupiga marufuku uagizaji wa sukari, kulikosababisha uhaba mkubwa na bei kupanda mara dufu, tulipiga kelele akashtuka, ikabidi sukari iendelee kuagizwa nje.

Na tukamwambia wazi kwamba yeye ndiye kasababisha upungufu kwa kukurupuka!
Bumge live tukamkosoa vikali sasa ameanza kubadilika na kuanza kuonesha japo kwa kuchelewa saa moja. Orodhs ni ndefu,

Swala la wanafunzi wa udom, kele zimemfanya aharakishe kuwarufidha mavyuoni.
Lile ls kuzuia mikutano ya kisiasa tayari keshalegea!

Hebu fikiri sote tungemshangilia km ninyi mnavyofanya wengi hssa wanyonge wangeumizwa sana. Kumbe kukosoa inamsaidia hata yeye kujirekebisja kabla ha
li haijawa mbaya! Umeelewa dogo?
 
Hivi nyie watoto, mnajua kumkosoa Magu ni njia ya kumsaidia na kulisaidis taifa? Nyie wa ccm nyie mumsifie kwa sana. Sisi upnde mwingine tutakosoa kwa sana. Hii inaitwa checks and balances! Ndivyo inavyotakiwa. Nyie mtasifia ssna sisi tutakuwa tunaangalia wapi anakosea na kumshtua! Tisipofanya hivyo ncho itaangsmia. Nyie ccm tunajua hamuwezi kumkosoa, sisi tunafsnya pia kuwasaidia nyie! Otherwise tutakuwa taifa la ajabu sana.
Nikutajie faida chache zilizotokana na kimkosoa Magufuli na serikali yake.
Mosi, bomoabomoa tulipopiga kelele za ukosoaji akashtuka akaacha.
Kutumbua watu majukwaani kwa kuwadhalilisha, tulipopiga kelele akashtuka akaacha.
Kupiga marufuku uagizaji wa sukari, kulikosababisha uhaba mkubwa na bei kupanda mara dufu, tulipiga kelele akashtuka, ikabidi sukari iendelee kuagizwa nje. Na tukamwambia wazi kwamba yeye ndiye kasababisha upungufu kwa kukurupuka!
Bumge live tukamkosoa vikali sasa ameanza kubadilika na kuanza kuonesha japo kwa kuchelewa saa moja. Orodhs ni ndefu,
Swala la wanafunzi wa udom, kele zimemfanya aharakishe kuwarufidha mavyuoni.
Lile ls kuzuia mikutano ya kisiasa tayari keshalegea!
Hebu fikiri sote tungemshangilia km ninyi mnavyofanya wengi hssa wanyonge wangeumizwa sana. Kumbe kukosoa inamsaidia hata yeye kujirekebisja kabla ha
li haijawa mbaya! Umeelewa dogo?
Hakuna anayekataa kukosoa but sometime wakosoaji wanapotisha wananchi mfano swala la kodi kwenye ATM na miamala ya simu uoni Zitto alipotosha uma kwa kusema
kwa kila 1000itakuwa ikikatwa 270? Na kuleta taaruki??
 
Namkumbuka Zitto Zuberi Kabwe wa 2005-2010 na ninamlinganisha na huyu wa sasa mmmmhhh hadi inauma sana tukiendelea kupoteza vijana kama huyu wengine miaka ijayo kuna kazi kubwa sana ya kuja kulikomboa taifa hili!!

Nimekuwa nikijiuliza hivi Zitto ni nini kimempata??
Yuko wapi Zitto aliyeibua sakata la mgodi wa Buzwagi?
Yuko wapi zitto aliyekuwa akipigania masilai ya wanyonge bungeni kupitia ununuzi wa Rada??

Zitto aliyeungana na Dr slaa juu ya Richmond yuko wapi??
Zitto huyu huyu anayetuhumiwa kwa kuwa na mali zisizolingana na kipato chake ??
Zitto huyu huyu ambaye milija yake imezibwa pale NSSF?
Zito amekuwa mtu tena wa kupiga dili na kuakikisha kila kitu amekipata kanunua majumba mazuri ,Magari mazuri,kila kitu kamiliki leo hii kabaki na kazi moja tu ya !!

Kila siku kuiponda selikari ya Rais magufuli!!!
Hivi hakuna mazuri ya kumpongeza Rais magufuli ni kumponda tu ? Hata akipongeza anapongeza kwa unafiki!!
Kama kweli Wewe ni mzalendo unapigania masilai ya watanzania njoo ujibu maswali yafuatayo!!

Wewe si dictator??
Na ulivyo dictator ulipofika tu ACT wazalendo ukapewa cheo cha kiongozi mkuu wa chama hivi uoni kwamba ilo ni tatizo la kupenda madaraka?
Kwani kulikuwa hakuna watu wengine mpaka upewe wewe hicho cheo uligombea na nani?

Sasa hivi professor Mkumbo anawashauri wapinzani mbadilishe njia za kupambana na selikari ya Rais magufuli lakini hata ushauri usikii imekuwa sikio la kufa!
Na juzi tu mama Anna ametofautiana na wewe waziwazi kuusu mwaliko uliotolewa Dodoma !!

Mbili kwanini uliondoka chadema kwa kutaka uwe mwenyekiti uoni hapo kuna tatizo la udikiteta kutaka cheo kwa nguvu? Kwanini ukusema wazi wazi ila ukaanzisha mtandao ndani ya chama?

Ulishamsikia magufuli anagomea cheo ndani ya chama toka amejiunga na CCM hata cha mwenyekiti wa shina??
Leo hii unatoka na kumfananisha rais magufuli na Putin wa Russia hivi hoja yako ya Jana kwamba watu wamsome Putin ina faida gani kwa taifa?

Kuna faida gani kwa wananchi wa Ujiji??
Hivi unafikiri wananchi wa vijijini wanaweza kaa wasome vitabu au wapekue Internet kwa vifulushi vipi hivi hivi vya wanyonyaji Voda,Tigo na Airtel?
Baada ya kuishauri selikari ilifufue shirika letu la TCCL ili tupate affordable bundle wananchi waweze kupata Internet ilivyo bora na kuepukana na makampuni ya wanyonyaji upo tu kukosoa !!

Mkuu Zitto tulikuheshimu sana lakini sasa your politically finished!!
Baada uungane na Magufuli mpeleke kiwanda cha nyavu za kuvulia Dagaa ujiji ??unaangaika eti wananchi wamsome Putin Hivi mwananchi wa kawaida wa ujiji atakuelewa kweli??

Kwanza tu nikufaamishe taarifa nyingi unazozisoma kwenye mitandao kuusu Putin kama hazitoki Russia ni za kupika kutoka nchi za magaribi!!
Nchi za magaribi hazimpendi Putin kwa sababu analeta mabadiliko ya kweli uko Russia!!
Ni kiongozi imara asiyeteteleka kama alivyo Magufuli hivyo vyombo vya habari vya magaribi haviwezi kumpamba hata kidogo Putin ni kiongozi imara kama alivyo Magufuli!!

Ushauri kwako kiongozi mkuu wa chama cha ACT Wazalendo!!
Watu unaotakiwa kubishana nao ni Mkuu wa mkoa Kigoma,Mkuu wa willaya jimboni kwako,Mkurugenzi jimboni kwako na spika wa ubunge Hao ndio size yako!! Hakuna mtu anayeupata Urais kwa kumponda Rais aliyeko madarakani hapa Afrika nikukumbushe lazima tuambiane ukweli!!

Tanzania- Professor Lipumba aliponda ameenda,
Kenya-Raila Odinga aliponda huyo anakwenda,
Uganda-Kiza Besige aliponda anakwenda,
Zimbabwe- Morgan Shangelai aliponda amekwenda !!

Mifano ipo mingi tu ila nikushauri pigania masilai ya wananchi wako wa ujiji na Tanzania!!
Nasikitika tunapoteza nguvu kazi za Taifa hasa vijana tuliokuwa tunawategemea wanatoweka taratibu.

Asanteee.
Kama ana sikio linalosikia amesikia
 
Tanzania- Professor Lipumba aliponda ameenda,
Kenya-Raila Odinga aliponda huyo anakwenda,
Uganda-Kiza Besige aliponda anakwenda,
Zimbabwe- Morgan Shangelai aliponda amekwenda !!
Hao uliowataja wanapotezwaje?
 
Khaa, nchi hii haitaisha maajabu. Sasa tumefikia hapa? Kwamba kuna watu ni "Untouchable", eti ukiwasema unakwenda na maji? honk ponk garbbage!
 
Hao uliowataja wanapotezwaje?
Kama mwana JF, usikwepe wajibu wa kuelewesha wasiofahamu kwa kufafanua kinagaunaga ili mwisho wa siku wote tuje na welewa sawa kwa kutambua kilicho nyuma ya pazia juu ya mambo mbalimbali.
 
Fatilia siasa zao ndo ujue wamepotezwaje??
Kama mwana JF, usikwepe wajibu wa kuelewesha wasiofahamu kwa kufafanua kinagaunaga ili mwisho wa siku wote tuje na welewa sawa kwa kutambua kilicho nyuma ya pazia juu ya mambo mbalimbali.
 
Really na sio Utan Tunazipoteza sana nguvu kazi za taifa wamesahau walianzeje ila walipo fikia Sasa Wana koroga

Daa nimekukubali mkuu umeona mbali,ukiona mtu sasa ivi anamponda na kumwandama jpm ujue ni miongoni mwa wapiga dili waliobanwa na kufungiwa mirija yao ya ulaji,zitto uko kimaslahi zaidi aliona wakina mbowe wanagawana ruzuku yeye anapata kidogo akawakimbia akaona anzishe chama chake uenda kikakua na ruzuku itaongezeka kasi ya jpm inakiua chama amechanganikiwa.
 
aisee sijaelewa mleta post Zitto atapotea vipi au namna gani? tungo TATA
 
Back
Top Bottom