EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,483
- 15,308
Jamaa kashajisema mwenyewe anacheka kicheko cha juha, unahitaji ushahidi gani zaidi kwamba huyu juha?
Yaani huyu bwana hajui kabisa nini maana ya collective responsibility mpaka anakuja kumwaga tofauti zake na chama JF?
Kama hataki wabunge wa kuteuliwa this much na CHADEMA inataka hilo, ajitoe CHADEMA.
Kama anaona anaweza kubadilisha mambo kutoka ndani ya CHADEMA, na kuiwezesha CHADEMA na bunge letu kufikia kiwango cha kutohitaji wabunge wa kuteuliwa/ viti maalum, basi afanye kazi ndani ya chama kufikia lengo hili, bila kukiumbua chama.
Kwa mbunge wa CHADEMA kusema viti maalum kama "viti vya kupewa", anakidhalilisha chama. Kwamba chama kimekaa pale kugawa largesse (which may very well be the case, but that is not the point).
Nimevishambulia sana viti maalum, na usichukulie post hii kama kuvitetea viti maalum.
Tofauti yangu na Zitto ni kwamba mimi sina unafiki wa kukipiga vijembe CHADEMA wakati nikiwa mbunge wa CHADEMA. Zitto inabidi aamue, anataka kuwa ndani ya CHADEMA na kufanya kazi ndani ya CHADEMA kuondoa haja ya kuwa na viti maalum, au kukataa viti maalum outright, na ku lobby ndani ya CHADEMA wavikatae - not impossible, but an uphill task-.
Kama Zitto angekuwa mtu wa principle, either angejitoa CHADEMA kwa kuwa vinakubali kushiriki katika huu "ubunge wa kupewa" au angeweza kukubali kimoyo kwamba viti maalum ni "ubunge wa kupewa" lakini akawa na humility ya kuondoa udhaifu huu ndani ya chama.
Kwa kauli yake hii, Zitto kakidhalilisha chama na kujionyesha anavyojifanya kuwa "much know" kuliko chama chake.
Zitto, kama wewe ni "much know" kuliko chama chako, kwa nini uko ndani ya chama hicho? Unakihitaji kwa nini?
This is where I really would like to see private candidacy in Tanzanian politics, because that deny give the likes of Zitto any excuse.
Unaweza kumsoma mtu maandishi yake tu ukajua inteligence level iko wapi, na huyu Zitto ana malnutrition ya intelligence.
Mkuu naunga hoja hapo kwenye red. Thats is the only way forward. People are tired to participate in leadership to have to join a political party, even if they do not subscribe to the manifesto, principles, policies or practices of any of the existing political parties. I sense this is what Hon Zitto is missing. This "join a party or I cannot elect you" is liming the respective consciences of those individuals in CCM and Chadema who see something fundamentally wrong with their political parties and cannot associate themselves with those parties.[h=1][/h]