Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

Kama Mh. Zitto hakufurahishwa na aliyosema Marytina, taratibu za JF zinasemaje? Mods hawakuona aliyosema Marytina? I don't know whether or Marytina is also an MP, but if she is then I don't condone what she said either hata kama anajificha kwa ID feki. Similarly, I don't condone Hon. Zitto's response. Angetumia busara zaidi. Otherwise, anaweza kuwekwa kundi moja na Martyana. Kuna njia nyingi za busara za ku address issue kama hii. Badala yake ame-respond in way that tries to justify demarcations of members within the party. Hon Zitto should have been wise to give thought to Marytina's remarks before responding. If it were you responding to Marytina's remark, as a person holding a public office, you would want to put a little thought into what you are about to post in a forum like this. If people post comments that are critical or even insulting you, you would always maintain an even demeanor. Hon Zitto should not have over reacted in a way which he might come to regret later or which will cast him in a negative light in the same way as Marytina. Condoning Hon Zitto's response is condoning Marytina's remarks and vice versa.
asanteh!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
firstlady si mbunge wa viti maalum ila yupo connected

MTM.

kujuana isiwe sababu ya kutoa mwelekeo wa mimi ni nani?waache wanedlee kuhisi mimi ni Mbunge si kila anayezungumza mambo ya CDM ni mwenye jina la kike ni Mbunge wa vitimaalum kama alivyojidanganya Zitto kama Marytina na wanaJF wengine hapa wanaodhani Miss Parliament ni Mbunge tena wa viti maalumu wakati sio mbunge na sio mwanamke.

MTM nimeona hapo unasema ninapotumika niangalie madhara yake,ukweli ni kwamba sijatumika na sijashirikisha yeyote katika hili ila nimekwazwa sana Zitto kutamka maneno yale.Nilikuwa mgombea vitimaalum,udiwani na ubunge na sikubahatika kupata ila ninatarajia siku za usoni kufanya.Ninaposikia kauli kama hizi zinatolewa na kiongozi niyamuamini na kumpenda na kwazika sana.Sisi tulikosa tuamini lipi?na vigezo au la kupewa kama zawadi?inauma unajua.Pili kiongozi kama yeye anaposema hayo anaiaminisha nini jamii?anampango gani na chama?unafikri wapnzani wetu wamelala?Magamba wakipick from him itakuwaje?umesahau la vitmaalum na uchaga Bunge lililopita?chama kikipigwa hizo ndoto zake za Urais au Ubunge zitafanikiwaje?au ana mpango wa kuhama cham?
 
Jamaa kashajisema mwenyewe anacheka kicheko cha juha, unahitaji ushahidi gani zaidi kwamba huyu juha?

Yaani huyu bwana hajui kabisa nini maana ya collective responsibility mpaka anakuja kumwaga tofauti zake na chama JF?

Kama hataki wabunge wa kuteuliwa this much na CHADEMA inataka hilo, ajitoe CHADEMA.

Kama anaona anaweza kubadilisha mambo kutoka ndani ya CHADEMA, na kuiwezesha CHADEMA na bunge letu kufikia kiwango cha kutohitaji wabunge wa kuteuliwa/ viti maalum, basi afanye kazi ndani ya chama kufikia lengo hili, bila kukiumbua chama.

Kwa mbunge wa CHADEMA kusema viti maalum kama "viti vya kupewa", anakidhalilisha chama. Kwamba chama kimekaa pale kugawa largesse (which may very well be the case, but that is not the point).

Nimevishambulia sana viti maalum, na usichukulie post hii kama kuvitetea viti maalum.

Tofauti yangu na Zitto ni kwamba mimi sina unafiki wa kukipiga vijembe CHADEMA wakati nikiwa mbunge wa CHADEMA. Zitto inabidi aamue, anataka kuwa ndani ya CHADEMA na kufanya kazi ndani ya CHADEMA kuondoa haja ya kuwa na viti maalum, au kukataa viti maalum outright, na ku lobby ndani ya CHADEMA wavikatae - not impossible, but an uphill task-.

Kama Zitto angekuwa mtu wa principle, either angejitoa CHADEMA kwa kuwa vinakubali kushiriki katika huu "ubunge wa kupewa" au angeweza kukubali kimoyo kwamba viti maalum ni "ubunge wa kupewa" lakini akawa na humility ya kuondoa udhaifu huu ndani ya chama.

Kwa kauli yake hii, Zitto kakidhalilisha chama na kujionyesha anavyojifanya kuwa "much know" kuliko chama chake.

Zitto, kama wewe ni "much know" kuliko chama chako, kwa nini uko ndani ya chama hicho? Unakihitaji kwa nini?

This is where I really would like to see private candidacy in Tanzanian politics, because that deny give the likes of Zitto any excuse.

Unaweza kumsoma mtu maandishi yake tu ukajua inteligence level iko wapi, na huyu Zitto ana malnutrition ya intelligence.
 
Mkuu mtu wa kawaida ambaye hajui kinachoendelea atajiunga. Lakini mtu makini akisoma kuwa kuna possibility ya kuwekwa kwenye kundi la wakuja then s/he will have to think twice before joining. Sidhani kama utakubali kufanya kazi kwenye kampuni amabayo one of its top executives anaonyesha wazi ku promote non-integration of new employers into the company. Mkuu naangalia big picture ya Chadema and Mh Zitto is part of it. Kama mpaka Mh Zitto amediriki kumwita mwanachama mwenzake wa kuja, then inaonyesha this culture exists within the party. Wehenga wetu walisema lisemwalo lipo, kama halipo linakuja. Sidhani kama ungependa kuona wananchi wanaopenda mageuzi wanaingizwa kwenye yale yale ya NCCR Mageuzi.

hahahha hahah EMT je angemuita mbumbumbu.

Wakuja = Mgeni? au mimi ndo sielewi . Na nadhani huyo aliypewa hilo jibu linamtosha hilo hilo. Sio kwamba nakubaliana na mjibu hayo but najiona hata mimi naweza kuyaotoa kwa baadhi ya watu. Hiyo wakuja ni just tip of ana iceberg. Tutasikia mengi zaidi......

Yes I expect and i would like Ziito kuwa makini na lugha zake but si expect zitto awe angel na kwa aina ya wabunge hao wanatumwa au kujituma kumshabulia . Tutaona mengi zadi ya wakuja . On both side. we subiri.

Ziito can not be better than the enviroment na system ya chadema anayofanya kazi. Wakuja ni one of bad repsonse na mimi labda ningetoa kwa mtu kama huyo.

Wananchi tunataka mageuzi but mbona sioni constrictive articles za wabunge na hao watu. Au hizo ID ni za watu kutumia kuponda.

Mfano nimemuuliza huyo mleta mada swali moja naona kakaa kimya. Je angekuwa mjengoni anachangia bajeti nini angechangia? Sasa ukiwa aina ya watu hawa hata ziito akfumba mdomo bado CCM itapeta tu.
 
KIranga kwa hili natofautiana na ww. Healthy intellingence km unavyoita ww si kukaa kimya kisa chama.Haya ya ukimya ndio yameifanya nchi iwe ilivyo kisa kuwa na kadi. Huu si wkt wa kubembelezana ni wa kuelezana ukweli. Kuna mifumo mingi mibovu tukipata fursa ya kuikataa tuseme hivyo.
 
usiendelee kudananya watu utabika hapa.Nimekuonya mama, komea hapo.Ukiwa mbishi endelea.Wewe ni mbunge wa viti maalum una id 3 feki na moja ya jina lako.Lapo top zina gps take care of ya moth pit which u use as ass canal mama.
Unatafuta ban ww hakuna asiyefahamika hapa.
 
Duhh! Hakika mambo ya siasa nitayaweka left kwnz,mazito sana. Mmmhh! Unaweza mwamini m2 kumbe ndiye bure kabisaaaa! Hata huyu 2nayempa 100% ya kuwa chuma cha pua ndiyo anatoa speech kama hii. Kuna kazi kweli kweli! Jukwa la siasa sirudi ng'o napumzika.
 
Kwa kauli yake hii, Zitto kakidhalilisha chama na kujionyesha anavyojifanya kuwa "much know" kuliko chama chake.

Zitto, kama wewe ni "much know" kuliko chama chako, kwa nini uko ndani ya chama hicho? Unakihitaji kwa nini?

.

Kiranga unamchokoza ziito tena aje na majibu yake ya mzaha mzaha .

kwani wapi Ziito kasema yeye ni "much know" Kama kuna kauli zake zinafanya aonenekanae ni much know what abaout kauli za wengine. Ziit can not be better than CDM itself.

Duh kuhusu intelligency malnutrition teh teh teh teh . but nadhani hiyo Sio mulnuttrition kwa vigezo wa wana kigoma may be kwa vigezo vya newyork au london.

First Lady yupo Magogoni mkuu. lol

Hawa watu wa mgogoni bana hata wafagiaji na wamwagilia maua nao ukimuuliza anafanya kazi wapi anakwambia niko "Magogoni". teh teh
 
I have, several times, reprimanded Mr.Mbowe's munificence of distributing MARIJUANA to his adherents but he never cared. This is all the results he was looking for.
 
Hivi nyie wabunge wa viti maluum, tukimwacha Regia Mtema ambaye kwakweli pamoja na ulemavu amepigana kiume na asingechakachuliwa angeibuka kidedea...

Ni maslahi yapi nyie mnatetea ?..mbona mmekaa kimipasho ? Kwanini hoja haijibiwi na hoja ? Mimi naona u guys are hanging ur dirty linens hapa...

Hebu rudini kwenye chama mjipange upya kama mna tatizo na zito & co simply call him up and discuss it, maana mnavitetea viti maalum @ the expense of divulging dirty secrets!

Nsiande huwezi amni mimi sio Mbunge.Si kila anyeteta vitimaalum hapa ni Mbunge jamani.Wengine ni waumini wa vitimaalum kama njia rahisi ya kuongeza idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi.Mnaopinga hamjapitia masuala ya Jinsia na hamjui mfumo wetu wa siasa huko chini vS wanawake.Hata ukisoma comments za watu humu ni za kimfumo dume tu na zenyewe.JF ni mfumo dume tu.Nsianda jaribu siku moja kuweka thread inayomhusu issue za wanawake kama utapata watu humu.Hata ukiwa mchangiaji mzuri na ukajipa jina ambalo halitabiriki kama ni mwanamke au mwanume basi watu wataassume wewe ni mwanaume.huu ni mfumo dume tu..
 
kwanza kabisa nianze kwa kukuomba unitake radhi kwa kuniita jina la kunidhalilisha.
Kisha nakushauri uwe macho na ukurupukaji wako, nakufahamu sana kwa jina na aina yako ya propoganda za kioga na ndio maana umejificha nyuma ya jina la kichina.
Wewe unao uwezo wa kuwa mbunge wa hivyo viti kwa tiketi hiyo tu unayojivunia ila wenzio wenye hali hiyo wanaomba mungu awasaidie waondokane nayo kwani awakujitakia.
Nakuomba uchunge sana kinywa chako, kwani mimi niko wazi sio kama wewe, tangu nimejiunga hapa ninatumia jina langu.
Nakuomba wewe kama mbunge wa cdm viti maalum ujitokeze wazi kwa jina kwani jamii inaaimni una uwezo wa kujenga hoja kwa kudhani umepata nafasi hiyo kwa uwezo wa hoja na fikra nyoofu.
Sasa mam tokea hadharani tukusikie vinginevyo nitaweka saver yako na id zako zote.
Unatumia copmuter moja na ina gps haya kaa sawa mama
.

Mkuu this is going to the extreme. The fact that you're using your real name does not entitle you whatsoever to disclose others IDs, their computers and GPS. How come una access na hizo details? Una connection yoyote na JF mpaka uwe na hizo details? Au ndio unataka ku justify aliyosema Msekwa? Watu wanatishiwa hapa kuwa their identities will be exposed because someone is not happy of what is being said. This is threatening the very existence of this forum. Invincibe na Mods tunaomba mwongozo hapa. This does not mean this thread should be closed.
 
Jamaa kashajisema mwenyewe anacheka kicheko cha juha, unahitaji ushahidi gani zaidi kwamba huyu juha?

Yaani huyu bwana hajui kabisa nini maana ya collective responsibility mpaka anakuja kumwaga tofauti zake na chama JF?

Kama hataki wabunge wa kuteuliwa this much na CHADEMA inataka hilo, ajitoe CHADEMA.

Kama anaona anaweza kubadilisha mambo kutoka ndani ya CHADEMA, na kuiwezesha CHADEMA na bunge letu kufikia kiwango cha kutohitaji wabunge wa kuteuliwa/ viti maalum, basi afanye kazi ndani ya chama kufikia lengo hili, bila kukiumbua chama.

Kwa mbunge wa CHADEMA kusema viti maalum kama "viti vya kupewa", anakidhalilisha chama. Kwamba chama kimekaa pale kugawa largesse (which may very well be the case, but that is not the point).

Nimevishambulia sana viti maalum, na usichukulie post hii kama kuvitetea viti maalum.

Tofauti yangu na Zitto ni kwamba mimi sina unafiki wa kukipiga vijembe CHADEMA wakati nikiwa mbunge wa CHADEMA. Zitto inabidi aamue, anataka kuwa ndani ya CHADEMA na kufanya kazi ndani ya CHADEMA kuondoa haja ya kuwa na viti maalum, au kukataa viti maalum outright, na ku lobby ndani ya CHADEMA wavikatae - not impossible, but an uphill task-.

Kama Zitto angekuwa mtu wa principle, either angejitoa CHADEMA kwa kuwa vinakubali kushiriki katika huu "ubunge wa kupewa" au angeweza kukubali kimoyo kwamba viti maalum ni "ubunge wa kupewa" lakini akawa na humility ya kuondoa udhaifu huu ndani ya chama.

Kwa kauli yake hii, Zitto kakidhalilisha chama na kujionyesha anavyojifanya kuwa "much know" kuliko chama chake.

Zitto, kama wewe ni "much know" kuliko chama chako, kwa nini uko ndani ya chama hicho? Unakihitaji kwa nini?

This is where I really would like to see private candidacy in Tanzanian politics, because that deny give the likes of Zitto any excuse.

Unaweza kumsoma mtu maandishi yake tu ukajua inteligence level iko wapi, na huyu Zitto ana malnutrition ya intelligence.

Thanks,
 
usiendelee kudananya watu utabika hapa.......
Lapo top zina gps ......

Mkuu unaonaje ukitembeala jukwa la teknolojia ukatupa darasa kuhusu hili somo. la la tracking laptp through GPS. Jukwaa sasa halina hot topic hope utalifiria .
 
Jamaa kashajisema mwenyewe anacheka kicheko cha juha, unahitaji ushahidi gani zaidi kwamba huyu juha?

Yaani huyu bwana hajui kabisa nini maana ya collective responsibility mpaka anakuja kumwaga tofauti zake na chama JF?

Kama hataki wabunge wa kuteuliwa this much na CHADEMA inataka hilo, ajitoe CHADEMA.

Kama anaona anaweza kubadilisha mambo kutoka ndani ya CHADEMA, na kuiwezesha CHADEMA na bunge letu kufikia kiwango cha kutohitaji wabunge wa kuteuliwa/ viti maalum, basi afanye kazi ndani ya chama kufikia lengo hili, bila kukiumbua chama.

Kwa mbunge wa CHADEMA kusema viti maalum kama "viti vya kupewa", anakidhalilisha chama. Kwamba chama kimekaa pale kugawa largesse (which may very well be the case, but that is not the point).

Nimevishambulia sana viti maalum, na usichukulie post hii kama kuvitetea viti maalum.

Tofauti yangu na Zitto ni kwamba mimi sina unafiki wa kukipiga vijembe CHADEMA wakati nikiwa mbunge wa CHADEMA. Zitto inabidi aamue, anataka kuwa ndani ya CHADEMA na kufanya kazi ndani ya CHADEMA kuondoa haja ya kuwa na viti maalum, au kukataa viti maalum outright, na ku lobby ndani ya CHADEMA wavikatae - not impossible, but an uphill task-.

Kama Zitto angekuwa mtu wa principle, either angejitoa CHADEMA kwa kuwa vinakubali kushiriki katika huu "ubunge wa kupewa" au angeweza kukubali kimoyo kwamba viti maalum ni "ubunge wa kupewa" lakini akawa na humility ya kuondoa udhaifu huu ndani ya chama.

Kwa kauli yake hii, Zitto kakidhalilisha chama na kujionyesha anavyojifanya kuwa "much know" kuliko chama chake.

Zitto, kama wewe ni "much know" kuliko chama chako, kwa nini uko ndani ya chama hicho? Unakihitaji kwa nini?

This is where I really would like to see private candidacy in Tanzanian politics, because that deny give the likes of Zitto any excuse.

Unaweza kumsoma mtu maandishi yake tu ukajua inteligence level iko wapi, na huyu Zitto ana malnutrition ya intelligence.

Kwa mara ya kwanza leo umeongea hoja.Take five
 
Mkuu this is going to the extreme. The fact that you're using your real name does not entitle you whatsoever to disclose others IDs, their computers and GPS. How come una access na hizo details? Una connection yoyote na JF mpaka uwe na hizo details? Au ndio unataka ku justify aliyosema Msekwa? Watu wanatishiwa hapa kuwa their identities will be exposed because someone is not happy of what is being said. This is threatening the very existence of this forum. Invincibe na Mods tunaomba mwongozo hapa. This does not mean this thread should be closed.

EMT. Huyu jamaa wala asikutishea kwanza ningetamani anitaje.Yeye kuna mtu anamuhisi amabye ni Mbungekama walivyosema kwenye post yake na mimi sio.Hata hivyo jamaa hana huo ubavu,yeye ni mwimbaji aliyeingia mitini kwenye kuimba baadaye akaingia kwenye siasa kachomoka tena akaenda kuunganishaunganisha elimu akajitahdi akapata sijiui ni cheti sijui ni diploma ya clinical officer sijui lab technician karudi anajiita daktari.Na kompyuta wapi kwa wapi..
 
Hivi nyie wabunge wa viti maluum, tukimwacha Regia Mtema ambaye kwakweli pamoja na ulemavu amepigana kiume na asingechakachuliwa angeibuka kidedea...

Ni maslahi yapi nyie mnatetea ?..mbona mmekaa kimipasho ? Kwanini hoja haijibiwi na hoja ? Mimi naona u guys are hanging ur dirty linens hapa...

Hebu rudini kwenye chama mjipange upya kama mna tatizo na zito & co simply call him up and discuss it, maana mnavitetea viti maalum @ the expense of divulging dirty secrets!

Hiyo nyekundu inaondoa nini kwenye ubinadamu wake? Usirudie tena kuitamka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom