Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 140
- Thread starter
- #81
He's always fair.....
Sio shabiki ndiyo maana utaona baadae watu wataanza kumshambulia ati mbona jana ulikuwa una-oppose mbona leo una-support.Watu wanashindwa kuelewa tofauti kati ya Analysis by intellectual reasoning na political fanatiscism cum personal vendatta.Sio kila mtu JF ni shabiki
Na wewe je una analyse kwa kutumia model gani?ya usalama wa taifa maana nimesikia kuwa wewe ni usalama wa taifa na ninvyokuona behaviour zako siku chache kabala ya uchaguzi bavicha na baada ninaamini kabisa. Kabla ulikuwa unampiga vita Zitto leo hata akosee vipi unamtetea kweli kweli.Kama kweli mnampenda mnapaswa kumshauri vizuri sio kumsifusifu hata pasipostahili.Acha unafiki ili mumsaidie mwenzenu vinginevyo mtamharibu.Zitto hana washauri wazuri waliomzunguka mnapambana mno.