kama yalikuwa mazungumzo tu ina maana hata bei walikuwa hawajafikia muafaka wowote .Zitto kabwe hilo la kusema wangeuzwa kwa bei hiyo hiyo bei kaokota wapi wakati mazungumzo yalikuwa bado kukamilika?Mazungumzo yalikuwepo na watu wasingeacha kazi zao na kukaa vikao vya jambo lisilokuwepo au kuwezekana.
Bei ilikuwa tayari,mazungumzo ya namna ya kulipana(terms).kama yalikuwa mazungumzo tu ina maana hata bei walikuwa hawajafikia muafaka wowote .Zitto kabwe hilo la kusema wangeuzwa kwa bei hiyo hiyo bei kaokota wapi wakati mazungumzo yalikuwa bado kukamilika?
Bora watupeleke MIGA tu tuwalipe koh
Sasa mbona Lopolopo wa Nairobi alisema tutashtakiwa na tutawalipa hawa wazungu pesa nyingi sasa imekuaje hao wazungu hawajatushtaki na wametupa sisi pesa hata hizo kidogo?So lopolopo wa Nairobi ni mzushi,Muongo na mzandik?Hawawez kukupeleka huko mana toka matrion had bilion ya nn kupotezeana muda? Mzungu noma kapiga hesabu kesi huenda ikachukua 10 years uzalishaj unasimama wakat ndani ya tena years kishatengeneza pesa ya maana bora akupe usd 3000 bilion tu ukae kimya.
What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish hapa lissu alikuwa sahihi kabisa.
Halafu kuna watu wanashangilia wakat jamaa wapo clear kabisa kwamba yote yatafanyika hadi bodi ikubali wakienda huko london sasa hapo tunategemea huruma ya bodi wakikataa ngoma inaanza upya mana jamaa walikataa madai yote ya kodi basi kwa hisani na huruma wametuachia kishika uchumba kwa miaka yote waliovuna hapa kwetu.
Sasa mbona Lopolopo wa Nairobi alisema tutashtakiwa na tutawalipa hawa wazungu pesa nyingi sasa imekuaje hao wazungu hawajatushtaki na wametupa sisi pesa hata hizo kidogo?So lopolopo wa Nairobi ni mzushi,Muongo na mzandik?
Lisu alisema makinikia ni mali yao na watatushtaki na tutawalipa vp wametushtaki?vp tunawalipa?Yeye katazama upande huo wao wameangalia upande wa muda vyote vingewezekana kama umenunuliwa ukae kimya kwa Usd 3000 bln halafu naendelea kuzalisha trilion kwa nini nikushtak wakat nshautumia udhaifu wako?
Hakuna hata kimoja walichomibali kodi na madai wameishia kutuonea huruma kutupa pesa ya hisani hii ina maana kama tungegomea hiyo pesa tunayataka yale matrilion feki mahakaman pangetuhusu
Maths hata hujui... Zero kabisa..
$ 300 bil umetoa Mtaa wa Ufipa mnakojazwa ujuha..!! Do you know what does $ 300 bil mean? Unajua kukariri tu, Nani alitamka $ 300 bil?
Wamesema ni za kukuza uaminifu tu. Of course kwenye mafungu yao huko ni ukweli kwamba wana budget za good will kwa vitu vidogo vidogo kama hivyoJe hiyo 300 Million USD baadae itakuwa deducted katika deni kama deni lipo au Tutawarudushia kama ikibainika hatuwadai chochote?
Once Msaliti always msaliti. Hajui hata anachoongea.Mwezi Machi 2017 niliwaambia Watanzania kuwa tumepoteza TZS 1.8 trilioni za kodi ya capital gains kwa maamuzi ya papara ya Rais kuhusu mchanga. Nilitukanwa Sana.
Leo tumeishia kupata TZS 640 bilioni ( 1/3 ya tulichokosa ). Mnashangilia Sana.
Nikiwaita Mazwazwa mnasema nawatukana.
Niliandika Machi 2017
" Amri ya Rais kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8trn Capital Gains Tax
Jana nilipokuwa natoa mada kuhusu miaka 50 ya Azimio la Arusha niliongelea pia suala la umakini wa viongozi katika kauli zao. Kwamba Kiongozi lazima ujue unatoa kauli gani wakati gani. Niliwaeleza wanachama na wageni wengjne katika mkutano wa ACT Wazalendo kuwa Amri ya kiholela aliyoitoa Rais John Magufuli kuzuia usafirishaji wa Mchanga wa Dhahabu imepelekea nchi yetu kupoteza USD 880m Kama kodi ya ongezeko la Mtaji kutokana na mauzo ya Acacia Mining.
Hivi sasa nchini kwetu kuna sheria ya kutoza 20% ya thamani ya mauzo iwapo kampuni zinauziana hisa. Tozo inayotozwa inaitwa Capital Gains Tax. Kodi hii mpya ilitungwa mwaka 2012 ili kukabili wawekezaji waliokuwa wanauziana makampuni juu Kwa juu bila Tanzania kupata lolote. Tanzania imeshafaidika na kodi hiyo Kwa mauzo mbali mbali ambayo yamekwisha fanyika kwenye sekta mbalimbali.
Wakati Rais anatoa AMRI kuhusu Mchanga wa madini kusafirishwa kwenye nje ya nchi kulikuwa na mazungumzo yanaendelea kati ya Kampuni ya Acacia mining ( yenye Assets zinazozalisha nchini Tanzania tu kwa sasa - Buzwagi, Bulyanhulu na North Mara) na kampuni nyengine ya nchini Canada kuhusu Acacia kununuliwa Kwa USD 4.4bn. Mara baada ya amri hiyo mazungumzo yalivunjika na hivyo mauzo kutofanyika.
Iwapo Rais angechelewa kutoa kauli yake Kwa wiki moja tu mazungumzo yale yangepelekea mkataba wa mauzo kusainiwa na hivyo Serikali ingepata 20% ya thamani ya Mauzo Kama kodi ya Ongezeko la Mtaji ( capital gains tax ). Hivyo kauli ya Rais imesababisha hasara Kwa nchi yenye thamani ya USD 880m sawa sawa na shilingi 1.8 trilioni".
Watanzania amkeni huu usingizi wa pono.
BABARI,Wewe ni Lumumba wa Congo eeh!
Unauliza uwepo wa Zitto kwenye hoja za madini,are you ok kweli au ni Zero brain?
Zitto alikuwepo kutafuta maslahi bora ya madini kwa watanzania wakati LUMUMBA ya Tanzania inamtoa nje bungeni.
Ni kama Tundu Lissu alivyotokwa na jasho huko kanda ya ziwa akiteteta wenyeji wa maeneo ya madini na Taifa linufaike,na kwa hoja zilezile tena za sasa ni dhaifu munakuja kumpigia mtu makofi aonekane ni mkombozi wakati Lumumba wenzio walikuwa watokwa na jasho kuzuia mijadala yebye maslahi na "masiah"akiwemo.
Tafuta watoto wenzio wa kuwaambia uchafu wako.
Inategemea unatoa ushauri kama ushauri au unatoa maelekezo, pia ni lazima utumie soft language pale unapoongea na kiongozi wako mkuu, unaweza ukawa na ushauri mzuri lakini ukashindwa kuutoa kwa kuwa na lugha taka.Mwezi Machi 2017 niliwaambia Watanzania kuwa tumepoteza TZS 1.8 trilioni za kodi ya capital gains kwa maamuzi ya papara ya Rais kuhusu mchanga. Nilitukanwa Sana.
Leo tumeishia kupata TZS 640 bilioni ( 1/3 ya tulichokosa ). Mnashangilia Sana.
Nikiwaita Mazwazwa mnasema nawatukana.
Niliandika Machi 2017
" Amri ya Rais kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8trn Capital Gains Tax
Jana nilipokuwa natoa mada kuhusu miaka 50 ya Azimio la Arusha niliongelea pia suala la umakini wa viongozi katika kauli zao. Kwamba Kiongozi lazima ujue unatoa kauli gani wakati gani. Niliwaeleza wanachama na wageni wengjne katika mkutano wa ACT Wazalendo kuwa Amri ya kiholela aliyoitoa Rais John Magufuli kuzuia usafirishaji wa Mchanga wa Dhahabu imepelekea nchi yetu kupoteza USD 880m Kama kodi ya ongezeko la Mtaji kutokana na mauzo ya Acacia Mining.
Hivi sasa nchini kwetu kuna sheria ya kutoza 20% ya thamani ya mauzo iwapo kampuni zinauziana hisa. Tozo inayotozwa inaitwa Capital Gains Tax. Kodi hii mpya ilitungwa mwaka 2012 ili kukabili wawekezaji waliokuwa wanauziana makampuni juu Kwa juu bila Tanzania kupata lolote. Tanzania imeshafaidika na kodi hiyo Kwa mauzo mbali mbali ambayo yamekwisha fanyika kwenye sekta mbalimbali.
Wakati Rais anatoa AMRI kuhusu Mchanga wa madini kusafirishwa kwenye nje ya nchi kulikuwa na mazungumzo yanaendelea kati ya Kampuni ya Acacia mining ( yenye Assets zinazozalisha nchini Tanzania tu kwa sasa - Buzwagi, Bulyanhulu na North Mara) na kampuni nyengine ya nchini Canada kuhusu Acacia kununuliwa Kwa USD 4.4bn. Mara baada ya amri hiyo mazungumzo yalivunjika na hivyo mauzo kutofanyika.
Iwapo Rais angechelewa kutoa kauli yake Kwa wiki moja tu mazungumzo yale yangepelekea mkataba wa mauzo kusainiwa na hivyo Serikali ingepata 20% ya thamani ya Mauzo Kama kodi ya Ongezeko la Mtaji ( capital gains tax ). Hivyo kauli ya Rais imesababisha hasara Kwa nchi yenye thamani ya USD 880m sawa sawa na shilingi 1.8 trilioni".
Watanzania amkeni huu usingizi wa pono.
Kwahiyo mkuu Zitto unamlinganisha na MuroJerry Muro njoo umjibu zitto. acha kumrushi lisu vijembe kwa sababu wewe huna uwezo wa kubishana na lissu.
Maana yangu anamuuliza maswali lisu ilihali lisu anaumwaKwahiyo mkuu Zitto unamlinganisha na Muro