Zitto: Tunapokea bil 640 na tumepoteza tril 1.8 ya capital gain ya makinikia kwa ubabe usio na tija

Mwezi Machi 2017 niliwaambia Watanzania kuwa tumepoteza TZS 1.8 trilioni za kodi ya capital gains kwa maamuzi ya papara ya Rais kuhusu mchanga. Nilitukanwa Sana.

Leo tumeishia kupata TZS 640 bilioni ( 1/3 ya tulichokosa ). Mnashangilia Sana.

Nikiwaita Mazwazwa mnasema nawatukana.

Niliandika Machi 2017

" Amri ya Rais kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8trn Capital Gains Tax

Jana nilipokuwa natoa mada kuhusu miaka 50 ya Azimio la Arusha niliongelea pia suala la umakini wa viongozi katika kauli zao. Kwamba Kiongozi lazima ujue unatoa kauli gani wakati gani. Niliwaeleza wanachama na wageni wengjne katika mkutano wa ACT Wazalendo kuwa Amri ya kiholela aliyoitoa Rais John Magufuli kuzuia usafirishaji wa Mchanga wa Dhahabu imepelekea nchi yetu kupoteza USD 880m Kama kodi ya ongezeko la Mtaji kutokana na mauzo ya Acacia Mining.

Hivi sasa nchini kwetu kuna sheria ya kutoza 20% ya thamani ya mauzo iwapo kampuni zinauziana hisa. Tozo inayotozwa inaitwa Capital Gains Tax. Kodi hii mpya ilitungwa mwaka 2012 ili kukabili wawekezaji waliokuwa wanauziana makampuni juu Kwa juu bila Tanzania kupata lolote. Tanzania imeshafaidika na kodi hiyo Kwa mauzo mbali mbali ambayo yamekwisha fanyika kwenye sekta mbalimbali.

Wakati Rais anatoa AMRI kuhusu Mchanga wa madini kusafirishwa kwenye nje ya nchi kulikuwa na mazungumzo yanaendelea kati ya Kampuni ya Acacia mining ( yenye Assets zinazozalisha nchini Tanzania tu kwa sasa - Buzwagi, Bulyanhulu na North Mara) na kampuni nyengine ya nchini Canada kuhusu Acacia kununuliwa Kwa USD 4.4bn. Mara baada ya amri hiyo mazungumzo yalivunjika na hivyo mauzo kutofanyika.
Iwapo Rais angechelewa kutoa kauli yake Kwa wiki moja tu mazungumzo yale yangepelekea mkataba wa mauzo kusainiwa na hivyo Serikali ingepata 20% ya thamani ya Mauzo Kama kodi ya Ongezeko la Mtaji ( capital gains tax ). Hivyo kauli ya Rais imesababisha hasara Kwa nchi yenye thamani ya USD 880m sawa sawa na shilingi 1.8 trilioni".

Watanzania amkeni huu usingizi wa pono.
Heri kenda shika kuliko kumi nenda rudi,mwacheni magu asongeshe zamu yake akimaliza waje nawengine tuone kama waliopita kabla ya magu.
 
Zitto kitu ambacho hajui ni kwamba Acacia bado inaweza kununuliwa na kampuni nyngne tukapga ndege wanne kwa jiwe moja,tukapa tax gain ya tr 1.8 ,plus bil 700 za sasa ,bado tukawa na 50/50 pamoja na 16%,Magu piga kazi baba tuko nyuma yako
Kitu ambacho sijamwelewa Zito ni kwamba hiyo capital gain tax ni pato sustainable au ni once baada tu ya kuuziana kampuni. Kama ni once naona ni busara kumpongeza JPM kwa sababu anachopigania ni mazingira ya mapato endelevu badala ya hii kupigwa na haya makapuni ya kigeni. Whats is capital gain tax payable just once? Wasipouziana tuendelee kupigwa? Bila kuweka haya makubaliano mapya anayotafuta JPM hata tungepata kwanza hiyo capital gain tax, still mnunuzi mpya angeendelea kutupiga kwa sababu atarithi mkataba ule ule wa Acacia wa kinyonyaji.
 
Hatuna rais bali mkurupukaji asiyetaka ushauri
Angeachia mchanga huku mazungumzo yakiendelea ila kama kweli tumepoteza hizo trilioni 1.8 kwa kuzuia makinikia then tukapata bilioni 700 tu ni zaidi ya upuuzi na phd zetu ni feki kabisa

Hii kweli Tanzania ya viwondor
Phd ya korosho hahahah baada ya diploma ya ualimu pale sengerema sekondari
 
Zitto kitu ambacho hajui ni kwamba Acacia bado inaweza kununuliwa na kampuni nyngne tukapga ndege wanne kwa jiwe moja,tukapa tax gain ya tr 1.8 ,plus bil 700 za sasa ,bado tukawa na 50/50 pamoja na 16%,Magu piga kazi baba tuko nyuma yako
Aisee! Real?
 
Zitto usituone sisi mazwazwa sasa kam hizo hela zingepatikana si zingeenda mfukoni mwa watu? Bora tukose ila tupate tukiwa tunajua
Mbona wkt wa nyuma hamkutuambia chochote kuhusu makinikia sasa hv ndio mnajifanya midomo juu kutaka kutuona tunapoteza hela kama unaona inakuuma sana subiri ukiwa raisi ndio useme hayo
 
Mwezi Machi 2017 niliwaambia Watanzania kuwa tumepoteza TZS 1.8 trilioni za kodi ya capital gains kwa maamuzi ya papara ya Rais kuhusu mchanga. Nilitukanwa Sana.

Leo tumeishia kupata TZS 640 bilioni ( 1/3 ya tulichokosa ). Mnashangilia Sana.

Nikiwaita Mazwazwa mnasema nawatukana.

Niliandika Machi 2017

" Amri ya Rais kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8trn Capital Gains Tax

Jana nilipokuwa natoa mada kuhusu miaka 50 ya Azimio la Arusha niliongelea pia suala la umakini wa viongozi katika kauli zao. Kwamba Kiongozi lazima ujue unatoa kauli gani wakati gani. Niliwaeleza wanachama na wageni wengjne katika mkutano wa ACT Wazalendo kuwa Amri ya kiholela aliyoitoa Rais John Magufuli kuzuia usafirishaji wa Mchanga wa Dhahabu imepelekea nchi yetu kupoteza USD 880m Kama kodi ya ongezeko la Mtaji kutokana na mauzo ya Acacia Mining.

Hivi sasa nchini kwetu kuna sheria ya kutoza 20% ya thamani ya mauzo iwapo kampuni zinauziana hisa. Tozo inayotozwa inaitwa Capital Gains Tax. Kodi hii mpya ilitungwa mwaka 2012 ili kukabili wawekezaji waliokuwa wanauziana makampuni juu Kwa juu bila Tanzania kupata lolote. Tanzania imeshafaidika na kodi hiyo Kwa mauzo mbali mbali ambayo yamekwisha fanyika kwenye sekta mbalimbali.

Wakati Rais anatoa AMRI kuhusu Mchanga wa madini kusafirishwa kwenye nje ya nchi kulikuwa na mazungumzo yanaendelea kati ya Kampuni ya Acacia mining ( yenye Assets zinazozalisha nchini Tanzania tu kwa sasa - Buzwagi, Bulyanhulu na North Mara) na kampuni nyengine ya nchini Canada kuhusu Acacia kununuliwa Kwa USD 4.4bn. Mara baada ya amri hiyo mazungumzo yalivunjika na hivyo mauzo kutofanyika.
Iwapo Rais angechelewa kutoa kauli yake Kwa wiki moja tu mazungumzo yale yangepelekea mkataba wa mauzo kusainiwa na hivyo Serikali ingepata 20% ya thamani ya Mauzo Kama kodi ya Ongezeko la Mtaji ( capital gains tax ). Hivyo kauli ya Rais imesababisha hasara Kwa nchi yenye thamani ya USD 880m sawa sawa na shilingi 1.8 trilioni".

Watanzania amkeni huu usingizi wa pono.
Jerry Muro njoo umjibu zitto. acha kumrushi lisu vijembe kwa sababu wewe huna uwezo wa kubishana na lissu.
 
Zitto usituone sisi mazwazwa sasa kam hizo hela zingepatikana si zingeenda mfukoni mwa watu? Bora tukose ila tupate tukiwa tunajua
Mbona wkt wa nyuma hamkutuambia chochote kuhusu makinikia sasa hv ndio mnajifanya midomo juu kutaka kutuona tunapoteza hela kama unaona inakuuma sana subiri ukiwa raisi ndio useme hayo
una uhakika hizi zitaingia mifukoni mwako?
 
Zitto tatizo unaendeshwa na matukio, ifike wakati muweke wazi hoja zenu,
Je, rais alikosea kuzuia makinikia?
Je, Rais alikosea kuunda kamati za uchunguzi wa mchanga na madini?
Wewe kama zito ungefanyaje ili Tanzania inufaike na madini yake?
# upinzani wa kijinga sana huu
Si ndio hapo
Huyu zitto anajifanya haoni kumbe anaona
 
Kitu ambacho sijamwelewa Zito ni kwamba hiyo capital gain tax ni pato sustainable au ni once baada tu ya kuuziana kampuni. Kama ni once naona ni busara kumpongeza JPM kwa sababu anachopigania ni mazingira ya mapato endelevu badala ya hii kupigwa na haya makapuni ya kigeni. Whats is capital gain tax payable just once? Wasipouziana tuendelee kupigwa? Bila kuweka haya makubaliano mapya anayotafuta JPM hata tungepata kwanza hiyo capital gain tax, still mnunuzi mpya angeendelea kutupiga kwa sababu atarithi mkataba ule ule wa Acacia wa kinyonyaji.
hata hili hakuona,ni bora niwe napata mia tano kila mwezi kuliko elfu 5 ya mara moja
 
Hii ni dhana,na vipi isipotokea hali uliyoieleza,kwanini tusione tumepoteza sasa kwakuwa tumeshazikosa wazi kabisa.
Bado la makinikia lingeamshwa baada ya mauziano na resolution ingekuwa kama ilivyo leo,kwa hizo 700bn+50/50+16%.
Hata hiyo ya kusema ACCACIA ilitaka kununuliwa ilikuwa dhana tu sababu haikufikia hatima yakE!!!
 
Mazungumzo yalikuwepo na watu wasingeacha kazi zao na kukaa vikao vya jambo lisilokuwepo au kuwezekana.
 
Mwezi Machi 2017 niliwaambia Watanzania kuwa tumepoteza TZS 1.8 trilioni za kodi ya capital gains kwa maamuzi ya papara ya Rais kuhusu mchanga. Nilitukanwa Sana.

Leo tumeishia kupata TZS 640 bilioni ( 1/3 ya tulichokosa ). Mnashangilia Sana.

Nikiwaita Mazwazwa mnasema nawatukana.

Niliandika Machi 2017

" Amri ya Rais kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8trn Capital Gains Tax

Jana nilipokuwa natoa mada kuhusu miaka 50 ya Azimio la Arusha niliongelea pia suala la umakini wa viongozi katika kauli zao. Kwamba Kiongozi lazima ujue unatoa kauli gani wakati gani. Niliwaeleza wanachama na wageni wengjne katika mkutano wa ACT Wazalendo kuwa Amri ya kiholela aliyoitoa Rais John Magufuli kuzuia usafirishaji wa Mchanga wa Dhahabu imepelekea nchi yetu kupoteza USD 880m Kama kodi ya ongezeko la Mtaji kutokana na mauzo ya Acacia Mining.

Hivi sasa nchini kwetu kuna sheria ya kutoza 20% ya thamani ya mauzo iwapo kampuni zinauziana hisa. Tozo inayotozwa inaitwa Capital Gains Tax. Kodi hii mpya ilitungwa mwaka 2012 ili kukabili wawekezaji waliokuwa wanauziana makampuni juu Kwa juu bila Tanzania kupata lolote. Tanzania imeshafaidika na kodi hiyo Kwa mauzo mbali mbali ambayo yamekwisha fanyika kwenye sekta mbalimbali.

Wakati Rais anatoa AMRI kuhusu Mchanga wa madini kusafirishwa kwenye nje ya nchi kulikuwa na mazungumzo yanaendelea kati ya Kampuni ya Acacia mining ( yenye Assets zinazozalisha nchini Tanzania tu kwa sasa - Buzwagi, Bulyanhulu na North Mara) na kampuni nyengine ya nchini Canada kuhusu Acacia kununuliwa Kwa USD 4.4bn. Mara baada ya amri hiyo mazungumzo yalivunjika na hivyo mauzo kutofanyika.
Iwapo Rais angechelewa kutoa kauli yake Kwa wiki moja tu mazungumzo yale yangepelekea mkataba wa mauzo kusainiwa na hivyo Serikali ingepata 20% ya thamani ya Mauzo Kama kodi ya Ongezeko la Mtaji ( capital gains tax ). Hivyo kauli ya Rais imesababisha hasara Kwa nchi yenye thamani ya USD 880m sawa sawa na shilingi 1.8 trilioni".

Watanzania amkeni huu usingizi wa pono.
zitto hayo yaliyorekebishwa unaona hayana tija? wanachama wataendelea kukukimbia mwisho wa siku na wewe utakimbia chama sijui utaenda wapi,hakuna marekebisho yasiyokuwa na tatizo lazima maumivu yawepo ilikuweka mambo sawa,
 
Mwezi Machi 2017 niliwaambia Watanzania kuwa tumepoteza TZS 1.8 trilioni za kodi ya capital gains kwa maamuzi ya papara ya Rais kuhusu mchanga. Nilitukanwa Sana.

Leo tumeishia kupata TZS 640 bilioni ( 1/3 ya tulichokosa ). Mnashangilia Sana.

Nikiwaita Mazwazwa mnasema nawatukana.

Niliandika Machi 2017

" Amri ya Rais kuhusu 'Mchanga wa Dhahabu' imepotezea nchi Tshs 1.8trn Capital Gains Tax

Jana nilipokuwa natoa mada kuhusu miaka 50 ya Azimio la Arusha niliongelea pia suala la umakini wa viongozi katika kauli zao. Kwamba Kiongozi lazima ujue unatoa kauli gani wakati gani. Niliwaeleza wanachama na wageni wengjne katika mkutano wa ACT Wazalendo kuwa Amri ya kiholela aliyoitoa Rais John Magufuli kuzuia usafirishaji wa Mchanga wa Dhahabu imepelekea nchi yetu kupoteza USD 880m Kama kodi ya ongezeko la Mtaji kutokana na mauzo ya Acacia Mining.

Hivi sasa nchini kwetu kuna sheria ya kutoza 20% ya thamani ya mauzo iwapo kampuni zinauziana hisa. Tozo inayotozwa inaitwa Capital Gains Tax. Kodi hii mpya ilitungwa mwaka 2012 ili kukabili wawekezaji waliokuwa wanauziana makampuni juu Kwa juu bila Tanzania kupata lolote. Tanzania imeshafaidika na kodi hiyo Kwa mauzo mbali mbali ambayo yamekwisha fanyika kwenye sekta mbalimbali.

Wakati Rais anatoa AMRI kuhusu Mchanga wa madini kusafirishwa kwenye nje ya nchi kulikuwa na mazungumzo yanaendelea kati ya Kampuni ya Acacia mining ( yenye Assets zinazozalisha nchini Tanzania tu kwa sasa - Buzwagi, Bulyanhulu na North Mara) na kampuni nyengine ya nchini Canada kuhusu Acacia kununuliwa Kwa USD 4.4bn. Mara baada ya amri hiyo mazungumzo yalivunjika na hivyo mauzo kutofanyika.
Iwapo Rais angechelewa kutoa kauli yake Kwa wiki moja tu mazungumzo yale yangepelekea mkataba wa mauzo kusainiwa na hivyo Serikali ingepata 20% ya thamani ya Mauzo Kama kodi ya Ongezeko la Mtaji ( capital gains tax ). Hivyo kauli ya Rais imesababisha hasara Kwa nchi yenye thamani ya USD 880m sawa sawa na shilingi 1.8 trilioni".

Watanzania amkeni huu usingizi wa pono.
Sijui kama mwandishi wa makala hii anautaalamu wa tax planning na mambo ya ki sheria. Kimsingi kama tumekosa capital gain tax ni wazi hiyo kodi tutaipata via corporate tax na kodi zinginezo. Kwani huyo aliyekuwa anunue kwa bei hiyo na kukatwa kodi kwa mwingine , ni wazi baada ya kufanya biashara hiyo au uchimbaji huo wa dhahabu na mengineyo ange rudisha hiyo pesa na kupata faida. La sivyo aliye andika makala hii aseme kwamba huyo aliyetaka kununua hatapata faida, hivyo salama yetu ndio hiyo ya kuchukua capital gain tax .
Pili kuna suala la kisheria na mambo mengine kama huyo mnunuzi angenunua , halfu serekali ikazuia usafirishaji wa makanikia, kwani ktk kununua kwake kwa bei hiyo, ni wazi atakuwa amelipia na kuchukua hayo makenikia ambayo yana madini mengine ambayo sasa yatakuwa yana baki tz na sisi tutayauza kwa wakati wetu na kuipata hiyo fedha kwa njia mbadala. Na kama haikuwa hivyo milango ipo wazi wanaweza kuja kununua huo mgodi toka kwa accacia/barrick nk nasi tukapata hiyo capital gain tax lakini watakacho chukua ni gold, silver and Cooper.
La sivyo mwandishi alitaka tudanganyike na hiyo capital gain tax halfu tuingie kwenye mgogoro mkubwa zaidi na huyu mwekezaji mpya na hayo mambo ya miga, loss of earning etc wakati huo accacia/barrick wameisha chukua chao mapema na wale wenzetu waliokuwa wanafaidi ktk mikataba hii mibovu wanachekelea kwa mbali, na inawezekana huyu mtu ni miongoni mwao, kwani ilie kamati ya madini ilimfungua saana macho kuhusiana na hii biashara ya madini , mpaka takrima ilipelekwa kwenye jimbo lake wakati kule migodi ilipo halmashauri husika hawapati stahili zao.
 
zitto chama kimemshinda kimepoteza mwelekeo ajiulize kama viongozi wanamkimbia je mwanachama wa kawaida atakuwa naye??????
 
What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish hapa lissu alikuwa sahihi kabisa.

Halafu kuna watu wanashangilia wakat jamaa wapo clear kabisa kwamba yote yatafanyika hadi bodi ikubali wakienda huko london sasa hapo tunategemea huruma ya bodi wakikataa ngoma inaanza upya mana jamaa walikataa madai yote ya kodi basi kwa hisani na huruma wametuachia kishika uchumba kwa miaka yote waliovuna hapa kwetu.
 
Usisahau pia kuwa hata hasara tutakuwa tunagawana nusu kwa nusu, hiyo ndiyo kanuni ya ubia! Mnagawana sawa faida na hasara pia endapo itatokea! Sasa makampuni ya madini hayana historia ya kuzalisha faida tangu yaanze ndiyo maana hayajawahi kulipa kodi itokanayo na faida kwa mujibu wa ripoti za CAG; ila makampuni haya yana historia ya kudai kupata hasara kila mwaka! Tusije tukaingia kichwa kichwa kwa kutarajia kugawana faida halafu tukakaribishwa kwenye ubia kwa kugawana hasara!
Kwa akili yako unaamn haya makampun hayajawah pata faida?
 
What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish hapa lissu alikuwa sahihi kabisa.

Halafu kuna watu wanashangilia wakat jamaa wapo clear kabisa kwamba yote yatafanyika hadi bodi ikubali wakienda huko london sasa hapo tunategemea huruma ya bodi wakikataa ngoma inaanza upya mana jamaa walikataa madai yote ya kodi basi kwa hisani na huruma wametuachia kishika uchumba kwa miaka yote waliovuna hapa kwetu.

,,Wametupiga“ wewe na nani? Wewe siyo wetu, kwenda huko!
 
Back
Top Bottom