Tang Zhou
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 1,206
- 2,589
Yan kutoka November 5, 2015 hadi leo July 23, 2018 bado unajiuliza swali hili? Watz mna akili nzito sana yan, ndo maana Jiwe anawachezea tu anavyotakaKama Rais anadanganya, lengo lake ni kumdanganya nani??
Zitto ameuliza, kama ni gawio(dividends), TCRA, EWURA, TANROADS na SUMATRA for instance wanafanya BIASHARA gani tujue? So Jiwe is a masterful LIAR, intellectually inept!Nani mkweli katika hili, ni Zitto au Jiwe