Zitto: Tunapata maduhuli na si "gawio"

Zitto: Tunapata maduhuli na si "gawio"

Kwani TCRA nao wametoa?,
Sio kwamba waliotoa ni mashirika kama crdb,nmb,Tamwa,reli,tanesco etc
Tcra wametoa nao, tena wamevuka malengo kwa maelezo yao. Wakala wa vipimo, TAA, TIPA, etc yaani taasisi na kampuni zote ambazo serikali ina hisa, ziwe kidogo au nyingi.
Sijawasikia UDA wakitoa gawio. Tanesco hawajatoa. Wajitathmini.
 
Zitto ungekaa kimya pia ingependeza sanaa. Si kila jambo ulitolee tamko ni hekima na busara siku zote unapokuwa umenyamaza kuliko unapokuwa unazungumza.

Nawaombeni enyi mnaojiita wanasiasa kujitafakari wakati mwengine kwa michango yenu kama inaumuhimu wowote kwa maendeleo ya taifa au la.

Hivi mtu akiita gawiwo au mchango au pato au duhuli na akalitoa kwa mwenye hisa unapungukiwa na nini ukinyamaza kimya bila ya wewe usiye na kiasi hicho kuchangia kwa jamii?

Tuwe wastaarabu wakati mwengine badala ya kuwa washenzi na wenye kukosa adabu kwa matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.

Nimuulize zito na mnaomuunga mkono maelezo yake hapo juu yamesaidia nini kwa taifa ukilinganisha na shughuli iliyofanyika leo? Je tule maneno au fedha zilizochangiwa leo?
 
Tuwe wastaarabu wakati mwengine badala ya kuwa washenzi na wenye kukosa adabu kwa matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa hili.

Nimuulize zito na mnaomuunga mkono maelezo yake hapo juu yamesaidia nini kwa taifa ukilinganisha na shughuli iliyofanyika leo? Je tule maneno au fedha zilizochangiwa leo?
Kaeleza upotoshaji uliokuwa unanywa kisiasa.
 
Tcra wametoa nao, tena wamevuka malengo kwa maelezo yao. Wakala wa vipimo, TAA, TIPA, etc yaani taasisi na kampuni zote ambazo serikali ina hisa, ziwe kidogo au nyingi.
Sijawasikia UDA wakitoa gawio. Tanesco hawajatoa. Wajitathmini.
Inabidi UDA ichunguzwe,kwanini hawataki kutoa hela...
 
Sasa mnatuchanganya, mara Maduhuli au Gwio, mara mapato ghafi au Divident kweni sheria inasemaje? ..hatari niliyoiona mara moja ni kwamba Sumatra mwenzao katoa vipi Tanroad asippotoa mwakani anafungiwa? yaani mihela yote ile kwenye mzani yeye anatia ndani? na akifungiwa yeye kweli Muhimbili naye aataachwa kwani kutoa maiti kwa mwezi inatosha kulipa gawio la mwaka mzima, Narco je kila siku wanauza nyama na ngombe etc, nafikiri ktk zile options zilizotolewa wakuu wa mashirika na Bodi zao wasiotaka kutoa wajiandae kabla ya mwakani kwani hawana salama kulingana na maneno mkuu aliyosema..kwamba kwenye pesa ya vikao wanalipana lakini hata kusema tuungeunge angalau tupeleke gawio kidogo hamna? (alisisitiza hapooo) nikahisi anataka kuwatumbua hapohapo lkn bahati yao kawaacha waende kuaga kabisaaa
 
Kwani mwanzoni walikuwa hawatoi hayo madhuhuli? Msitafute sifa hapa.
 
Sasa kama siyo gawio bali ni maduhuli kwanini ofisi ya Rais imeruhusu hili kufanyika tena kwa mbwembwe nyingi mno? Nani mkweli katika hili, ni Zitto au Rais?

Kama Rais anadanganya, lengo lake ni kumdanganya nani?? Na kama Zitto hayuko sahihi lengo lake ni nini?? Mimi nafikiri tunahitaji ufafanuzi wa kina kuhusu hili jambo.

Cc. Pascal Mayalla
Wakudanganywa ni watz ambao 90% uelewa wao ni mdogo. Kwani zile movie za makinikia ziliishia wapi?
 
Kweli ujinga wetu wananchi tumegeuzwa mtaji kwa wanasiasa. Nani mkweli hapa kati ya ZZK na JPM? Maana kwa masikio na macho yangu nimemsikia rais MAGUFULI akitoa mf. TAZAMA hawajawahi kutoa hiyo faida hata mwaka mmoja na leo wamejikongoja kwa 600 ml huku TCRA, TANAPA na NCCA wakiwa vinara wa hizo faida kama mashirika ya umma.
 
Tunaomba ushahidi haya mashirika yamekuwa yakitoa gawio au maduhuri sijui,tangu hiyo sheria itungwe
 
="MJIMPYA, post: 27690127, member: 40254"] Zitto hoja huna tena.[/QUOTE]

Akili yako inafanana na avatar yako..
 
JIWE PIGA KAZI NIMEIFUATILIA HOTUBA YOTE HUYU MPOTOSHAJI TU MASHIRIKA YALITEGWA VZRI KABISA NA MPANGO KUNA YANAYOTOA MADUHURI KWA SABABU YANAFANYA HUDUMA NA YANAYOTOA GAWIO KWASABABU YANAFANYA BIASHARA NA JIWE KASEMA KUNAMAKAMPUNI TANGU KIPINDI CHA NYERERE HAYAJAWAHI KUTOA ILA YAMETOA KWA MARA YA KWANZA KWA AWAMU HII PIA KAAGIZA KWA MSAJIRI WA HAZNA KAMA KUNA MASHIRIKA AMBAYO HAYATOI GAWIO KWA SERIKALI BODI ZAKE ZIVUNJWE AMA YAFUGWE YEYE HAANGALII SHIRIKA ANAANGALIA PESA KAMPUNI AMBALO HALICHANJII HALINA MAANA YEYOTE KWAKE NI BORA LISIWEPO ZITTO THIS IS CHEAP BWANA TAFUTA HOJA KUNTUU NA HII YA KUSUBIRI JIWE AFANYE KITU NDOYO MPATE CHA KUONGEA KUNA SIKU ATABAHATISHA MRADI NA UKAFANYA VIZURI ATA KUPROVE WRONG WATU WAKUONE KILA UNACHOONGEAGA NI CHA UWONGO HADI HAO WANAOKUSUPPORT WAKUGEUKE NA JIWE AONEKANE MNAMSINGIZIAGA TU PILI MKUMBUKE KUTOA CREDIT KWANI JIWE SI KILA KITU ANAKIKOSEA KILA KUKICHA KUPINGA TU ASEE MIMI KWA LEO JIWE KWENYE %100 NIMEMPA 48 ZAKE SIO KILA SIKU KUPINGA TUU
 
kuondolewa
Zitto ungekaa kimya pia ingependeza sanaa. Si kila jambo ulitolee tamko ni hekima na busara siku zote unapokuwa umenyamaza kuliko unapokuwa unazungumza.

Nawaombeni enyi mnaojiita wanasiasa kujitafakari wakati mwengine kwa michango yenu kama inaumuhimu wowote kwa maendeleo ya taifa au la.

Hivi mtu akiita gawiwo au mchango au pato au duhuli na akalitoa kwa mwenye hisa unapungukiwa na nini ukinyamaza kimya bila ya wewe usiye na kiasi hicho kuchangia kwa jamii?

Tuwe wastaarabu wakati mwengine badala ya kuwa washenzi na wenye kukosa adabu kwa matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.

Nimuulize zito na mnaomuunga mkono maelezo yake hapo juu yamesaidia nini kwa taifa ukilinganisha na shughuli iliyofanyika leo? Je tule maneno au fedha zilizochangiwa leo?

Huu ni utetezi wa mtu anayetaka watu wawe wajinga tu. Kwani zitto kutoa ufafanuzi wa hilo jambo Kakosea nini? Kwa mtazamo wako ustaarabu ni kukaa kimya hata kama kuna upotoshaji. Katika mazingira hayo nani ana uhakika hizo figure zinazotajwa kama ni kweli? Kama umezoea kuiongoza familia yako kwa nidhamu ya woga usifundishe wote. Rais afanye yake na wakaosoaji wafanye yao ili tupate ubora wa mambo.
 
Sasa kama siyo gawio bali ni maduhuli kwanini ofisi ya Rais imeruhusu hili kufanyika tena kwa mbwembwe nyingi mno? Nani mkweli katika hili, ni Zitto au Rais?

Kama Rais anadanganya, lengo lake ni kumdanganya nani?? Na kama Zitto hayuko sahihi lengo lake ni nini?? Mimi nafikiri tunahitaji ufafanuzi wa kina kuhusu hili jambo.

Cc. Pascal Mayalla
Lengo lakuwadanganya ili wajinga waendelee kumshangilia
 
Kama ningekuwa rais zitto ningempa nafasi fulani asaidie kuyafanya mawazo yako mengi mazuri ktk utendaji. Zitto why are you always appear to be right? Simaanishi ktk hili tu. Mara nyingi huwa ni kama mtoa mawazo mbadala.
Je hutumiki vizuri ktk bunge na serikali? Hizi gvt organs huwa hawakutani na interest groups kupata insights zao au huwa unasubiri wakosee au unajua lazima watakosea mahali then uwakosoe?
Naamini anazitoa huko lkn zinapewa Support gani kwenye Bunge la Ndio
 
Zitto ungekaa kimya pia ingependeza sanaa. Si kila jambo ulitolee tamko ni hekima na busara siku zote unapokuwa umenyamaza kuliko unapokuwa unazungumza.

Nawaombeni enyi mnaojiita wanasiasa kujitafakari wakati mwengine kwa michango yenu kama inaumuhimu wowote kwa maendeleo ya taifa au la.

Hivi mtu akiita gawiwo au mchango au pato au duhuli na akalitoa kwa mwenye hisa unapungukiwa na nini ukinyamaza kimya bila ya wewe usiye na kiasi hicho kuchangia kwa jamii?

Tuwe wastaarabu wakati mwengine badala ya kuwa washenzi na wenye kukosa adabu kwa matamko yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.

Nimuulize zito na mnaomuunga mkono maelezo yake hapo juu yamesaidia nini kwa taifa ukilinganisha na shughuli iliyofanyika leo? Je tule maneno au fedha zilizochangiwa leo?

Povu za namna hii inadhihirisha wazi kwamba Uongo uliotakiwa usijulikane umeshajulikana so kinachofanyika nikumnanga zitto kazi mnayo!
 
Back
Top Bottom