Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

Kwa hiyo wewe mtangazaji wa Azam unakubali kabisa kuwa Rais na watendaji wake wote na CCM yote ni washamba na unakubaliana na Zitto? Kwanini usemi kwenye kipindi chako cha jioni? Wewe ndio sio mshamba? Wewe kwa hiyo una ujanja gani na chadema wenzio?....


MBONA UMEPANIC MKUU
 
nch ina tatzo kubwa sana hii, itahtaj miaka 100 kwa baadh ya wat kuwa na mawazo na hoja zenye tija, we n hasara kwa taifa na familia yako pia
Wewe unaona hii siyo hoja? Wapinzani wanapaswa kuwa kama Zitto, mnaweza kufikiri Zitto anajikomba kumbe ndivyo siasa inatakiwa kuendeshwa, roho mbaya ya Lissu, angeumia Zitto kweli angemsogelea?
 
ZITTO ATAFUTIWE ULINZI BINAFSI...I REPEAT,ZITTO AWEKEWE ULINZI.La sivyo we both know the outcome.
Nani amtafutie ulinzi binafsi? Chama chake au serikali? Kama ni serikali tayari ameshaitusi, sasa unategemea nini hapo? Tumia busara.
 
View attachment 592437

Ameandika haya dakika chache zilizopita katika mtandao wa Facebook.

"
Maneno ya Zitto:

Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na malimbukeni. ' wajanja ' wanalamba miguu ya washamba ili kuishi tu. Werevu wananyamazishwa, wanaitwa si Wazalendo. Wanapangiwa mauaji. Nchi imewashinda. Anguko kubwa la uchumi laja sababu ya maamuzi ya kishamba na kukosa maarifa. Hata hivyo watabaki werevu kadhaa na watarejesha nchi yetu kwenye mstari."

Aisee watu wamekasirika sana. Sijui kinachofata ni nini
Kwa maneno haya ZZK amefikia kikomo cha uvumilivu,amejitoa mhanga na sidhani kama anawazia tena kuhusu mke,watoto na marafiki (totally disconnected).Amefikia hatua ya mwisho ya uvumilivu na naamini hata ndani ya kamati hakuna kitu positive watapata.
Ni hasira ambyo haiogopi bunduki wala kingine.
ZZK,tulia,yatapita na watapita!!!
 
Zitto ni mnafiki na ataendelea kuwa mnafiki na hii ni sinema ya kumsafisha kunguni ili tuishinae kama ndugu katika vitanda vyetu ...

Zitto atabaki kuwa kunguni tu na hii ni sinema makhsusi ili kumsafisha kunguni huyu aweze kuishi na sisi huku tukimuamini ... bado ni kunguni tu ...
 
Umewahi sana, au ndio upo so desperate, kwenda nairobi, kutengeneza matukio hakuna anayejali? Sasa hasira na chadema ya nini?Kwani ndio walikupa kazi ya usaliti na kudandia matukio ili uyapotoshe. Unaishi km ndege asiye na nyumba.Mtu usio na mizizi ardhini. Lazima kila upepo ukuosogeze.Umeona nini nairobi?
Zitto amewavua nguo hususan Lissu ambaye alifikiri kumuondoa Zitto chadema yeye angekuwa Mwenyekiti. Chadema ina wengewe na wenyewe wako kaskazini
 
Back
Top Bottom