Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

Zito anaongea kinyume, yeye ndie mshamba na mlimbukeni. Alifuata nini benki ya dunia? Hawakumsikiliza kwa unoko wake
 
Napendekeza zitto apewe cheo cha unabii...haya hata mie nilikuwa nikiyawaza kitambo sana...malimbukeni na washamba walugaluga wamandavaku watu pori wanapopewa nchi kuongoza kwakweli ni shida na aibu kwa werevu.
No wonder nyerere knew this too and he forbid these intolerable guys from stepping into the throne.
MUNGU BABA NAOMBA UHAI NA AFYA NJEMA NIJIONEE YA HAWA WAJA...2020 KAMA MBALI SANA BUT I WILL HOLD ON STRONGLY AND BRAVELY.
@mkojo wa bhange leo ndo cku yenyewe are u alive?
 
ZZK wakati wenzie wanampinga Magu miaka ya mwanzoni ye alikuwa anakenua meno tu na kuwakejeli wenzie baada ya mambo yake kwenda ovyo ndio akaanza kuwa against Magu
 
View attachment 592437

Ameandika haya dakika chache zilizopita katika mtandao wa Facebook.

Maneno ya Zitto:

"Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na malimbukeni. 'Wajanja' wanalamba miguu ya washamba ili kuishi tu. Werevu wananyamazishwa, wanaitwa si Wazalendo. Wanapangiwa mauaji. Nchi imewashinda. Anguko kubwa la uchumi laja sababu ya maamuzi ya kishamba na kukosa maarifa. Hata hivyo watabaki werevu kadhaa na watarejesha nchi yetu kwenye mstari"

Aisee watu wamekasirika sana. Sijui kinachofata ni nini
Hao wachache watakaorudisha nchi kwenye mstari ndio hawa akina Bi. Vasco?
 
Back
Top Bottom