Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

View attachment 592437

Ameandika haya dakika chache zilizopita katika mtandao wa Facebook.

"
Maneno ya Zitto:

Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na malimbukeni. ' wajanja ' wanalamba miguu ya washamba ili kuishi tu. Werevu wananyamazishwa, wanaitwa si Wazalendo. Wanapangiwa mauaji. Nchi imewashinda. Anguko kubwa la uchumi laja sababu ya maamuzi ya kishamba na kukosa maarifa. Hata hivyo watabaki werevu kadhaa na watarejesha nchi yetu kwenye mstari."

Aisee watu wamekasirika sana. Sijui kinachofata ni nini
Mshamba ni ww wewe unamaarifa gani yakuiongoza nchi zaidi yakupinga kila kitu na ujue ulikuwa kwenye kamati ya madini ulienda buzwagi hukuonesha madudu yaliyokuwa yanafanyika Leo hii unaiponda serikali Kwa lipi tulia dawa ikuingie acha serikali ifanye kazi cc huku tunaona pouwa tu kwasababu hatukuzoea vya kunyonga ,kama ulikuwa unapata madili c kipindi hiki na kudhihilisha HVO hata chama ulichokianzisha na washirika wako wengi wamekikimbia baada yakuona hakina Tija kwenye taifa kipo Kwa ajili ya masilahi binafsi ,na nukuu mama Anna mwighulwa alisema HV upinzani niwakupinga kila kitu hata kama ni swala la maendeleo ,utaisoma namba utazdi kukimbiwa na wanachama wameshaona umebeki unalalama kwenye mitandao tu
 
View attachment 592437

Ameandika haya dakika chache zilizopita katika mtandao wa Facebook.

"
Maneno ya Zitto:

Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na malimbukeni. ' wajanja ' wanalamba miguu ya washamba ili kuishi tu. Werevu wananyamazishwa, wanaitwa si Wazalendo. Wanapangiwa mauaji. Nchi imewashinda. Anguko kubwa la uchumi laja sababu ya maamuzi ya kishamba na kukosa maarifa. Hata hivyo watabaki werevu kadhaa na watarejesha nchi yetu kwenye mstari."

Aisee watu wamekasirika sana. Sijui kinachofata ni nini
Yeye mwenyewe limbukeni!
 
Zito kaliamsha dude leo kila mtaa wa social media ninakopita ushamba na ulimbukeni ndo habari ya kijiweni.
Angalizo:Ukimuua Lissu mmoja watatokea Lissu wengine makumi kwa mamia!
 
100% Correct !

Huu ni ukweli mchungu!
Kwa hiyo wewe mtangazaji wa Azam unakubali kabisa kuwa Rais na watendaji wake wote na CCM yote ni washamba na unakubaliana na Zitto? Kwanini usemi kwenye kipindi chako cha jioni? Wewe ndio sio mshamba? Wewe kwa hiyo una ujanja gani na chadema wenzio?....
 
Ujumbe uwafikie

@kabombe,Phillipo Bukililo ,@lizaboni,Wakudadavuwa ,Ruttashobolwa ,na kundi lote la washamba na malimbukeni
Washamba nyinyi mnaopapatikia wenye pesa, kama wale dada poa ambao wakisikia mlio wa honi ya gari wanalikimbilia, kumbe mwenye gari anampigia mbwa ili avuke upesi.

Yule ambao kaka TL alikuwa anamkejeli wakati akiwa na cheo kikubwa serikalini ndio ambaye baadae akawa anaamka asubuhi na mapema kwenda kumpelekea reports za maendeleo ya kampeni!!.

Nyinyi sio tu kwamba ni washamba na malimbukeni bali mnayo bei, ambayo mzee wa Monduli aliiona na akaamua kuwanunueni jumla jumla.
 
Wasukuma wamezoea kuzurura maporini na mifugo,wagogo ni ombaomba maarufu nchini hata kutoa nzi kwenye macho ilibidi wasaidiwe na serikali,jamii za hovyo kabisa na disgrace kwa nchi,sijisikii raha kuitwa mtanzania na hili kundi pia nalo likijiita watanzania
 
Kwa hiyo wewe mtangazaji wa Azam unakubali kabisa kuwa Rais na watendaji wake wote na CCM yote ni washamba na unakubaliana na Zitto? Kwanini usemi kwenye kipindi chako cha jioni? Wewe ndio sio mshamba? Wewe kwa hiyo una ujanja gani na chadema wenzio?....
Ushamba wala ulimbukeni si matusi! Unless ujenge hoja za kujifurahisha..hata hivyo, alicho kisema Zitto ni maoni na mtazamo wake vile vile ni wajibu wake kikatiba kama Mtanzania!

Hayo mengine uliyo yataja wala haya husiani na msimamo na mtazamo wangu binafsi juu ya jambo fulani!

Suala la kunibambika kwamba Mimi ni Chadema nadhani una ushahidi nalo sio? Tulikua wote wakati nachukua kadi eeh? Hata nikiwa PPT maendeleo tatizo ni nini? Si kimesajiliwa kwa mujibu wa sheria?

Jikite kwenye mada naona wazi wazi jitihada zako za ku-tarnish image!

Siku njema!
 
Zeberi, kauli yako, inapingana na mtazamo wa chama chako. Upinzani wa kweli hauko ATC wazalendo kwa sababu wenzio (Mama Mgwira, na Kitila mkumbo) tayari wako pamoja na hao unaowaita washamba na malimbukeni. Hata wewe bado unashirikiana na hao unaowaita washamba. Kama hushirikiani nao, to a tamko la kuwafuta uanachama Mama Mgwira, na Kitila Mkubo, ndipo utakuwa na ubavu wa kuita watu washamba.
 
Wasiwasi wangu ni kwa wale ambao wamekubali kuongozwa na WASHAMBA na MALIMBUKENI!
 
Zitto kwa tactics za siasa anajitahidi sana, anajua anachokifanya! Chama chake bado kichanga na sasa kwa kauli hizi anaanza kurecruit baadhi ya bavicha ktk bandwagon yake. Anachofanya ni kuandika tu kitu wanapenda sikia wanamfuata wote!!
Werevu kamwe hatunasi huu mtego!
Nikweli ila pamoja na hayo, maneno yake yanaendana na ukweli
 
119 Reactions
Reply
Back
Top Bottom