Zitto: Serikali iache kutafuta mchawi, iende Mtwara!

Zitto: Serikali iache kutafuta mchawi, iende Mtwara!

kwa hizi comment ninazozisoma,laiti wana jf wangekutana live,kila mtu akaelezea hoja zake.naona watu wangepigana,tena ngumi sio za kitoto.maana mmh hatari

ki sugar,
watu wajanja kwenye keyboard tu, ukiwapa mic live domo zege...
 
Mtapiga kelele sana mpaka hata calories zenu zitapungua lakini mnatakiwa mfahamu kama kuna convert operations hapa kuhakikisha Mh. Zitto is no more. Kwa waliobarikiwa, huhitaji kuwa Mossad kuliona hili.................call it double standard, character assassination or whatever, watu wako kazini bana.

-You have to give crediti to Mh. Zitto. The guy is dancing their tune in a foolishway.

-No doubt, kama angekuwa hajasimama kwenye ukweli, bila shaka angekuwa ameishasombwa na sunami la mizengwe ya kisiasa.

ONLY IN TANZANIA
 
poa K ukienda Lumumba msalimie Napelile Mwandosya!

wakwenda lumumba mimi or ww,nahs nilizaliwa kwa ajili ya chadema na ntafia chadema,mimi sio chadema ya 2010 kama wewe unaejifanya una uchungu na chama,kumbe mnafki na mchonganishi wa siasa,hujatupata bdo ebu 2jalibu tena bdae@pompo wewe
 
Simbachawene anapomtuhumu zitto ambaye ni naibu katibu mkuu CDM na naibu kiongozi wa upinzani bungeni kutoka CDM then mtu anajenga hoja kuwa ni 'personal' kwa maana nyingine mbowe anapotuhumiwa then inakuwa 'personal Vs chadema' 'A political party is a group people who share the same ideas about the way the country should be governed' and one o the Principles of Leadership is train and work as a team, but most importantly political party leaders speak for their parties, so i think it's wrong for zitto to pretend being attacked personally and now speaking personally, remember at one time zitto said that 'u cant attack zitto and expect CHADEMA to be safe' according to zitto, this means that, an attack to zitto is an attack to CHADEMA and the vice versa is true. sorry this is how i view.
 
Kweli Prezzo anatokea Kigoma, anawaza uchawi uchawi tu! Nani kasema serikali inamtafuta mchawi!? Mbona Zitto mwaka huu 2013 umekuja na iman za kishirikina sana?
Mara hakuna panya atakaebaki, leo tena serikali inasaka mchawi, kumbe we unaamini gasi itakuwa maji. Prezzo Masalia likubwa

Naona umemuamlia ZKK mwaka huu hakuna comment yako inayokiri amefanya vizuri hata moja zaidi ya kutoa shutuma kibao kama vile amekutendea jambo baya maishani mwako,tuambizane ukweli mwenzangu au kakuibia mke nini?
 
anasaka umaarufu tena baada ya kuupoteza, gesi itampandisha umaarufu tena baada ya kuupoteza kupitia pm7
 
Hapo ndipo tunapokosea watanzania. Hii tabia ya kila kitu lazima mwanasiasa azungumze itatuletea matatizo. mimi naamini Ndugu Zitto hata Ohms law hajui ku state, sasa atawezaje kutuambia namna ambavyo gas itazalisha umeme.

Ha ha haaa, eti nae unajiita Great Thinker!. Hizi theories na various laws za Umeme na Physics kwa ujumla, tumesoma nyingi sana, na kwa taarifa yako, maisha siyo kukariri hizo laws/theories. Siasa ndo maisha, upende usipende. Usijiaibishe bure! Usiwe mwepesi hivyo!
 
wakwenda lumumba mimi or ww,nahs nilizaliwa kwa ajili ya chadema na ntafia chadema,mimi sio chadema ya 2010 kama wewe unaejifanya una uchungu na chama,kumbe mnafki na mchonganishi wa siasa,hujatupata bdo ebu 2jalibu tena bdae@pompo wewe

Dah!, hivi nani alileta shule za kata?? na ukichanganya na elimu za dot com (.Com), ni shida tupu!
 
We masalia acha unafiki na kujipendekeza, Zitto kachemka, kama ni kujibu mapigo mbona naibu waziri Simba kaongea zaidi ya week sasa?
Kwa nini Prezzo hakutoa tamko la kujibu mapigo mapema kama ni hilo!
ZZK hakkujua kama kuna KK ya Chama? Kwanini afanye leo na si juzi ama day after Simba's speech!?
Mkuu wanasema kuuliza ni uungwana, kwa faida yako tu ni kwamba Simbachawene kamtuhumu jana na Zitto kajibu leo
 
congratulations zitto zuberi kabwe,
mchango wako una thaminiwa sana na wana kusini,gesi kwanza siasa baadae.
 
Da, JF ya sikuhizi nafikiri tutafute slogan nyingine ku replace "Great thinkers".
Hatujadili mada, tunajadili watu tu. Ndio uwezo wetu huu kweli?
 
Simbachawene anapomtuhumu zitto ambaye ni naibu katibu mkuu CDM na naibu kiongozi wa upinzani bungeni kutoka CDM then mtu anajenga hoja kuwa ni 'personal' kwa maana nyingine mbowe anapotuhumiwa then inakuwa 'personal Vs chadema' 'A political party is a group people who share the same ideas about the way the country should be governed' and one o the Principles of Leadership is train and work as a team, but most importantly political party leaders speak for their parties, so i think it's wrong for zitto to pretend being attacked personally and now speaking personally, remember at one time zitto said that 'u cant attack zitto and expect CHADEMA to be safe' according to zitto, this means that, an attack to zitto is an attack to CHADEMA and the vice versa is true. sorry this is how i view.

:nono::nono: I THINK YOU ARE EXAGURATING MR,,
:nono:
 
Hapo kweli nchi inaungua, haina wa kuizima
 
hujajibu swali
ili uwe kamanda unatakiwa uwe shabiki wa nani? CHAMA ama MTU binafsi? hizi chuki zenu ziishie humu humu JF msizipeleke hata ktk familia zenu,mtaleta vita ndani ya nyumba

Zitto si CHADEMA ndio maana siku hizi ni mbinafsi kwahiyo kuna chama kinachoitwa CHADEMA na chama cha Zitto ndio maana haoni hatari kutoa tamko kivyake.
 
kwa hizi comment ninazozisoma,laiti wana jf wangekutana live,kila mtu akaelezea hoja zake.naona watu wangepigana,tena ngumi sio za kitoto.maana mmh hatari

Au watu wangeweza kupigana kwenzi kupitia screen za vipakatwa au tarakirishi wengi wangesha badili vioo maana vingi vingekuwa na nyufa kwa kupigana. Nilicho gundua wengi hawana uvumilivu wa kumeng'eya hoja na kuibomoa hoja kwa hoja! Ni mihemko kwa kwenda mbele! Lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo ndipo tunapokosea watanzania. Hii tabia ya kila kitu lazima mwanasiasa azungumze itatuletea matatizo. mimi naamini Ndugu Zitto hata Ohms law hajui ku state, sasa atawezaje kutuambia namna ambavyo gas itazalisha umeme.

mkuu inaelekea una chuki binafsi na Zitto

kama mhandisi wa umeme, pia sio mshabiki mkubwa wa zitto ila huwa anajenga hoja kisiana kama anavyotakiwa. kazi yake ni kuhoji, kuikosoa na kuishauri serikali pale inapobidi ... ila ukisoma taarifa yake hakuna sehemu aliposema kujengwe mradi wa umeme mtwara .... yeye amekumbushia ahadi za serikali zimeishia wapi? kama waliahidi mradi mkubwa namna hiyo kwa nini hamna maelezo kuwa kwa nini huo mradi hautekelezwi?.... pia amependekeza kama hakuna ufisdai unaofichwa, huo mkataba wa ujenzi wa hilo bomba la gas uwekwe wazi kwa maslahi ya taifa ..... USANII serikali ya awamu ya nne umezidiiiiiii
 
huyu jamaa wa ohms law kweli kilaza na itakuwa kanywa viroba vya mwigulu na sigara kari ya nape
 
Zitto si CHADEMA ndio maana siku hizi ni mbinafsi kwahiyo kuna chama kinachoitwa CHADEMA na chama cha Zitto ndio maana haoni hatari kutoa tamko kivyake.
una uhakika na unachokisema? ama ndivyo mnavyoaminishwa? moto unaomwunguza mwenzako leo,kesho utatumika kukuunguza wewe,sijui kama unalielewa hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom