Zitto: Serikali iache kutafuta mchawi, iende Mtwara!

mkuu
kuna watu humu wanataka kutufanya watanzania ni wajinga sana,wanataka kutufanya kuwa hatuwezi kusoma na hata picha hatuoni pia.Mh Zitto sio mjinga,anaelewa nini kinaendelea na hawezi kufanya mambo kwa kukurupuka maana anaelewa ipo chuki na upotoshaji unaoendelea,sasa walitaka maneno aliyoyasema Naibu waiziri juu ya Zitto yaende bila kujibiwa na yasubiri kujibiwa na chama,kuna mawili hapa,kuna ya chama na kuna ya mtu binafsi
katajwa Zitto inabidi ajibu yeye kama zitto,kingetajwa CHAMA msemaji wa chama angekisemea chama.huwezi subiri msemaji wa chama aje kumsemea zitto.
Tubadilike,kila mtu atimize wajibu wake
We masalia acha unafiki na kujipendekeza, Zitto kachemka, kama ni kujibu mapigo mbona naibu waziri Simba kaongea zaidi ya week sasa?
Kwa nini Prezzo hakutoa tamko la kujibu mapigo mapema kama ni hilo!
ZZK hakkujua kama kuna KK ya Chama? Kwanini afanye leo na si juzi ama day after Simba's speech!?
 
Mkuu mi nakupongeza sana maana we ni mmojawapo wa wapiganaji uliyeonyesha neutrality ya hali ya juu. Hawa wenzetu wanaojenga siasa za chuki hawalisaidii chama.

uko sahihi kaka maana nlichokigundua humu jf kuna watu wanatengeneza siasa za chuki,na wanajalibu kushawishi wa2 walio na maona ya mbali wawafate,kila m2 ana maono yake hamuwez kutupeleka huko mnakotaka 2je,kosa la zitto hapo mbna mimi silioni,katiba ya chama inamruhusu kutokana na cheo alichonacho bungen pia kajaribu kujibu hoja za kijinga zilizotolewa na mnyama chawane sioni tatzo mimi,
 
We masalia acha unafiki na kujipendekeza, Zitto kachemka, kama ni kujibu mapigo mbona naibu waziri Simba kaongea zaidi ya week sasa?
Kwa nini Prezzo hakutoa tamko la kujibu mapigo mapema kama ni hilo!
ZZK hakkujua kama kuna KK ya Chama? Kwanini afanye leo na si juzi ama day after Simba's speech!?

wrong number
sipo hapa kusema ndio kwa kila jambo,sipo hapa kumridhisha mtu,nachangia hoja kutokana na nitakavyoielewa,maana naamini ktk hoja na sio nidhamu ya woga.na ndio maana sitaki siasa,maana mimi sio muumini wa ndio mzee,nikiona tu umekosea nakupa ukweli,utaumeza,sasa siasa za kitanzania,zinataka uwe muongo muongo na kukubali kila jambo.
kwa hiyo tatizo la Mh Zitto ni kuchelewa kujibu mapigo si ndio
 
ndio maana unajiita pompo,tafuta tafsili yake kwanza,then urudi humu ndani kukichafua chama kwa siasa zako za chuki,
 
wrong number
sipo hapa kusema ndio kwa kila jambo,sipo hapa kumridhisha mtu,nachangia hoja kutokana na nitakavyoielewa,maana naamini ktk hoja na sio nidhamu ya woga.na ndio maana sitaki siasa,maana mimi sio muumini wa ndio mzee,nikiona tu umekosea nakupa ukweli,utaumeza,sasa siasa za kitanzania,zinataka uwe muongo muongo na kukubali kila jambo.
kwa hiyo tatizo la Mh Zitto ni kuchelewa kujibu mapigo si ndio

mkuu huyu am2 anaitwa pompo achana nae atakutoa povi bila 7bu za msingi
 
Ok si ufuatilie siasa za Kenya na kwingeko! Pia JF kuna majukwa kibao nenda huko siyo jitu zima unajipendekeza pendekeza!
Hoja huna unaji...
 
Baadhi ya wadau wanataka kutusambazia chuki zisizo na macho wala miguu,hawajui katiba wala sheria na kanuni za chama wanachokishabikia,labda walidhani zitto ni mjinga afanye mambo bila kuwa na mawasiliano na chama chake na isitoshe hoja ya mwanzo ilimtaja zitto haikutaja chama,zitto kajibia yale yaliyoelekezwa kwake,sasa baadhi wanataka kutuaminisha uongo na kutusambazia chuki.
kwa upande wangu sioni kosa lake,maana kama ni matamko kila kiongozi wa CDM kaandika ktk facebook na hatujawasema kwa ubaya zaidi ya kupongeza.
tuwaelimishe hawa watu,kuwa huwezi kuiba ofisini na ukasema eti nikiwa nyumbani siwezi iba,maana nimezoea kuiba ofisini,tabia haina dawa,utaiba kila mahali.chuki hizi zitatuletea MAAFA Tanzania,maana hizi chuki hazitaishia hapa na zina mizizi yake,mwishi wa siku huko mbeleni watatuchukia hata sie tusio na vyama pindi chama chao kitakapokuwa madarakani na hapo ndipo matatizo yatakapo anza,maana atakaye chukiwa hataweza kukubali kuchukiwa na anayechukia atataka kuendeleza chuki yake.
Hii Tabia mwisho wake si mzuri na kama hatuamini tupo hapa,tutarudi JF na kuyaandika na tutaleta zile stori za NINGELIJUWA,mambo yalisha haribika zamani sana.
 
ubinafsi upi amefanya,je umewasiliana na chama na ukaelezwa kuwa Mh Zitto kavunja sheria furani? tueleze ni sheria ipi aliyovunja,ili nasi tujue.
je ktk maelezo yake,kakisemea chama ama kasemea yanayomhusu yeye zitto kama zitto?

wewe acha umbea mi nimetoa views zangu nawe toa zako kivyako sawa.!

Again,
" HUWEZI UKAWA MSABIKI AU MFUASI WA ZITTO ALAFU UKAMANDA NA UCHADEMA WAKO UKABAKI SALAMA"

take it from me Aranblue.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: JGG
Baadhi ya wadau wanataka kutusambazia chuki zisizo na macho wala miguu,hawajui katiba wala sheria na kanuni za chama wanachokishabikia,labda walidhani zitto ni mjinga afanye mambo bila kuwa na mawasiliano na chama chake na isitoshe hoja ya mwanzo ilimtaja zitto haikutaja chama,zitto kajibia yale yaliyoelekezwa kwake,sasa baadhi wanataka kutuaminisha uongo na kutusambazia chuki.
kwa upande wangu sioni kosa lake,maana kama ni matamko kila kiongozi wa CDM kaandika ktk facebook na hatujawasema kwa ubaya zaidi ya kupongeza.
tuwaelimishe hawa watu,kuwa huwezi kuiba ofisini na ukasema eti nikiwa nyumbani siwezi iba,maana nimezoea kuiba ofisini,tabia haina dawa,utaiba kila mahali.chuki hizi zitatuletea MAAFA Tanzania,maana hizi chuki hazitaishia hapa na zina mizizi yake,mwishi wa siku huko mbeleni watatuchukia hata sie tusio na vyama pindi chama chao kitakapokuwa madarakani na hapo ndipo matatizo yatakapo anza,maana atakaye chukiwa hataweza kukubali kuchukiwa na anayechukia atataka kuendeleza chuki yake.
Hii Tabia mwisho wake si mzuri na kama hatuamini tupo hapa,tutarudi JF na kuyaandika na tutaleta zile stori za NINGELIJUWA,mambo yalisha haribika zamani sana.
Nimekwambia hoja ya Zitto imetolewa jana na naibu waziri? Watanzania wa leo si wa jana, andiko la Zitto ni lake binafsi na kama hoja kumjibu Simba Chawene mbona kaongea kiujumla jumla tu!

Ok yeye ni Waziri kivuli wa Nishati na Madin? Je kuna sehemu kamsema CHADEMA? Anajipendekeza nini? Nyie MaCCM 2015 mwisho wa nyodo zenu, tusubiri...
 
kweli mapenzi ni upofu.
 
Watanzania wengi wana matatizo ya uvivu wa kufikiri ndyo maana hata mtu akitoa mawazo yenye manufaa tunajenga hoja za "mipasho"(zisizo na tija).Katika mawazo ya "zito he is right" huwezi ukaona machungu na adhaa ya mtwara kama hujaishi mtwara,viongozi wa serikali wasilete bla blaa huku mtwara hali si shwar tena.Zito kama binadamu ana mapungufu ya kibinadamu lakini anachokiongea ni cha msingi mno kwa ustawi wa wanamtwara na taifa kwa ujumla.
 
Hakika Maccm wanapenda kutoa lawama kwa wengine wakati matatizo wana sababisha wao!

Baaada ya kutatua matatizo wana kalia kutoa lawama!
 
Nimekwambia hoja ya Zitto imetolewa jana na naibu waziri? Watanzania wa leo si wa jana, andiko la Zitto ni lake binafsi na kama hoja kumjibu Simba Chawene mbona kaongea kiujumla jumla tu!

Ok yeye ni Waziri kivuli wa Nishati na Madin? Je kuna sehemu kamsema CHADEMA? Anajipendekeza nini? Nyie MaCCM 2015 mwisho wa nyodo zenu, tusubiri...
hapo ktk rangi nyekundu
nakufananisha sana na wale ndege wanaotafuta chakula na hawataki kufuata njia nyepesi iliyogunduliwa na mwenzao ili kukipata chakula hicho(PARTICLE SWARM OPTIMIZATION-PSO).Wewe ni mmoja wa wale wengi wasio elewa,wasio soma na kuelewa.
Nakuomba acha ushabiki,soma alichokiandika Mh Zitto na soma alichokisema Naibu waizri,na baada ya kuelewa angalia tena ktk rangi nyekundu na ujibu swali lako wewe mwenyewe.
Hii nchi tujilaumu wenyewe kuwa na baadhi ya watu walio wepesi kusema bila kufanya uchunguzi,kujibu bila kuwa na majibu ya kuridhisha,kukemea bila kufuata utaratibu.kazi tunayo Tanzania

ulitaka zitto aongee KIZIDISHA ZIDISHA ndio uelewe?
 
wewe acha umbea mi nimetoa views zangu nawe toa zako kivyako sawa.!

Again,
" HUWEZI UKAWA MSABIKI AU MFUASI WA ZITTO ALAFU UKAMANDA NA UCHADEMA WAKO UKABAKI SALAMA"

take it from me Aranblue.
hujajibu swali
ili uwe kamanda unatakiwa uwe shabiki wa nani? CHAMA ama MTU binafsi? hizi chuki zenu ziishie humu humu JF msizipeleke hata ktk familia zenu,mtaleta vita ndani ya nyumba
 
Ok si ufuatilie siasa za Kenya na kwingeko! Pia JF kuna majukwa kibao nenda huko siyo jitu zima unajipendekeza pendekeza!
Hoja huna unaji...
bila siasa maisha hayaendi,sipendi siasa,ila nazifuatilia siasa vizuri sana,kila ifikapo saa moja usiku ya tanzania nasikiliza KTN leo,ifikapo saa mbili ucku huangalia CCTV news for africa,na sipitwi na njambo hususani ndani ya JF
Kinacho niuzi ni nyie baadhi kutufanya sie wajinga,tusio juwa kusoma hata kuona picha,kila jambo njyie mwajuwa.
waswahili wanasema"usiji fanye wajuwa kumbe waumia na jua"
mnataka kutuaminishi upumbuavu,ujinga na chuki,kamwe hatutawapa nafasi hiyo.
tukienda nje ya tanzania tunabaguliwa kwa rangi zetu,tukirudi tanzania chuki zinatumika kuleta ubaguzi,hivi kwanini kile usichokitaka wewe kufanyiwa na ni vilevile usimfanyie mwenzako?
 
kwa hizi comment ninazozisoma,laiti wana jf wangekutana live,kila mtu akaelezea hoja zake.naona watu wangepigana,tena ngumi sio za kitoto.maana mmh hatari
 
Kuna majuha wengi sana hapa siku hizi ambao wanashusha hadhi ya ukumbi huu. Wanatetea hata yasiyostahili kutetewa.
 
Back
Top Bottom